Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

Nashangaa Arusha, Mbeya na Kilimanjaro hazipo.

Screenshot_20221101-095810_Opera Mini.jpg
 
Takwim zimepikwa hizo Tanzania in watu wengi kuliko hiyo idadi iliyotajwa...
I fully concur! Ngoja wapembuzi wafanyie kazi hizi takwimu uone watasemaje. Report population projection zilikuwa zinaonesha Dar kuwa na watu million 7 na ushei.
Hizi data zimepikwa ila hazikuiva. Kuna kitu hakiko sawa kabisa.
 
Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idad...
Unajiita genius wakati hujui kutofautisha mji na mkoa?

Kilaza Genius
 
Niishie kusema tu asante wewe uliye genius!
Umejibu kwa hekima sana, ukizingatia lugha ya kuhudhi aliyoanza kutumia huyo bwana. Maisha ya leo, watoto sio security tena, haswa wakiwa lundo na bila elimu ya uhakika, au mzee hajawekeza sana kwa watoto.

Mwisho wa siku Bibi na Babu wataishia kulea lundo la wajukuu, huku wakiwa hawana rasilimali za kutosha. Idadi ya jobless, wakora na maskini itaongezeka tu.
 
Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idad...
Ona vodafasta huyu, hawezi kutofautisha kati ya mkoa na jiji!
 
Tusidanganyane, utajiri(wealth) sio subjective.
Viko vipimo objective kabisa vya utajiri, watoto sio kipimo kimojawapo cha utajiri.
Wewe akili huna. Utajiri ni subjective, wewe unaweza kuona watoto sio utajiri, anaeona watoto wengi kwake ni utajiri bado hana kosa.

Usitake mtazamo wako wa kisengerema ndio uwe mtazamo wa wote.
 
Kuna jiji kama Stockholm lina watu 1,500,000 tu jiji kama Gothenburg Göteborg lina 570,000 Tallinn lina watu 250,000 tu , Kwa kifupi Population siyo kigezo pekee cha kuita sehemu jiji
Humu kuna watu hawaelewi mambo ya utawala, japo ni madogo sana. Mtu haelewi mji, jiji, tarafa na mkoa vina maana na hadhi gani!

Ukiulizia Ofisi ya Serikali ya Mtaa unapelekwa Ofisi ya Mtendaji Kata, au ofisi ya CCM.

Kuna watu wa ajabu kweli!
 
Inasikitisha sana kuwa na taifa lenye watu wengi wenye mawazo kama hayo.
Naona bado tupo kwenye zama za kuamini kiwa kiwa na watoto wengi ni utajiri, Mungu atunusuru kwa hakika!
 
Watu mjini wanazaa kwa mpango ili kuhimili gharama za maisha na kumudu huduma kwa familia na ukizingatia watu wako busy muda wa kuzaa wanatoa wapi? Mikoa yenye chakula cha kutosha ongezeko ni kubwa kwa sababu watu wakishashiba inafuata starehe ya kitandani ndio maana mimba nyingi hupatikana wakati wa mavuno.
Nilipoiona kigoma kwenye top ten hyo hata siwez kubisha,hao jamaa wanafyatua sio mchezo
 
Mkuu, population ya jiji haihusiani na population ya mkoa. Tabora kama mkoa unaweza kuwa na watu wengi kuliko Mbeya au Arusha lakini wa kazi wake wengi wakawa wanaishi vijijini.
Good, na kigezo siyo population pekee kuna mambo mengi sn
 
Umejibu kwa hekima sana, ukizingatia lugha ya kuhudhi aliyoanza kutumia huyo bwana. Maisha ya leo, watoto sio security tena, haswa wakiwa lundo na bila elimu ya uhakika, au mzee hajawekeza sana kwa watoto.

Mwisho wa siku Bibi na Babu wataishia kulea lundo la wajukuu, huku wakiwa hawana rasilimali za kutosha. Idadi ya jobless, wakora na maskini itaongezeka tu.
Naona mashosti mnafarijiana. Nyie kama hamtaki kuzalishwa watoto wengi na waume zenu acheni sisi tuzalishe wake zetu idadi ya watoto tunaotaka. Tusipangiane maisha.
 
Tusidanganyane, utajiri(wealth) sio subjective.
Viko vipimo objective kabisa vya utajiri, watoto sio kipimo kimojawapo cha utajiri.
Bado akili yako ni fupi kuelewa.

Wewe unaweza kuona utajiri kwenye dimension 1 ya mali, mwingine akaona utajiri wake ni kumtumikia mungu, mwingine akaona kua na watoto wengi kwake nafsi yake imeridhika/imetajirika.

Ukiwa short sighted you always look things in single dimension.
 
Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi.

Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara

Swali la kujiuliza, hawa watu walipataje hadhi ya kuitwa majiji? View attachment 2403564
Hii ni idadi ya watu waliopo mkoa mzima siyo jiji. Hao wa Mwanza 3.6mil ni pamoja na waliopo Magu, Misungwi na Ukerewe
 
Back
Top Bottom