Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

Arusha na Mbeya hakuna idadi kubwa ya watu data ni za kweli hazijapikwa, msiwe wabishi

Mikoa iliyopo top 10 ukiangalia kwa makini imejazwa na wasukuma
Tabora
Mwanza
Geita
Mara
Tanga
Dodoma
Kigoma
Kagera
Morogoro

Mikoa hio yooote imetapakaa wasukuma na wasukuma idadi yao si chini ya 15,000,000 kati ya watu wote waliopo tanzania
 
Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi.

Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara

Swali la kujiuliza, hawa watu walipataje hadhi ya kuitwa majiji? View attachment 2403564
Ni dhahiri sasa kuwa kanda inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu ni Kanda ya Pwani (Dar, Tanga, Moro).
 
Hii ya Daslamu kuongezeka watu milioni 1 kwa miaka 10 naikataa.
View attachment 2403568
Sensa ya mwaka 2012,Ofisi kuu za Serikali zilikuwa Dar karibia zote hivyo wafanyakazi wote na familia zao walikua Dar.
Sensa mwaka 2022 Ofisi kuu za Serikali kwa kiasi kikubwa sana ziko Dodoma,hivyo wafanyakazi wote wa ofisi hizo na familia zao wapo Dodoma.
Kulijua hilo tungepata idadi ya watu walioko Dodoma mjini pekee kwa mwaka 2022 tulinganishe na mwaka 2012 tuone Dodoma ilivyoongezeka watu
 
Arusha na Mbeya hakuna idadi kubwa ya watu data ni za kweli hazijapikwa, msiwe wabishi

Mikoa iliyopo top 10 ukiangalia kwa makini imejazwa na wasukuma
Tabora
Mwanza
Geita
Mara
Tanga
Dodoma
Kigoma
Kagera
Morogoro

Mikoa hio yooote imetapakaa wasukuma na wasukuma idadi yao si chini ya 15,000,000 kati ya watu wote waliopo tanzania
😂😂😂Hao jamaa wanafika mil 20 kila kona wapo nimeanza kuwajua kitambo sana hata mwanza nilikuwa sijawai kufika kila sehemu wapo.
 
20221031_204844.jpg
 
😂😂😂Hao jamaa wanafika mil 20 kila kona wapo nimeanza kuwajua kitambo sana hata mwanza nilikuwa sijawai kufika kila sehemu wapo.
Ni mwendo wa kutotoa , kanda ya ziwa binti ukifikisha miaka 25 huna mtoto , utabezwa na kuchekwa Sana
 
Hizi ndio products za shule za kata.

Concept ndogo tu mtu anashindwa kuielewa.
 
Ni dhahiri sasa kuwa kanda inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu ni Kanda ya Pwani (Dar, Tanga, Moro).
Sema Kanda ya Mashariki. Kanda ya pwani ni Tanga, Pwani, Dar, Lindi na Mtwara. Au sio boss.
 
Mbeya ilikatwa katikati ikaundwa mkoa mpya WA songwe Tumia akili MTU wangu mbeya ilikatwa kipande ikawa songwe.

Isinge Katwa ingekua top 5 kwenye population lkn watu wengi tz hawakuhesabiwa Zaid ata million 10 wanaweza kufika
 
Sema Kanda ya Mashariki. Kanda ya pwani ni Tanga, Pwani, Dar, Lindi na Mtwara. Au sio boss.

Dar , Pwani, Morogoro kanda ya mashariki, lindi, Mtwara ni kusini , Tanga, Arusha, Manyara, Kilimanjaro ni kaskazini, iringa, Mbeya, Njombe, songwe, Rukwa, Ruvuma ni Nyanda za juu kusini, Dodoma, singida ni kanda ya kati, Katavi, Tabora, Kigoma ni kanda ya magharibi halafu Mwanza, shinyanga, Simiyu, Geita, kagera, mara ni kanda ya ziwa.
 
Back
Top Bottom