The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Hizi data haziko sawaHii ya Daslamu kuongezeka watu milioni 1 kwa miaka 10 naikataa.
View attachment 2403568
Hii ya Daslamu kuongezeka watu milioni 1 kwa miaka 10 naikataa.
View attachment 2403568
Hoja yako mfu kabisaa ,Dar ndoo hawapo busy wenye population kubwa?Watu mjini wanazaa kwa mpango ili kuhimili gharama za maisha na kumudu huduma kwa familia na ukizingatia watu wako busy muda wa kuzaa wanatoa wapi? Mikoa yenye chakula cha kutosha ongezeko ni kubwa kwa sababu watu wakishashiba inafuata starehe ya kitandani ndio maana mimba nyingi hupatikana wakati wa mavuno
Huko watu wana akili kubwa wasingevumilia upuuzi wa kukaa kusubiri watu bila kazi za mkwanja, hawakuvishi hawakuvishi, hawajui na Panadol wala nini. Idadi fake hio.Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi.
Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara
Swali la kujiuliza, hawa watu walipataje hadhi ya kuitwa majiji? View attachment 2403564
Wewe akili huna. Utajiri ni subjective, wewe unaweza kuona watoto sio utajiri, anaeona watoto wengi kwake ni utajiri bado hana kosa.Naona bado tupo kwenye zama za kuamini kiwa kiwa na watoto wengi ni utajiri, Mungu atunusuru kwa hakika!!!
Sasa hizo ni taarifa za idadi ya watu wa Mikoa au wa Majiji?Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi.
Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara
Swali la kujiuliza, hawa watu walipataje hadhi ya kuitwa majiji? View attachment 2403564
Niishie kusema tu asante wewe uliye genius!Wewe akili huna. Utajiri ni subjective, wewe unaweza kuona watoto sio utajiri, anaeona watoto wengi kwake ni utajiri bado hana kosa.
Usitake mtazamo wako wa kisengerema ndio uwe mtazamo wa wote
Endelea kuikataa. Meanwhile Pwani imedado watu ndio kusema watu wamehamia Pwani.Hii ya Daslamu kuongezeka watu milioni 1 kwa miaka 10 naikataa.
View attachment 2403568
Huyo ni kiazi hajielewiMkuu, population ya jiji haihusiani na population ya mkoa. Tabora kama mkoa unaweza kuwa na watu wengi kuliko Mbeya au Arusha lakini wa kazi wake wengi wakawa wanaishi vijijini.
Wewe umeona nini mrembo.Sasa hizo ni taarifa za idadi ya watu wa Mikoa au wa Majiji?
Punguza upumbavu basi.