Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

Takwim zimepikwa hizo Tanzania in watu wengi kuliko hiyo idadi iliyotajwa...
Haya wewe mwanga unayejua watanzania wako wangapi tuambiane kwa hesabu za wanga wako
 
Unazungumzia majiji halafu unaweka data za mikoa
 
Mkuu, population ya jiji haihusiani na population ya mkoa. Tabora kama mkoa unaweza kuwa na watu wengi kuliko Mbeya au Arusha lakini wa kazi wake wengi wakawa wanaishi vijijini.
hizi takwimu zingetolewa wakati wa JPM watu wangesema zimepikwa lkn kwa sasa ziko sawa kazi na iendelee.
 
Kuna jiji kama Stockholm lina watu 1,500,000 tu jiji kama Gothenburg Göteborg lina 570,000 Tallinn lina watu 250,000 tu , Kwa kifupi Population siyo kigezo pekee cha kuita sehemu jiji
tuelewane kwa hiyo wanapotuambia chato haikizi kigezo cha kupewa mkoa sifa ya kuwa mkoa ni nini?
 
Usijiingize katika matopics magumu kama uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Jiepushe na aibu ndogo ndogo
 
Wewe akili huna. Utajiri ni subjective, wewe unaweza kuona watoto sio utajiri, anaeona watoto wengi kwake ni utajiri bado hana kosa.

Usitake mtazamo wako wa kisengerema ndio uwe mtazamo wa wote
Wazungu wamefanikisha kumshika kichwa kwa elimu zao. Ameshindwa kusoma na kubakia na akili zake. Amekuwa kama wafuasi wa kibwetere chochote anaamini. Hajiulizi India Nigeria brazil China zinakuja juu kiuchumi kisa Ni Nini. Watu Ni natural resources like land rivers and minerals. Hajajua watu Ni Mali pia. Yeye anaamini majumba maardhi ama migodi ama kilimo ndio utajiri.
 
😂😂😂Hao jamaa wanafika mil 20 kila kona wapo nimeanza kuwajua kitambo sana hata mwanza nilikuwa sijawai kufika kila sehemu wapo.
Wasubirie baada ya 200yrs to come ndipo mtakapojua faida ya population. Si mnaogopa kuzaa kisa uzungu ama usomi wa kizungu.
 
Wewe akili huna. Utajiri ni subjective, wewe unaweza kuona watoto sio utajiri, anaeona watoto wengi kwake ni utajiri bado hana kosa.

Usitake mtazamo wako wa kisengerema ndio uwe mtazamo wa wote
Sisi kwetu watoto ni mtaji maana una mifugo na mashamba km huna watoto wa kusimamia na kufanya hizo kazi utakaaa njaaa ndo maana usukumani kukuta kaya ina watoto 13 ni kawaida tu maana hao ndo wanasaidia wazazi kwenye kazi za maendeleo
 
hizi takwimu zingetolewa wakati wa JPM watu wangesema zimepikwa lkn kwa sasa ziko sawa kazi na iendelee.
Hizi data zinaweza kuwa sahihi. Ila kwa Dar miaka kumi ya mwendazake watu walikufa Sana. Miaka kumi lazima dar ingeongeza idadi kubwa. Watu wanahamia, wanazaliwa n.k.
 
Hivi ng'ombe kama hii nayo iliipiwa ada kwenda shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kiongozi hujajibu hoja ya kiwango cha uzalianaji ambacho 5.6% na pia watu wanaohamia kutoka Mikoa mingine

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Watu mnachanganya majiji na mkoa
 
MbEya waliigawa wakatengeneza mkoa wa songwe
 
Acha ushamba.
 
Ndio maana mnaulizaga faida za kusoma somo fulani. Maswali madogo ya form 2 yanawashinda.
 
CHATO ilipataje Traffic Light?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…