Takribani wagombea 20 wamepita bila kupingwa
 

Attachments

  • IMG-20200825-WA0006.jpg
    69.7 KB · Views: 1
Kwa hiyo CCM tu ndo wanaujuzi zaidi wa kujaza hizo fomu kuliko chama kingine chochote.
 
Ndio mnavyodanganywa, sasa si mlisema mwisho wa kuonewa, kinukishe "basi"
Watu wamepima maji wakaona hawayawezi, wakaamua kusepa, kwenye "saccos" wanawadanganya
 
Vyama vya upinzani zero kabisa,yanahongwa yanajaza fomu ovyoovyo
Hii yaweza kuwa sababu. Wamehongwa kabisa. Haiingii akilini mtu upo serious eti ukosee kujaza form ?Hivi uongozi wa chama haukuwafundisha jinsi ya kujaza form? Maana form zinafanana Tanzania nzima. Hivyo mnaweza photocopy na mkajaza na mkasambaza kote mkaacha zile sehemu za majina tu. Hivyo mtu anaangalia na anajaza original.
 
Uongozi wa chama uko bize na mgombea wa urais. Hiki chama kinawajinga wengi sana
 
Hehe kwenye picha hapo kwa mbaali namuona mwalimu wangu wa Probate.

Halafu hao majamaa yaliyovaa vitu Kama tochi waliosimama nyuma ya Lisu ndio kina Nani hao.
 
You can fool some people for some time BUT you can not fool all the people all the time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…