Na ndicho kitu ambacho CCM hawawezi kukikubaliDawa ni fomu kujazwa online hala kila chama kinakuwa na access ya fomu zote lakini baada ya kujazwa zinakuwa kwenye pdf halafu tume inazidownload na kuondokana na hii tabia ya fomu imeshachukuliwa
Huyu jamaa ni porojo tu hamna loloteHaya unasubiriwa kwa hamu! Barabarani.
Wewe ndio zero, hukusikia mizengwe waliyofanyiwa? Devota anaweza kukosea kujaza? Uwe na akili na wewe.Vyama vya upinzani zero kabisa, yanahongwa yanajaza fomu hovyohovyo
Ukichukulia mipaka ya majirani zetu imefungwa kwa sababu za Corona.Sisi tu ndio tupo wazi.Kikinuka sijui itakuwaje?hivi ni wagombea wa upinzani tuu ndio wakosa vigezo?
NEC hili taifa tunalipenda sana maana hakuna sehemu nyingine nzuri kwa watanzania ispokuwa tanzania.
Acheni ngiriba za kupendelea chama kimoja dhidi ya vyama vingine.
mtenda haki hulipenda taifa
Wako busy kushangaa mafuriko ya Lisu.Uongozi wa chama uko bize na mgombea wa urais....! Hiki chama kinawajinga wengi sana
Wako busy kushangaa mafuriko ya Lisu.
Lisu aliwaambia jazeni hizo form kwa umakini ili yasitokee yale ya selikali za mtaa!
Haw jamaa wakishashiba sifa za humu mitandaoni basi hata seheemu za kutumia weredi wao wamatumia mihemuko
Ina maama hata kura za NDIYIO au HAPANA hazipo?Wadau mpaka sasa nasikia CCM imeshachukua majimbo nane, namaanisha wamepita bila kupingwa. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua...
Vipi umeshafika barabarani kukinukisha?Hiki MATAGA Mnachoshangilia mtakuja kukijutia!
Sasa unategemea ACT ishinde Dodoma kweli?Dodoma
Aliyekua mbunge 2010 alichukua fomu kupitia ACT.. naye pia hajui kujaza??
Sasa unategemea ACT ishinde Dodoma kweli?
Huyo kauza jimbo, kaona kuliko nisubiri aibu ya kushindwa bora nibebe hii milion 5 niendelee kula maisha.
Mtu huna hata mia ya kampeni ya nini kupimana ubavu na mwenye nazo?
Wamechoka na upinzani hivyo wanatumia njia ya kisheria kuunga mkono hoja.hivi ni wagombea wa upinzani tuu ndio wakosa vigezo?
NEC hili taifa tunalipenda sana maana hakuna sehemu nyingine nzuri kwa watanzania ispokuwa tanzania.
Acheni ngiriba za kupendelea chama kimoja dhidi ya vyama vingine.
mtenda haki hulipenda taifa
Kweli mkuu, hata km ni mimi.Sasa unategemea ACT ishinde Dodoma kweli?
Huyo kauza jimbo, kaona kuliko nisubiri aibu ya kushindwa bora nibebe hii milion 5 niendelee kula maisha.
Mtu huna hata mia ya kampeni ya nini kupimana ubavu na mwenye nazo?