Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wagombea wameridhika kutokutimiza masharti wewe una shauri nini hapa.
Mkoa wa Dodoma kulikoni?Najiuliza tu "HIVI KUNA SEHEMU WA UPINZANI ATAPITA BILA KUPINGWA?"
HIVI HAWA WA CCM WANA UWEZO WA KUJAZA FOMU KULIKO WENGINE!?
Na Kama Raisi atakuwa Mh Lisu?WABUNGE WA CCM WALIOPITA BILA KUPINGWA UBUNGE
1. Hamis Taletale (Babu Tale) (Morogoro Kusini Mashariki)
2. Alexander Mnyeti (Misungwi)
3. Prof. Palamagamba Kabudi (Kilosa)
4. Abdulaaziz Abood (Morogoro)
5. Japhet Hasunga (Vwawa)
6. Shanif Mansoor (Ngudu, Kwimba)
7. Ahmed Shabiby (Gairo, Morogoro)
8. Kassim Majaliwa (Ruangwa, Lindi)
9. Jonas Vanzland - (Mvomero, Morogoro)
10. Innocent Kalogeris (Morogoro Kusini)
11. Joseph Kamonga (Ludewa)
12. Elias Kwandikwa - (Ushetu, Simiyu )
13. Nape Nnauye - Mtama, Lindi
14 . Job Ndugai (Kongwa)
15. Anthony Mavunde (Dodoma Mjini)
16. Deo Ndejembi (Chamwino, Dodoma)
17. Dk Ashatu Kijaji (Kondoa)
18. Vita Kawawa (Namtumbo)
19. George Malima (Mpwapwa)
20. Geofrey Mizengo Pinda ( Kavuu )
Kwa kilichofanyika au kilichofanywa wala haiitaji Akili kubwa sana kuweza kujua kuwa 'Bwana Mkubwa' anawahitaji sana kwa 2020 hadi 2025 yake.
Mwana kiona mbali Gentamycine, kwa maana nyingine hao ndio team ya campaign itakayozunguka na JPM kumnadi nchi kotemaana kwao uhakika tayariWABUNGE WA CCM WALIOPITA BILA KUPINGWA UBUNGE
1. Hamis Taletale (Babu Tale) (Morogoro Kusini Mashariki)
2. Alexander Mnyeti (Misungwi)
3. Prof. Palamagamba Kabudi (Kilosa)
4. Abdulaaziz Abood (Morogoro)
5. Japhet Hasunga (Vwawa)
6. Shanif Mansoor (Ngudu, Kwimba)
7. Ahmed Shabiby (Gairo, Morogoro)
8. Kassim Majaliwa (Ruangwa, Lindi)
9. Jonas Vanzland - (Mvomero, Morogoro)
10. Innocent Kalogeris (Morogoro Kusini)
11. Joseph Kamonga (Ludewa)
12. Elias Kwandikwa - (Ushetu, Simiyu )
13. Nape Nnauye - Mtama, Lindi
14 . Job Ndugai (Kongwa)
15. Anthony Mavunde (Dodoma Mjini)
16. Deo Ndejembi (Chamwino, Dodoma)
17. Dk Ashatu Kijaji (Kondoa)
18. Vita Kawawa (Namtumbo)
19. George Malima (Mpwapwa)
20. Geofrey Mizengo Pinda ( Kavuu )
Kwa kilichofanyika au kilichofanywa wala haiitaji Akili kubwa sana kuweza kujua kuwa 'Bwana Mkubwa' anawahitaji sana kwa 2020 hadi 2025 yake.
Felix Tshisekedi alitangazwa ni Rais akiwa na wabunge wangapi? Trump je? Jiulize upinzani ulipataje kura million 6 ilihali wabunge wake hawakufika 30% ya bunge zima la 11?Ccm 20 chadema 0
.
Hivi ushindi wa Lisu unatokea wapi?
Ushindi wa Lissu upo kwa wananchiCcm 20 chadema 0
.
Hivi ushindi wa Lisu unatokea wapi?
Wananchi wenyewe hawa waliomkataa Lisu kabla hata ya kampeni?Ushindi wa Lissu upo kwa wananchi
Sasa Lisu unamlinganisha na Lowasa kweli?Felix Tshisekedi alitangazwa ni Rais akiwa na wabunge wangapi? Trump je? Jiulize upinzani ulipataje kura million 6 ilihali wabunge wake hawakufika 30% ya bunge zima la 11?
Ni mzungu mtanzania alikuwa Diwani kafanya makubwa Sana mvomeroSasa huyo wa jimbo la Mvomero-Morogoro mbona jina lake halifanani na jina la Mwafrika yeyote popote duniani. Au suala la kuchunguza uraia wa watu linatokea tu pale ukisema umenikanyaga naomba uondoe mguu...
Kwanza Tsheked hakushinda bali ule ulikuwa mpango wa Kabila,Felix Tshisekedi alitangazwa ni Rais akiwa na wabunge wangapi? Trump je? Jiulize upinzani ulipataje kura million 6 ilihali wabunge wake hawakufika 30% ya bunge zima la 11?
Hujaelewa swali? Logic ya kura za Urais na mgombea ubunge zinacorrelation?Sasa Lisu unamlinganisha na Lowasa kweli?
Mkuu tutarudi hapa baada ya oktoba kubishania wizi wa kura kama kawaida yenuHujaelewa swali? Logic ya kura za Urais na mgombea ubunge zinacorrelation?
Kumbuka kura za Urais unazoa majimbo yote ila kiti cha ubunge ni mpka uongoze kura jimbo husika.
Pia majimbo yana disparity, mfano majimbo ya Dar pekee yanaamua almost 15% ya kura za Urais ingawa haitoi wabunge zaidi ya 10. But majimbo ya zenji yanatoa 2% ya kura za Urais ila yanatoa wabunge 50??
Aisee wapinzani wamepigwa vibaya mwanzoniWadau mpaka sasa nasikia CCM imeshachukua majimbo nane, namaanisha wamepita bila kupingwa. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua.
CCM imepita bila kupingwa katika majimbo haya:
1. Misungwi,
2. Ruangwa,
3. Ushetu,
4. Morogoro Mjini,
5. Mvomero,
6. Kilosa,
7. Mtama,
8. Gairo
9.Kongwa
10. Namtumbo
11. Kavuu
12. Katavi
13. Morogoro Kusini
14. Chamwino
15. Kondoa
16. Mpwapwa
17. Vwawa
18. Dodoma Mjini
Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets hapa.
Updates
1. Mkoa wa Morogoro
Mkoa wa Morogoro una Majimbo 11 hadi sasa CCM Imepita bila kupingwa katika Majimbo 6
- Jimbo la Kilosa
(Prof Kabudi)
- Jimbo la Gairo
Ahmed Shabiby
- Jimbo la Mvomero
Jonas Vanzland
- Jimbo la Morogoro kusini
Innocent Kalogeris
- Jimbo la Morogoro kusini mashariki
Hamis Taletale (Babu Tale)
- Jimbo Morogoro Mjini
AbdulAziz Abood
2. Mkoa wa Katavi
- Jimbo la Kavuu
Geophrei Mizengo Pinda
- Jimbo la Mlele
Aloyce Kamwelwe
3. Mkoa wa Mwanza
- Jimbo la Misungwi
Alexander Mnyeti
- Jimbo la Kwimba
Shanif Mansoor
4. Mkoa wa Lindi
- Jimbo la Ruangwa
Kassim Majaliwa
- Jimbo la Mtama
Nape Nnauye
5. Mkoa wa Shinyanga
- Jimbo la Ushetu
Elias Kwandikwa
6. Mkoa wa Dodoma
- Jimbo la Kongwa
Job Ndugai
- Jimbo la Chamwino
Deo Dejembi
- Jimbo la Kondoa mji
Ally Juma Makoa
- Jimbo la Kondoa Vijijini
Dkt. Ashatu Kijaji
- Jimbo la Dodoma Mjini
Anthony Mavunde
- Jimbo la Mpwapwa
George Malima
7. Mkoa wa Ruvuma
- Jimbo la Namtumbo
Vita Kawawa
8. Mkoa wa Mbeya
- Jimbo la (Vwawa - Songwe)
Japhet Hasunga
- Jimbo la Ludewa
Joseph Kamonga
= Orodha zaidi itakujia hivi punde=