Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mgombea aliyeridhika wengi wamenyimwa hadi fursa ya kuweka pingamizi.Mbona wagombea wameridhika kutokutimiza masharti wewe una shauri nini hapa
Hapo kuna unafuu gani dhulma za wazi waziNafuu siasa ya bongo kuliko za kenyaView attachment 1548679
Wewe lockdown ya hapo Kenya naona imekulevya.Sai pande za south ni mwendo wa kupita bila kupingwa aisee[emoji23][emoji23]
Sababu kuu eti hawakukidhi vigezo, sasa kinachonishangaza mimi eneo bunge atakosekanaje mtu mwngine kando na ccm anayejua kusoma na kuandika.
Manake pande za south kigezo kikuu ni kujua kusoma na kuandika tu, mengine ni mambo madogo, kama vile ukiwa mnyonge mwenzio anakuminya hadi ukubali.
Yaleyale ya serikali za mitaa ya 99%, kw mwendo huu tuzo la udikteta anapewa jiwe.
Kwahiyo wagombea wa ubunge vyama kumi 15 jimbo la mtama kwahiyo hakuna hata mmoja aliyejua kujaza fomu au kufika kwa muda Amejua nape pekeyake jami munacheza na sindano ktk jicho
Benson Kigaila - Naibu Katibu Mkuu CHADEMA nakulaumu sana kwa hili. Ungerudi tena hapa jimboni wananchi wako tulikuwa tayari tumejipanga kukupigania. You deserve it ila sijui ulikwamia wapi tu. Saa nyingine wapinzani tunashindwa kwa sababu ya mikakati tu
Najaribu tu kuangalia majina ya ndugu zangu;WABUNGE WA CCM WALIOPITA BILA KUPINGWA UBUNGE
1. Hamis Taletale (Babu Tale) (Morogoro Kusini Mashariki)
2. Alexander Mnyeti (Misungwi)
3. Prof. Palamagamba Kabudi (Kilosa)
4. Abdulaaziz Abood (Morogoro)
5. Japhet Hasunga (Vwawa)
6. Shanif Mansoor (Ngudu, Kwimba)
7. Ahmed Shabiby (Gairo, Morogoro)
8. Kassim Majaliwa (Ruangwa, Lindi)
9. Jonas Vanzland - (Mvomero, Morogoro)
10. Innocent Kalogeris (Morogoro Kusini)
11. Joseph Kamonga (Ludewa)
12. Elias Kwandikwa - (Ushetu, Simiyu )
13. Nape Nnauye - Mtama, Lindi
14 . Job Ndugai (Kongwa)
15. Anthony Mavunde (Dodoma Mjini)
16. Deo Ndejembi (Chamwino, Dodoma)
17. Dk Ashatu Kijaji (Kondoa)
18. Vita Kawawa (Namtumbo)
19. George Malima (Mpwapwa)
20. Geofrey Mizengo Pinda ( Kavuu )
Kwa kilichofanyika au kilichofanywa wala haiitaji Akili kubwa sana kuweza kujua kuwa 'Bwana Mkubwa' anawahitaji sana kwa 2020 hadi 2025 yake.
Mkuu kwa tume ipi lakini ya kumpa urais mpinzani? Ikiwa ubunge "zinduna zimeanza!" Je wakati wa matokeo ya kura hali itakuwaje?Felix Tshisekedi alitangazwa ni Rais akiwa na wabunge wangapi? Trump je? Jiulize upinzani ulipataje kura million 6 ilihali wabunge wake hawakufika 30% ya bunge zima la 11?
Hao wapo popote pale ila angekuwa upinzani lazima angewekewa pingamizi.Ni mzungu mtanzania alikuwa Diwani kafanya makubwa Sana mvomero
Tanzania Ina waafrika Weusi waarabu, wahindi na wazungu au hujui hilo?
Pitishaneni mkimaliza pesa za uchaguzi mlajenge kiwanja cha kimataifa chatoWewe lockdown ya hapo Kenya naona imekulevya.
Si bor siasa za bongo kuliko za hapo kwenu za kikabila?
Ila wa CCM wamekidhi vigezo vyooote pasipo mashaka!!! 😀 😀 😀Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mvomero Mkoani Morogoro,Hassani Njama amethibitisha kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM, Jonas Van Zeland amepita bila kupingwa baada ya kile alichotaja ni kutokana na Wagombea wa Vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo