Hujuagi huyo mdogo wako Lamomy ni mwehu?yeye anaropokaga tu sifui hafikirii shemeji akiona sie wenzie tunaweka wapi sura zetuπ«£π«£anatufanya dada zake tuonekane hamnazoπNimekugongea dislike kwa mara ya kwanza leoππ
Kyeleuwiiiiiiiiii uwiiiiiii please dont try that mdogo wangu kipenziππΌππΌππΌππΌ
Uwiiiii .
Joannah kuna kikao cha dharura usiku huu popote ulipo
Nimeshamtuma Loimata anakutafuta,bado upo humo Zari au umehamia Zuchu?ππ. ..ingia PM chap kwa!Mtumishi Joannah Lamomy niko hapa alafaya toka jana shem wenu alisema nitangulie leo angekuja lkn nashangaa mpaka saa hii hapokei simu,hajibu text,whozap anani blue tick tu sijui nifanyaje na mimi sina hela njoen mnigomboe mlinzi kanambia nifue mashuka au niongee nae vizuriππView attachment 3182639
Nishaongea na jirani yako
πππ
Biashara ngumu watu wanatumia akili za ziada
Check ya inboxNakuomba inbox dear wanguππΌππΌ
πππππHujuagi huyo mdogo wako Lamomy ni mwehu?yeye anaropokaga tu sifui hafikirii shemeji akiona sie wenzie tunaweka wapi sura zetuπ«£π«£anatufanya dada zake tuonekane hamnazoπ
π€£π€£π€£nimecheka hapo kwenye room ya mlinzi!yaani nimepata picha ulivyokamatwa kwa kosa la kushindwa kulipia....wewe una mbinu za kupambana na watesi pambanaIla huyo unayemtuma una uhakika sio mtesi mkuu wa hapa kweli mana yeye na PSL god nahisi wana kitu na hiyo Lodgeππ (joking)
Anywayz mwambie niko kwenye room ya mlinzi hapa π
π π π tukamlipie kwa sharti aturuhusu turushe uzi wenye tittle PRIDAH ATELEKEZWA NA DANGA GUESTπ π ππΏββοΈππΏββοΈπ€£π€£π€£nimecheka hapo kwenye room ya mlinzi!yaani nimepata picha ulivyokamatwa kwa kosa la kushindwa kulipia....wewe una mbinu za kupambana na watesi pambana
π€£π€£weee labda familia yake hatupo ni simu moja tu boss mtoto Lamomy ataomba lipa number case closed...ndugu yetu Pridah ni mtumishi hatuwezi ruhusu fedheha , sisi familia yetu haina visa vya kina Mwaipaja sisi tunabebeana misalabaπ π π tukamlipie kwa sharti aturuhusu turushe uzi wenye tittle PRIDAH ATELEKEZWA NA DANGA GUESTπ π ππΏββοΈππΏββοΈ
Mtoto wangu π€π€ unafanya nn haporoom ya mlinzi
Pata picha wkt wa kuja kama uliingia na nyodoπππ€£π€£π€£nimecheka hapo kwenye room ya mlinzi!yaani nimepata picha ulivyokamatwa kwa kosa la kushindwa kulipia....wewe una mbinu za kupambana na watesi pambana