Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Nimekugongea dislike kwa mara ya kwanza leo😭😭

Kyeleuwiiiiiiiiii uwiiiiiii please dont try that mdogo wangu kipenzi🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Uwiiiii .
Joannah kuna kikao cha dharura usiku huu popote ulipo
Hujuagi huyo mdogo wako Lamomy ni mwehu?yeye anaropokaga tu sifui hafikirii shemeji akiona sie wenzie tunaweka wapi sura zetu🫣🫣anatufanya dada zake tuonekane hamnazo😂
 
Mtumishi Joannah Lamomy niko hapa alafaya toka jana shem wenu alisema nitangulie leo angekuja lkn nashangaa mpaka saa hii hapokei simu,hajibu text,whozap anani blue tick tu sijui nifanyaje na mimi sina hela njoen mnigomboe mlinzi kanambia nifue mashuka au niongee nae vizuri🙃🙃View attachment 3182639
Nimeshamtuma Loimata anakutafuta,bado upo humo Zari au umehamia Zuchu?😂😂. ..ingia PM chap kwa!
 
Hujuagi huyo mdogo wako Lamomy ni mwehu?yeye anaropokaga tu sifui hafikirii shemeji akiona sie wenzie tunaweka wapi sura zetu🫣🫣anatufanya dada zake tuonekane hamnazo😂
😀😀😀😀😀
Aisee katoto kalijua kunirusha roho haka hadi nikasema Mungu kwanini hii roho inyemelee familia yetu kwani na sisi tumekula fungu la kumi kama mama yake Martha!!?😀
 
Ila huyo unayemtuma una uhakika sio mtesi mkuu wa hapa kweli mana yeye na PSL god nahisi wana kitu na hiyo Lodge😀😀 (joking)

Anywayz mwambie niko kwenye room ya mlinzi hapa 😀
🤣🤣🤣nimecheka hapo kwenye room ya mlinzi!yaani nimepata picha ulivyokamatwa kwa kosa la kushindwa kulipia....wewe una mbinu za kupambana na watesi pambana
 
🤣🤣🤣nimecheka hapo kwenye room ya mlinzi!yaani nimepata picha ulivyokamatwa kwa kosa la kushindwa kulipia....wewe una mbinu za kupambana na watesi pambana
😅😅😅 tukamlipie kwa sharti aturuhusu turushe uzi wenye tittle PRIDAH ATELEKEZWA NA DANGA GUEST😅😅🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️
 
😅😅😅 tukamlipie kwa sharti aturuhusu turushe uzi wenye tittle PRIDAH ATELEKEZWA NA DANGA GUEST😅😅🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️
🤣🤣weee labda familia yake hatupo ni simu moja tu boss mtoto Lamomy ataomba lipa number case closed...ndugu yetu Pridah ni mtumishi hatuwezi ruhusu fedheha , sisi familia yetu haina visa vya kina Mwaipaja sisi tunabebeana misalaba
 
I
🤣🤣🤣nimecheka hapo kwenye room ya mlinzi!yaani nimepata picha ulivyokamatwa kwa kosa la kushindwa kulipia....wewe una mbinu za kupambana na watesi pambana
Pata picha wkt wa kuja kama uliingia na nyodo😀😀
 
Back
Top Bottom