Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujuagi huyo mdogo wako Lamomy ni mwehu?yeye anaropokaga tu sifui hafikirii shemeji akiona sie wenzie tunaweka wapi sura zetu🫣🫣anatufanya dada zake tuonekane hamnazo😂Nimekugongea dislike kwa mara ya kwanza leo😭😭
Kyeleuwiiiiiiiiii uwiiiiiii please dont try that mdogo wangu kipenzi🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Uwiiiii .
Joannah kuna kikao cha dharura usiku huu popote ulipo
Nimeshamtuma Loimata anakutafuta,bado upo humo Zari au umehamia Zuchu?😂😂. ..ingia PM chap kwa!Mtumishi Joannah Lamomy niko hapa alafaya toka jana shem wenu alisema nitangulie leo angekuja lkn nashangaa mpaka saa hii hapokei simu,hajibu text,whozap anani blue tick tu sijui nifanyaje na mimi sina hela njoen mnigomboe mlinzi kanambia nifue mashuka au niongee nae vizuri🙃🙃View attachment 3182639
Nishaongea na jirani yako
😀😀😀
Biashara ngumu watu wanatumia akili za ziada
Check ya inboxNakuomba inbox dear wangu🙏🏼🙏🏼
😀😀😀😀😀Hujuagi huyo mdogo wako Lamomy ni mwehu?yeye anaropokaga tu sifui hafikirii shemeji akiona sie wenzie tunaweka wapi sura zetu🫣🫣anatufanya dada zake tuonekane hamnazo😂
🤣🤣🤣nimecheka hapo kwenye room ya mlinzi!yaani nimepata picha ulivyokamatwa kwa kosa la kushindwa kulipia....wewe una mbinu za kupambana na watesi pambanaIla huyo unayemtuma una uhakika sio mtesi mkuu wa hapa kweli mana yeye na PSL god nahisi wana kitu na hiyo Lodge😀😀 (joking)
Anywayz mwambie niko kwenye room ya mlinzi hapa 😀
😅😅😅 tukamlipie kwa sharti aturuhusu turushe uzi wenye tittle PRIDAH ATELEKEZWA NA DANGA GUEST😅😅🏃🏿♀️🏃🏿♀️🤣🤣🤣nimecheka hapo kwenye room ya mlinzi!yaani nimepata picha ulivyokamatwa kwa kosa la kushindwa kulipia....wewe una mbinu za kupambana na watesi pambana
🤣🤣weee labda familia yake hatupo ni simu moja tu boss mtoto Lamomy ataomba lipa number case closed...ndugu yetu Pridah ni mtumishi hatuwezi ruhusu fedheha , sisi familia yetu haina visa vya kina Mwaipaja sisi tunabebeana misalaba😅😅😅 tukamlipie kwa sharti aturuhusu turushe uzi wenye tittle PRIDAH ATELEKEZWA NA DANGA GUEST😅😅🏃🏿♀️🏃🏿♀️
Mtoto wangu 🤗🤗 unafanya nn haporoom ya mlinzi
Pata picha wkt wa kuja kama uliingia na nyodo😀😀🤣🤣🤣nimecheka hapo kwenye room ya mlinzi!yaani nimepata picha ulivyokamatwa kwa kosa la kushindwa kulipia....wewe una mbinu za kupambana na watesi pambana