Majina ya Kiafrika mbioni kutoweka

Majina ya Kiafrika mbioni kutoweka

Hayawezi kuisha.. ulaya kwenyewe hayajaisha japo ya kiyahudi yametapakaa but Sir name yanabakia pale pale
 
Wewe kweli hujielewi kwahiyo ukitumia jina la masumbuko ndio nchi haiibiwi aisee kweli nyani akili yake ni ya kinyani wewe hata utumie jina gani mzungu akitaka Mali anabeba mchana kweupe na huna la kufanya
Bila shaka wewe utakuwa una jihita criss boy ...haya nimekubali unavyo sema basi nenda kaolewe wewe na baba yako muwe machoko kama mzungu anavyo tamani. 😁😁😁😁😁 mtafute P DIDDY haraka sana
 
Bila shaka wewe utakuwa una jihita criss boy ...haya nimekubali unavyo sema basi nenda kaolewe wewe na baba yako muwe machoko kama mzungu anavyo tamani. 😁😁😁😁😁 mtafute P DIDDY haraka sana
Mbona machoko mpo wengi tu mnaojiita majina ya kibongo tena wewe unaweza kuwa shoga kuliko hata hao wazungu maana imeshaanza kuuongelea ushoga na mtu yeyote anaeanza kuongelea hayo mambo huwa hayupo sawa asilimia 100 huwa Hana marinda anatafuta faraja
 
Ndugu wanaJF,
Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu.

Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla.

Ubantu unaisha. Unailoti unaisha.

Watu wa pwani walishapotezwa kitambo. Wao wengi wao wana majina ya kiarabu tupu.
Wakina Mohammed Said. Hata Surname za kiafrika walishaacha.

Watu wa bara ndiyo walikuwa badobado, lakini nao sasa watoto wao ni wakina Brian McDonald, Humphrey Jr. Scott au Natasha-Rose Leonard.

Hata wazungu, wachina, wahindi na waarabu wanatushangaa sana.

Wao hawana huu ujinga.

Hakuna mzungu anaitwa Manka, hakuna muarabu anaitwa Mabula wala mchina anayeitwa Mahenge.

Ngugi wa Thiong'o huyaita haya majina colonial tags.
Yeye aliachana na colonial tag yake 'James' akabaki na Ngugi wa Thiong'o.

Je, waafrika tumeshindwa kuthamini majina ya tamaduni zetu na kuachana na majina ya kigeni?
Na kwa kuchekana kisa majina yetu ya kiafrika ndo hatari..!!!

Sisi akina Mapunda, Ngonyani, Nguruwe, Fisi (Mbiti), Mang'ombe, Tembo, Katembo, Mhanga etc huwa tunachekwa sana na wasiotambulika kwa majina ya namna hii.
 
Mbona machoko mpo wengi tu mnaojiita majina ya kibongo tena wewe unaweza kuwa shoga kuliko hata hao wazungu
Mimi ni basha wewe uliza humu utaambiwa...kuhusu mashoga wenye majina ya kitanzania wapo ndiyo kama wewe ..ila mnayachukia ndiyo maana mna yabadili na kujita Criss boy maana yake amyapendi majina yenu ya kibantu ...pia mimi nina ongelea majina ya UKOO ..majina ya ukoo ni lazima yabaki kibantu haya ya mtu yanaweza kuwa ya kizungu hata kiarabu ila ya ukoo ysbaki kama yalivyo kiasili
 
Sasa ndo umuite mwanao Mwashambwa, Ndumbangwe, Masumbuko, Paramagamba? Chakufia nini? Ni laana tu unampa kwenye future yake.
Jinsi tulivyotawaliwa kiakili hadi kuyachukia majina yetu, namna hiyohiyo wametutawala kiakili kiasi cha kuwapoteza kuku wetu wa kienyeji, ng'ombe wetu wa kienyeji (wenye nundu), mapeasi yetu ya kienyeji, miembe yetu ya kienyeji, minazi yetu ya kienyeji, maepo yetu ya kienyeji, etc. Yaani kila kitu kimebadilika.
 
Mimi ni basha wewe uliza humu utaambiwa...kuhusu mashoga wenye majina ya kitanzania wapo ndiyo kama wewe ..ila mnayachukia ndiyo maana mna yabadili na kujita Criss boy maana yake amyapendi majina yenu ya kibantu ...pia mimi nina ongelea majina ya UKOO ..majina ya ukoo ni lazima yabaki kibantu haya ya mtu yanaweza kuwa ya kizungu hata kiarabu ila ya ukoo ysbaki kama yalivyo kiasili
Wewe ni shoga watu wengi wanaoanzisha mambo ya ushoga kwenye mada Fulani huwa hawana marinda na hii ni asilimia 100% mtu ambae sio shoga hawezi kuanzisha mada za aina hii maana ni kupromote ushoga
 
Wewe ni shoga watu wengi wanaoanzisha mambo ya ushoga kwenye mada Fulani huwa hawana marinda na hii ni asilimia 100% mtu ambae sio shoga hawezi kuanzisha mada za aina hii maana ni kupromote ushoga
Vipi tena utski ushoga yahee ...weye si umesema tuishi kwa kila neno litokalo kwenye kinywa cha mzungu yaheee...munzungu anataka uolewe weye mbona unaleta ukaidi 😁
 
Huu ujinga umeendelea kuota mizizi siku hadi siku.

Kwani mtanzania unashindwa nini kutunga jina lako zuri la kiswahili ukalibariki ukampa mtoto?

Basi tufanye wewe ni muingereza mweusi hujui kiswahili, Kamusi ya kiswahili ipo inaweza kukupa muongozo ukatengeneza jina la kiswahili lenye maana nzuri inayokupendeza.

Nihitimishe tu kwa kusema huu ni ujinga kuliko hata ujinga wenyewe.
 
Sasa ndo umuite mwanao Mwashambwa, Ndumbangwe, Masumbuko, Paramagamba? Chakufia nini? Ni laana tu unampa kwenye future yake.
Hawa kina Michael, Ibrahim, Joyce na wengineo walio na maisha magumu, wezi, Malaya wamepata wapi hizo laana??
 
Huu ujinga umeendelea kuota mizizi siku hadi siku.

Kwani mtanzania unashindwa nini kutunga jina lako zuri la kiswahili ukalibariki ukampa mtoto?

Basi tufanye wewe ni muinrgereza mweusi hujui kiswahili, Kamusi ya kiswahili ipo inaweza kukupa muongozo ukatengeneza jina la kiswahili lenye maana nzuri inayokupendeza.

Nihitimishe tu kwa kusema huu ni ujinga kuliko hata ujinga wenyewe.
Kwani wewe unaumia nini mtu akijiita jina la kiingereza
 
Kanisa katoliki wanaongoza kukataza majina ya kiafrika au ya kiswahili.
Hii hutegemea na kasisi anaye batiza, wengine hawana shida.
Kabisa huu ndo ukweli, nakumbuka nilienda kumbatiza firstborn (nilimpa jina la kiswahili) akasema hilo jina halipo kwenye biblia nitafute lililopo kwenye biblia, nililichukia hilo kanisa RC na sikurudi tenaaaaaa niko zangu Lutheran saiv
 
Ndugu wanaJF,
Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu.

Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla.

Ubantu unaisha. Unailoti unaisha.

Watu wa pwani walishapotezwa kitambo. Wao wengi wao wana majina ya kiarabu tupu.
Wakina Mohammed Said. Hata Surname za kiafrika walishaacha.

Watu wa bara ndiyo walikuwa badobado, lakini nao sasa watoto wao ni wakina Brian McDonald, Humphrey Jr. Scott au Natasha-Rose Leonard.

Hata wazungu, wachina, wahindi na waarabu wanatushangaa sana.

Wao hawana huu ujinga.

Hakuna mzungu anaitwa Manka, hakuna muarabu anaitwa Mabula wala mchina anayeitwa Mahenge.

Ngugi wa Thiong'o huyaita haya majina colonial tags.
Yeye aliachana na colonial tag yake 'James' akabaki na Ngugi wa Thiong'o.

Je, waafrika tumeshindwa kuthamini majina ya tamaduni zetu na kuachana na majina ya kigeni?
Kuna mshamba mmoja mwanae amemuita Israel
 
We unasema tu mkuu.
Fika shule ya msingi ucheki attendance list ya watoto unaojua kabisa ni wachaga ndiyo utalia.

Wachaga wa primary siku hizi wazazi wao wamewapa majina ya kizungu tupu. Hakuna Cha Temu wala Masawe.
Majina ya ukoo yako pale pale, maybe hawawapi watoto wao lakin hayapotei
 
Back
Top Bottom