Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka wewe utakuwa una jihita criss boy ...haya nimekubali unavyo sema basi nenda kaolewe wewe na baba yako muwe machoko kama mzungu anavyo tamani. 😁😁😁😁😁 mtafute P DIDDY haraka sanaWewe kweli hujielewi kwahiyo ukitumia jina la masumbuko ndio nchi haiibiwi aisee kweli nyani akili yake ni ya kinyani wewe hata utumie jina gani mzungu akitaka Mali anabeba mchana kweupe na huna la kufanya
Mbona machoko mpo wengi tu mnaojiita majina ya kibongo tena wewe unaweza kuwa shoga kuliko hata hao wazungu maana imeshaanza kuuongelea ushoga na mtu yeyote anaeanza kuongelea hayo mambo huwa hayupo sawa asilimia 100 huwa Hana marinda anatafuta farajaBila shaka wewe utakuwa una jihita criss boy ...haya nimekubali unavyo sema basi nenda kaolewe wewe na baba yako muwe machoko kama mzungu anavyo tamani. 😁😁😁😁😁 mtafute P DIDDY haraka sana
Na kwa kuchekana kisa majina yetu ya kiafrika ndo hatari..!!!Ndugu wanaJF,
Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu.
Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla.
Ubantu unaisha. Unailoti unaisha.
Watu wa pwani walishapotezwa kitambo. Wao wengi wao wana majina ya kiarabu tupu.
Wakina Mohammed Said. Hata Surname za kiafrika walishaacha.
Watu wa bara ndiyo walikuwa badobado, lakini nao sasa watoto wao ni wakina Brian McDonald, Humphrey Jr. Scott au Natasha-Rose Leonard.
Hata wazungu, wachina, wahindi na waarabu wanatushangaa sana.
Wao hawana huu ujinga.
Hakuna mzungu anaitwa Manka, hakuna muarabu anaitwa Mabula wala mchina anayeitwa Mahenge.
Ngugi wa Thiong'o huyaita haya majina colonial tags.
Yeye aliachana na colonial tag yake 'James' akabaki na Ngugi wa Thiong'o.
Je, waafrika tumeshindwa kuthamini majina ya tamaduni zetu na kuachana na majina ya kigeni?
Mimi ni basha wewe uliza humu utaambiwa...kuhusu mashoga wenye majina ya kitanzania wapo ndiyo kama wewe ..ila mnayachukia ndiyo maana mna yabadili na kujita Criss boy maana yake amyapendi majina yenu ya kibantu ...pia mimi nina ongelea majina ya UKOO ..majina ya ukoo ni lazima yabaki kibantu haya ya mtu yanaweza kuwa ya kizungu hata kiarabu ila ya ukoo ysbaki kama yalivyo kiasiliMbona machoko mpo wengi tu mnaojiita majina ya kibongo tena wewe unaweza kuwa shoga kuliko hata hao wazungu
Jinsi tulivyotawaliwa kiakili hadi kuyachukia majina yetu, namna hiyohiyo wametutawala kiakili kiasi cha kuwapoteza kuku wetu wa kienyeji, ng'ombe wetu wa kienyeji (wenye nundu), mapeasi yetu ya kienyeji, miembe yetu ya kienyeji, minazi yetu ya kienyeji, maepo yetu ya kienyeji, etc. Yaani kila kitu kimebadilika.Sasa ndo umuite mwanao Mwashambwa, Ndumbangwe, Masumbuko, Paramagamba? Chakufia nini? Ni laana tu unampa kwenye future yake.
Wewe ni shoga watu wengi wanaoanzisha mambo ya ushoga kwenye mada Fulani huwa hawana marinda na hii ni asilimia 100% mtu ambae sio shoga hawezi kuanzisha mada za aina hii maana ni kupromote ushogaMimi ni basha wewe uliza humu utaambiwa...kuhusu mashoga wenye majina ya kitanzania wapo ndiyo kama wewe ..ila mnayachukia ndiyo maana mna yabadili na kujita Criss boy maana yake amyapendi majina yenu ya kibantu ...pia mimi nina ongelea majina ya UKOO ..majina ya ukoo ni lazima yabaki kibantu haya ya mtu yanaweza kuwa ya kizungu hata kiarabu ila ya ukoo ysbaki kama yalivyo kiasili
Vipi tena utski ushoga yahee ...weye si umesema tuishi kwa kila neno litokalo kwenye kinywa cha mzungu yaheee...munzungu anataka uolewe weye mbona unaleta ukaidi 😁Wewe ni shoga watu wengi wanaoanzisha mambo ya ushoga kwenye mada Fulani huwa hawana marinda na hii ni asilimia 100% mtu ambae sio shoga hawezi kuanzisha mada za aina hii maana ni kupromote ushoga
Hii ndio michezo Gani tena aiseeMimi nafirwa
Hawa kina Michael, Ibrahim, Joyce na wengineo walio na maisha magumu, wezi, Malaya wamepata wapi hizo laana??Sasa ndo umuite mwanao Mwashambwa, Ndumbangwe, Masumbuko, Paramagamba? Chakufia nini? Ni laana tu unampa kwenye future yake.
Kwani wewe unaumia nini mtu akijiita jina la kiingerezaHuu ujinga umeendelea kuota mizizi siku hadi siku.
Kwani mtanzania unashindwa nini kutunga jina lako zuri la kiswahili ukalibariki ukampa mtoto?
Basi tufanye wewe ni muinrgereza mweusi hujui kiswahili, Kamusi ya kiswahili ipo inaweza kukupa muongozo ukatengeneza jina la kiswahili lenye maana nzuri inayokupendeza.
Nihitimishe tu kwa kusema huu ni ujinga kuliko hata ujinga wenyewe.
Swali wewe inakuuma nini mtu kujiita majina hayoHawa kina Michael, Ibrahim, Joyce na wengineo walio na maisha magumu, wezi, Malaya wamepata wapi hizo laana??
Sorry comment yangu nikwajili ya watu wenye akili timamu tu.Kwani wewe unaumia nini mtu akijiita jina la kiingereza
Wewe mpaka kufikia hatua ya kuponda majina ya wenzio inaonesha tu huna akili timamuSorry comment yangu nikwajili ya watu wenye akili timamu tu.
Abadilishe ajiite bundi wa mjiWewe mwenyewe humu JF ambapo hata hujulikani umetumia jina la City Owl au hilo ni jina la kingoni?
Mkuu jitahidi uyaishi mahubiri yako ;-)
Kabisa huu ndo ukweli, nakumbuka nilienda kumbatiza firstborn (nilimpa jina la kiswahili) akasema hilo jina halipo kwenye biblia nitafute lililopo kwenye biblia, nililichukia hilo kanisa RC na sikurudi tenaaaaaa niko zangu Lutheran saivKanisa katoliki wanaongoza kukataza majina ya kiafrika au ya kiswahili.
Hii hutegemea na kasisi anaye batiza, wengine hawana shida.
Kuna mshamba mmoja mwanae amemuita IsraelNdugu wanaJF,
Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu.
Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla.
Ubantu unaisha. Unailoti unaisha.
Watu wa pwani walishapotezwa kitambo. Wao wengi wao wana majina ya kiarabu tupu.
Wakina Mohammed Said. Hata Surname za kiafrika walishaacha.
Watu wa bara ndiyo walikuwa badobado, lakini nao sasa watoto wao ni wakina Brian McDonald, Humphrey Jr. Scott au Natasha-Rose Leonard.
Hata wazungu, wachina, wahindi na waarabu wanatushangaa sana.
Wao hawana huu ujinga.
Hakuna mzungu anaitwa Manka, hakuna muarabu anaitwa Mabula wala mchina anayeitwa Mahenge.
Ngugi wa Thiong'o huyaita haya majina colonial tags.
Yeye aliachana na colonial tag yake 'James' akabaki na Ngugi wa Thiong'o.
Je, waafrika tumeshindwa kuthamini majina ya tamaduni zetu na kuachana na majina ya kigeni?
Majina ya ukoo yako pale pale, maybe hawawapi watoto wao lakin hayapoteiWe unasema tu mkuu.
Fika shule ya msingi ucheki attendance list ya watoto unaojua kabisa ni wachaga ndiyo utalia.
Wachaga wa primary siku hizi wazazi wao wamewapa majina ya kizungu tupu. Hakuna Cha Temu wala Masawe.