MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,882
- 5,896
Teacher mashetani ya kwenye biblia. Kule kwenye biblia hakuna majini. Kuna mashetani na Malaika wasafi tu katika listi ya viumbe wasioonekana. Yaani sisi tunaamini mnayoaita majini ni mashetani ambayo kazi yao ni kudanganya. Wenda hata hiyo kauli ya kwenye Quran yanadanganya kuwa yamesilimu. Sisi tunaamini yanasubiri moto wa jehanam tu.Qur’ani ni ufunuo kutoka kwa Allah kwa wanadamu, na pia Qur’ani yenyewe inaonyesha kwamba majini waliweza kuusikia na kuuelewa ujumbe huo. Hilo halimaanishi kwamba Waislamu wanawaabudu majini.
Qur’ani inasema:
“Sema: Nimefunuliwa ya kwamba kundi la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumesikia Qur’ani yenye ajabu. Inahimiza kwenye uongofu, kwa hiyo tumeiamini...”
— Qur’ani 72:1–2.
Kwa hiyo jibu ni wazi: majini wanaweza kusikia Qur’ani na kuamini ujumbe wake. Lakini Qur’ani haifundishi Waislamu kuwaabudu au kuwaomba majini.
Na sasa hebu tuangalie Biblia yako mwenyewe.
Biblia yako pia inaonyesha kwamba viumbe wa rohoni wanaweza kusikia, kuelewa na kuitikia mambo yanayohusiana na Mungu.
Kwa mfano, Yesu alipokuwa akizungumza na pepo, pepo walijibu:
“Nini lililo kati yetu na wewe, Yesu, Mwana wa Mungu?”
— Mathayo 8:29.
Hawa walimsikia Yesu, walimtambua na wakajibu.
Na Yakobo 2:19 inasema:
“Mashetani nao waamini na kutetemeka.”
Hivyo Biblia yako yenyewe inakubali kwamba viumbe wa rohoni wanaweza kusikia na kutambua mambo yanayomhusu Mungu.
Kwa hiyo usifanye kosa la kimantiki la kusema:
“Majini kusikia Qur’ani ni sawa na Waislamu wanaabudu majini.”
Hayo ni mambo mawili tofauti kabisa.
Qur’ani inasema majini waliisikia Qur’ani na baadhi yao wakaamini. Hilo ni jambo moja. Kuabudu majini ni jambo jingine kabisa.
Na kwa Biblia yako pia, mashetani wanaweza kusikia na hata kuamini kwa namna fulani, lakini Wakristo hawasemi kwamba kwa sababu hiyo wanawaabudu.
Kwa hiyo hoja ya “majini nayo yameruhusiwa kujihusisha na Qur’ani?” haibadilishi chochote. Kusikia ufunuo si sawa na kuabudu chanzo cha ufunuo.
Tukitaka kujadili dini, tujenge hoja kwa maandiko,si kwa dhihaka dhidi ya Waislamu au majini.
Uislam siudhihaki ninaupenda. Ila kwenye kuyahusisha majini na uislam hapo ndipo chanzo cha matatizo mengi katika Imani yenu.Qur’ani ni ufunuo kutoka kwa Allah kwa wanadamu, na pia Qur’ani yenyewe inaonyesha kwamba majini waliweza kuusikia na kuuelewa ujumbe huo. Hilo halimaanishi kwamba Waislamu wanawaabudu majini.
Qur’ani inasema:
“Sema: Nimefunuliwa ya kwamba kundi la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumesikia Qur’ani yenye ajabu. Inahimiza kwenye uongofu, kwa hiyo tumeiamini...”
— Qur’ani 72:1–2.
Kwa hiyo jibu ni wazi: majini wanaweza kusikia Qur’ani na kuamini ujumbe wake. Lakini Qur’ani haifundishi Waislamu kuwaabudu au kuwaomba majini.
Na sasa hebu tuangalie Biblia yako mwenyewe.
Biblia yako pia inaonyesha kwamba viumbe wa rohoni wanaweza kusikia, kuelewa na kuitikia mambo yanayohusiana na Mungu.
Kwa mfano, Yesu alipokuwa akizungumza na pepo, pepo walijibu:
“Nini lililo kati yetu na wewe, Yesu, Mwana wa Mungu?”
— Mathayo 8:29.
Hawa walimsikia Yesu, walimtambua na wakajibu.
Na Yakobo 2:19 inasema:
“Mashetani nao waamini na kutetemeka.”
Hivyo Biblia yako yenyewe inakubali kwamba viumbe wa rohoni wanaweza kusikia na kutambua mambo yanayomhusu Mungu.
Kwa hiyo usifanye kosa la kimantiki la kusema:
“Majini kusikia Qur’ani ni sawa na Waislamu wanaabudu majini.”
Hayo ni mambo mawili tofauti kabisa.
Qur’ani inasema majini waliisikia Qur’ani na baadhi yao wakaamini. Hilo ni jambo moja. Kuabudu majini ni jambo jingine kabisa.
Na kwa Biblia yako pia, mashetani wanaweza kusikia na hata kuamini kwa namna fulani, lakini Wakristo hawasemi kwamba kwa sababu hiyo wanawaabudu.
Kwa hiyo hoja ya “majini nayo yameruhusiwa kujihusisha na Qur’ani?” haibadilishi chochote. Kusikia ufunuo si sawa na kuabudu chanzo cha ufunuo.
Tukitaka kujadili dini, tujenge hoja kwa maandiko,si kwa dhihaka dhidi ya Waislamu au majini.
Teacher mashetani ya kwenye biblia. Kule kwenye biblia hakuna majini. Kuna mashetani na Malaika wasafi tu katika listi ya viumbe wasioonekana. Yaani sisi tunaamini mnayoaita majini ni mashetani ambayo kazi yao ni kudanganya. Wenda hata hiyo kauli ya kwenye Quran yanadanganya kuwa yamesilimu. Sisi tunaamini yanasubiri moto wa jehanam tu.
Ila kwa imani yako unaamini majini yaliwahikuamini eti kwa sababu yalisikia Quran. Sisi tunasema hayo ni maongo na kipngozi wao ni baba wa uongo.
Kujua ni maongo hadi sasa haujatoa kauli ya kijasiri ya kuongea nayo, hujatoa ushuhuda kuwa uliwahi kukutana na jini safi mkapiga story au una rafiki wa kijini aliyesilimu ambaye huwa mnabadilishana uzoefu wa uislam. Hata wewe unayaogopa na kuyahofu kuwa ni vitu hatari
“Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.”
— Waefeso 6:12
“Nini lililo kati yetu na wewe, Yesu, Mwana wa Mungu?”
— Mathayo 8:29
“Mashetani nao waamini, na kutetemeka.”
Uislam siudhihaki ninaupenda. Ila kwenye kuyahusisha majini na uislam hapo ndipo chanzo cha matatizo mengi katika Imani yenu.
Kwa mfano majini walikuwa mashetani kwa kugoma kumsujudia mwanadamu. Hii kauli ya kiumbe kuambiwa kimuabudu kiumbe na sio Allah alafu kipewe adhabu ya kuwa shetani huoni iko nje kabisa ya jinsi Mungu anavyofanya kazi.?
Hii ni muhimu sana: Iblis alijua kabisa kwamba amri hiyo imetoka kwa Allah, lakini akasema:“Na tulipowaambia Malaika: Msujudieni Adam, wakasujudu isipokuwa Iblis. Alikuwa miongoni mwa majini, akafanya uasi dhidi ya amri ya Mola wake.”
— Qur’ani 18:50
“Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, na umemuumba kwa udongo.”
— Qur’ani 7:12
“Daudi akainama uso wake hata nchi, akamsujudia Sauli.”
— 1 Samweli 24:8
“Allah aliwaambia waabudu Adam.”
Waislam nawapenda kama binadamu wenzangu tu, ni watu ambao Mungu anawapenda pia.Umesema unaupenda Uislamu lakini tatizo lako ni “kuwahusisha majini na Uislamu.” Hapo ndipo tatizo la hoja yako lilipo: umeanza kwa kudai jambo ambalo Qur’ani yenyewe haisemi.
Kwanza, Qur’ani haisemi kwamba Allah aliwaambia viumbe “mwabuduni Adam.” Ilisema msujudieni Adam kama amri maalumu ya kumheshimu Adam na kumtii Allah. Iblis hakukataa kwa sababu ya kulinda ibada ya Allah; alikataa amri ya Allah kwa kiburi.
Qur’ani inasema:
Hii ni muhimu sana: Iblis alijua kabisa kwamba amri hiyo imetoka kwa Allah, lakini akasema:
Kwa hiyo kosa lake halikuwa kusema, “Siwezi kumuabudu Adam kwa sababu namwabudu Allah.”
Kosa lake lilikuwa kiburi na kutotii amri ya Allah.
Pili, wewe unasema: “Kiumbe kuambiwa kimuabudu kiumbe mwingine kiko nje ya jinsi Mungu anavyofanya kazi.”
Hilo ni tatizo katika hoja yako kwa sababu umebadilisha neno “kusujudu” kuwa “kuabudu.”
Kama unataka kuthibitisha kwamba amri ya Allah ilikuwa “mwabuduni Adam,” leta aya hiyo. Hutapata. Qur’ani inasema “msujudieni Adam,” si “mwabuduni Adam.”
Na Biblia yako yenyewe ina mifano ya watu kusujudu mbele ya wanadamu bila kuwaabudu kama Mungu.
Kwa mfano:
Je, Daudi alikuwa akimwabudu Sauli kama Mungu?
Hapana.
Kwa hiyo kusujudu hakumaanishi moja kwa moja kuabudu. Maana yake inategemea mazingira na amri iliyotolewa.
Tatu, unasema Iblis “alipewa adhabu ya kuwa shetani.” Hapana. Hata hapa umechanganya mambo.
Iblis hakulazimishwa kuwa mwovu. Alifanya uchaguzi wa kutotii kwa kiburi, akakataa amri ya Allah, akadai yeye ni bora kuliko Adam, kisha akaomba muda wa kuwapotosha wanadamu.
Kwa hiyo Qur’ani inampa Iblis jukumu lake wazi: uasi, kiburi na kuwapotosha wanadamu.
Na jambo la mwisho: ukitaka kupinga Uislamu, pinga kile Qur’ani inachosema, si kile unachodhani Qur’ani inasema.
Usiseme:
Halafu unapambana na hoja ambayo Qur’ani haijasema.
Leta aya inayosema “mwabuduni Adam.” Ikiwa huwezi kuileta, basi hoja hiyo imeanguka kabla hata hatujaanza mjadala.
Na kuhusu majini, Qur’ani 72:1–2 inasema baadhi ya majini walisikia Qur’ani, wakaelewa ujumbe wake na wakaamini. Huwezi kugeuza hilo kuwa “Waislamu wanaabudu majini” bila ushahidi.
Kwa hiyo kama tunataka mjadala wa kweli, weka Qur’ani na Biblia mezani, acha dhana na dhihaka, halafu tuone maandiko yanasemaje.
Waislam nawapenda kama binadamu wenzangu tu, ni watu ambao Mungu anawapenda pia.
Unaweza ukaweka dhihaka angalau mbili nilizokudhihaki ili tuendelee she he.
Allah alimwambia shetani amsujudie Adam. Kusujudu kitendo kama amri ya Mungu ni kitendo cha kiibada.Sawa, kama hukunidhihaki, sina tatizo na hilo. Hoja yangu si kuhusu kama unawapenda Waislamu au la, bali ni kuhusu ushahidi wa hoja zako.
Ulisema Iblis alikataa “kumuabudu Adam.” Lakini Qur’ani haisemi “mwabuduni Adam”, inasema “msujudieni Adam.” Hayo si kitu kimoja.
Na Biblia yako yenyewe inasema Daudi alimsujudia Sauli (1 Samweli 24:8), lakini hakumwabudu Sauli kama Mungu.
Kwa hiyo, tubaki kwenye maandiko: lete aya inayosema “mwabuduni Adam.” Kama haipo, basi usibadilishe “kusujudu” kuwa “kuabudu.”
Surah ya ng'ombe ilikuja baada ya Allah kujitapa uwa anafufua kwa kutumia beef 🍖 Yani siku ya mwisho Allah atakupiga mbaya kabisa na kipande Cha nyama ya ng'ombe beef 🍖 ili ufufukeKitu sura ya Ng'ombe
Surah ya ng'ombe ilikuja baada ya Allah kujitapa uwa anafufua kwa kutumia beef 🍖 Yani siku ya mwisho Allah atakupiga mbaya kabisa na kipande Cha nyama ya ng'ombe beef 🍖 ili ufufukeYesu alivyotoa mapepo ambao ni majini waovu aliwaonesha?
Alafu Umesahau ile eti majini yanakaa Chooni.Allah anaswali kwa mungu wa mashariki na magharibi:
Kumwombea Muhamadi
Allah anawawekea jiwe Jeusi mlisujudie:
Naskia hata mnapojenga vyoo mnatakiwa mnapokunya msiangalie upande wenye jiwe Jeusi Maka:
Mnaangalia Magharibi
hii ni zaidi ya vituko
Ukiangalia Magharibi swalat yako haiswihi
huo ni utumwa na sio Dini
70:40 -
"Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza"
Allah huyo anaapa kwa mola wake
Sidhan kama Jagina anayaogopa.Teacher mashetani ya kwenye biblia. Kule kwenye biblia hakuna majini. Kuna mashetani na Malaika wasafi tu katika listi ya viumbe wasioonekana. Yaani sisi tunaamini mnayoaita majini ni mashetani ambayo kazi yao ni kudanganya. Wenda hata hiyo kauli ya kwenye Quran yanadanganya kuwa yamesilimu. Sisi tunaamini yanasubiri moto wa jehanam tu.
Ila kwa imani yako unaamini majini yaliwahikuamini eti kwa sababu yalisikia Quran. Sisi tunasema hayo ni maongo na kipngozi wao ni baba wa uongo.
Kujua ni maongo hadi sasa haujatoa kauli ya kijasiri ya kuongea nayo, hujatoa ushuhuda kuwa uliwahi kukutana na jini safi mkapiga story au una rafiki wa kijini aliyesilimu ambaye huwa mnabadilishana uzoefu wa uislam. Hata wewe unayaogopa na kuyahofu kuwa ni vitu hatari
Wapi pameandikwa Muhammad alikutana na majini?Huwa najiuliza Majini walisomewa nn hadi wakajua ni neno la allah? . Wakat kipind hiko quran haikuwa kwenye mfumo wa kitabu?.
Mohamed hakuwa mchawi, je aliwezaje kukutana na majini weng kwa wakati mmoja?. Kwenye vikao vya majini au?.
Majini haya bila shaka ni ya kiarabu. (Ofcoz maana walimuelewa Mohamed).
sidhan kama mizimu ya Babu zetu walihudhuria.
Kama wanahudhuria Misikitini , je wana misikiti yao au na wao leo tutabanana nao kwenye swala ya ijumaa?.
Shetani hana malaika,kwanza shetani siyo kiumbe(specie) rasmi,ni sifa,hata wewe unaweza kuwa shetaniQuran inaturudisha kwenye biblia kama kuna sehemu huelewi pia.
Sura ya Yunus 10:94
"Na ikiwa unayo shaka katika tuliyo kuteremshia, basi waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia Haki kutoka kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wenye shaka." [1]
Fafanuzi baadhi zinasema hao ji Manasara ( au thenashara au wafuasi wa Yesuau wakristo) na Wayahudi.
Na sisi iko wazi
Hakuna majini bali ni Malaika wasafi wa Mungu na Malaika wachafu wa shetwain ambao ndio majini,mapepo, mashetani.
Ndio maana kumtetea jini msafi kidini ni kazi ngumu sana ambayo hata shetani mwenyewe hawezi. Maelezo ya Surat jin ni mazuri ila yanaacha maswali mengi ambayo hakuna wa kuyajibu bila kuacha shaka.
Haya maelezo ni kwa Mujibu wa niniShetani hana malaika,kwanza shetani siyo kiumbe(specie) rasmi,ni sifa,hata wewe unaweza kuwa shetani
Yesu hakutoa majini kwa mtu na kuyafukuzia kwa nguruwe,unasemaje hakuna mahiniTeacher mashetani ya kwenye biblia. Kule kwenye biblia hakuna majini. Kuna mashetani na Malaika wasafi tu katika listi ya viumbe wasioonekana. Yaani sisi tunaamini mnayoaita majini ni mashetani ambayo kazi yao ni kudanganya. Wenda hata hiyo kauli ya kwenye Quran yanadanganya kuwa yamesilimu. Sisi tunaamini yanasubiri moto wa jehanam tu.
Ila kwa imani yako unaamini majini yaliwahikuamini eti kwa sababu yalisikia Quran. Sisi tunasema hayo ni maongo na kipngozi wao ni baba wa uongo.
Kujua ni maongo hadi sasa haujatoa kauli ya kijasiri ya kuongea nayo, hujatoa ushuhuda kuwa uliwahi kukutana na jini safi mkapiga story au una rafiki wa kijini aliyesilimu ambaye huwa mnabadilishana uzoefu wa uislam. Hata wewe unayaogopa na kuyahofu kuwa ni vitu hatari
🤣🤣🤣Hakuna kitu kama hicho.hilo tukio lilitokea Kwa Wana wa Israel tu.kuonesha uwezo wake na uwepo wakeSurah ya ng'ombe ilikuja baada ya Allah kujitapa uwa anafufua kwa kutumia beef 🍖 Yani siku ya mwisho Allah atakupiga mbaya kabisa na kipande Cha nyama ya ng'ombe beef 🍖 ili ufufuke
Koran 2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu;
Koran 2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu;🤣🤣🤣Hakuna kitu kama hicho.hilo tukio lilitokea Kwa Wana wa Israel tu.kuonesha uwezo wake na uwepo wake
Huo ni muujiza maalum.kama ule wa waisrael na wayahudi kuvuka bahari huku maji yakiwa yameachana.Koran 2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu;
Wapi pameandikwa Muhammad alikutana na majini?