Majina ya wateule awamu ya tano yenye harufu ya ukanda...

Status
Not open for further replies.
Sasa hapo kama ni kosa unadhan anapaswa kuandamwa Mteuliwa au Mteuaji?


Ina maana na sie tunaolalamika kuwa JPM aliteua Wakristo wengi tuanze kulaumu Wakristo wa Nchi nzima?

Kuandama Wasukuma kwa kosa la Msukuma mmoja ni dhambi kubwa sana ambayo inawashughulisha watu wa Mataifa mengi Duniani

Sumu haipimwi kwa kuramba Mkuu
 
Mkurugenzi wa TRL,IGP,CDF, mwanasheria mkuu,jaji mkuu nk
 
Wewe

Wewe ni mku.ndu kuwaka kweli, hivi unawafahamu hawa makabila yao;
1.Waziri wa afya-Dorothy Gwajima
2.Waziri wa Madini- Dotto Biteko
3.Mkurugenzi wa NEC
Kama hujui uliza

Wewe

Wewe ni mku.ndu kuwaka kweli, hivi unawafahamu hawa makabila yao;
1.Waziri wa afya-Dorothy Gwajima
2.Waziri wa Madini- Dotto Biteko
3.Mkurugenzi wa NEC-Wilson Mahera
Kama hujui uliza
Matatizo ya kulala kwenye pombe za kienyeji kuamkia pasaka . Hatuongelei issue ya makabila hapa, bali tunaongelea ukanda walikotokea.
 
Ndiyo maana kama mimi binafsi naomba sana kila kwenye comments zangu Mungu atusaidie tusafishe yale yaliyopita ili sasa tuijenge Tanzania yetu tuliyo achiwa na baba wa taifa.
 
Mkurugenzi wa Nssf Dr Urio
 
Mnataka wafyekwe wasukuma wote duuh hamzungumzii wachagga waliojaa kila sehemu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ni wasukuma wangapi wameteuliwa?Acha chuki za kikabila.Kama kuna msukuma alikukwaza shughulika na huyo huyo lakini usitugawe Watanzania kwa hoja mfu za kikabila.
Hakuna sababu ya kupanic kijana,upendeleo kwa wasukuma ulikuwa wa kiwango kikubwa sana na usio na kificho chochote.
 
JPM anaitwa Mkabila kwa kuteua Watu wengi wa Kabila lake ila haitwi Mdini kwa kuteua wengi wa dini yake…kwny Dini anatetewa kuwa tuangalie sifa za walioteuliwa
Ndiyo maana kama mimi binafsi naomba sana kila kwenye comments zangu Mungu atusaidie tusafishe yale yaliyopita ili sasa tuijenge Tanzania yetu tuliyo achiwa na baba wa taifa.
 
Hii nchi tunakoelekea itakuwa kama Kenya 🇰🇪, hapo ndio utakuwa mwanzo wa wasenge fulani kuwatia adabu, huwezi ukasema wazi kuwa Wasukuma wabaya huku 1/4 ya population ya Tz ni wao tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…