Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kuna mtu majina yake yote yanafanana na yangu?
Inawezekana nikienda kuchukua barua DODOMA, nikipewa italeta shida gani?
Inawezekana kabisa kufanana majina matatu
😂😂😂😂 kwa tapeli sugu limeingia kwenye 18 za watu wa suti nyeusi wasiotaka masiharaYanaanzaga hivihivi baadae tunawekewa picha yako halafu inasindikizwa na maneno "Tapeli sugu lakamatwa Dodoma".
Kama nafasi husika unaimudu na vyeti unavyo nenda Dodomz na vyeti vyako uchukue barua. Utumishi wana majina ya watu wote waliomaliza vyuoni na sekndari. Hii bahati yako. Vinginevyo kuna mtu alifoji vyeti vyako akaomba kazi akapata sasa hawezi kwenda kuchukua barua. Wewe ndiwe unastahili. KACHUKUE URIPOTI KAZINI.Inawezekana kuna mtu majina yake yote yanafanana na yangu?
Inawezekana nikienda kuchukua barua DODOMA, nikipewa italeta shida gani?
Kwa majina yenu ya kiisilamu, si kitu cha ajabu akina Said Ahmed Mohamed wakawepo wanne katika mtaa mmoja.Inawezekana kuna mtu majina yake yote yanafanana na yangu?
Inawezekana nikienda kuchukua barua DODOMA, nikipewa italeta shida gani?
Shida ipo tena kubwa tuu.Inawezekana kuna mtu majina yake yote yanafanana na yangu?
Inawezekana nikienda kuchukua barua DODOMA, nikipewa italeta shida gani?
VINAFANANA...NA KITAMBULISHO NA VYETI VYOTE VIKO HIVYO...Kuna viambatanisho kama kitambulisho cha NIDA, navyo pia vitafanana? Jichanganye ukaishie lupango.
Basi yako hiyo mzee. Mkiswali na kuomba miujiza, hiyo ndio miujiza yenyewe.VINAFANANA...NA KITAMBULISHO NA VYETI VYOTE VIKO HIVYO...
kama unatumia majina ya kiarabu basi usiulize hapa job tuna kesi juma kesi wa2Inawezekana kuna mtu majina yake yote yanafanana na yangu?
Inawezekana nikienda kuchukua barua DODOMA, nikipewa italeta shida gani?
mkuu ww una uhakika gani huyo mtu ni haki yake vp kama alipata copy ya vyeti vyako huko kwenye photocopy au stationary ulipoenda kuscan vyeti vyako nae akachukua copy kisha akaenda kutengenezea vyeti vingine feki na akaviscan tena kwa picha yake au hujui mjini hapa kila kitu kinawezekana muhimu pesa yako..hiyo haki yake anaitoa wapi huyo mtu au ukute hana vyeti original hivyo hawezi kwenda huko ila ukienda ww hutaulizwa na mtu zaidi ya kusaini document tu..nenda kajaribuNASHUKURU KWA MAONI YENU...SIENDI KUDHULUMU HAKI YA MTU...
Kabisa...mkuu ww una uhakika gani huyo mtu ni haki yake vp kama alipata copy ya vyeti vyako huko kwenye photocopy au stationary ulipoenda kuscan vyeti vyako nae akachukua copy kisha akaenda kutengenezea vyeti vingine feki na akaviscan tena kwa picha yake au hujui mjini hapa kila kitu kinawezekana muhimu pesa yako..hiyo haki yake anaitoa wapi huyo mtu au ukute hana vyeti original hivyo hawezi kwenda huko ila ukienda ww hutaulizwa na mtu zaidi ya kusaini document tu..nenda kajaribu
Na usiache basi kutuletea mrejesho...Inawezekana kuna mtu majina yake yote yanafanana na yangu?
Inawezekana nikienda kuchukua barua DODOMA, nikipewa italeta shida gani?
Kwa waislamu, wengi hawatumii majina ua ukoo. Utaona tu;Mmefanana mpaka majina ya ukoo? Au ndio mariam Abdul mohamed. Hapo lazima utakutana na mwingine mwenye jina kama hilo. Usiende
Inawezekana hasa wenye majina matatu ambayo yote ni kama first name. Yaani hakuna jina la ukoo kama Moshi, Mkandawile, Mwamfupe, Ngonyani, Msambichaka etc. watu wenye majina kama Abdalla Yasin Juma, Ally Mohamed Mfaume, Mariamu Juma Yahaya etc..!! Wa hivi kufanana nje nje.Inawezekana kuna mtu majina yake yote yanafanana na yangu?
Inawezekana nikienda kuchukua barua DODOMA, nikipewa italeta shida gani?
Kule watakuuliza anuani mkuu.Inawezekana kuna mtu majina yake yote yanafanana na yangu?
Inawezekana nikienda kuchukua barua DODOMA, nikipewa italeta shida gani?
Kama uliwahi kupiga interview ya nafasi fulani hapo awali hukipata wana tabia ya kutoa majina kwa nafasi zingine bila wewe kuwa na taarifam hata mdogo wangu alipata kazi kwa style hiiInawezekana kuna mtu majina yake yote yanafanana na yangu?
Inawezekana nikienda kuchukua barua DODOMA, nikipewa italeta shida gani?