Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,011
- 5,188
Mshukuru sana MunguKusema ukweli majirani zangu kote nilikowahi kukaa sijawahi kutofautiana na yoyote kati Yao
Tunaheshimiana sana na kusaidiana pale inapobidi
Mwaka Jana tu hapo niligongwa na pikipiki nikadondokea mkono ule mkono haukuvunjika ila uliteguka nilikaa ndani wiki mbili na kwa muda wote huo huyu dada ndo alikuwa ananikanda mpaka nikakaa sawa
Nina jirani yangu kijana wa makamu yupo between 28-32. Yule fala anaweza piga mziki hata saa 7 usiku akijisikia. Na ndio chanzo kikubwa cha mimi na yeye na mimi kugombanaJirani kama jirani ni mtu muhimu sana kwenye maisha yetu ya kila siku hasa hasa kama ikitokea mkawa mnaelewana vizuri.
Mnaweza kushirikiana katika shida na raha, wakati mwingine jirani yako anaweza kuwa msaada mkubwa kuliko hata ndugu yako wa damu.
Pamoja na yote hayo wakati mwingine inaweza kutokea jirani akageuka kuwa kero au hata adui mkubwa, akatamani hata kukuona ukipitia changamoto mbalimbali za kimaisha.
Mimi binafsi nimewahi kukutana na majirani wema sehemu mbalimbali ambazo nimewahi kuishi kabla ya kuhamia kwangu.
Lakini pia kuna majirani wakorofi, kwa mfano kuna mmoja alikuwa anafungulia Subwoofer utadhani kuna Disco au sherehe nyumbani kwake, ukimsemesha utakutana na maneno machafu hatari.
Kwa upande wako wewe, Unawazungumziaje majirani zako? iwe ni hasi au chanya, share tupate experience.
Hahaha vijana wa ndale tupo vizuri aseeSidhani kama majirani wanajua kingine kuhusu mimi zaidi ya mitungi. Mimi pia sifahamu mambo yao zaidi ya yale wanayopost status. Ila sometimes nikiwa na hangover kali nikimfahamisha jirani yeyote lazima nipate msaada wa haraka hususani upande wa msosi. So naamini ni watu wema pia
Na majirani zako nao wakihojiwa watajibu hivi😂Ni wachafu wa roho tu wanafiki hawana hela plus wana nyege gademiti
Miyeyusho sana siwapendi hata kidogoNa majirani zako nao wakihojiwa watajibu hivi😂
Mkuu sasa ukuta ulishajenga kwanini umtoze hela tena?Mimi sijui hata majina yao na wao hawajui chochote kuhusu Mimi tena mmoja hata hatusalimiani na kuonana haizidi mara nne kwa mwaka.
Picha:Alinifuata akitaka kuunanisha ukuta/fence kwangu nikakubali ila tuchangie gharama pasu akaleta uswahili nikamwambia "JENGA UKUTA WAKO".
Kajenga ila tumekuwa maadui.😀😀
Kwa kiasi fulani naendana nawee.Mi ndo ata sijui maisha ya majirani zangu tofauti na salamu, huwa najifungia sana ndani! Kuna siku mpaka mwenye nyumba alinigongea anasema usije ukafia humo ndani kumbe nipo tu sipendi kukaa nje sipendi watu wengi pia😒
Kwakweli nilishashindwa kuzoeana na watu in real life🙂Kwa kiasi fulani naendana nawee.