Majirani zako ni watu wa namna gani?

Majirani zako ni watu wa namna gani?

Nyie ndi wale majirani wakorofi, yaani umejenga ukuta na hutaki aunganishe wa kwake hapo? Eti unamtoza, WTF jirani wa hivi simtaki.
Labda huko kwenu ndiyo wanaunganisha bure tu!!

Huku ndiyo utaratibu ni LAZIMA mtu uchangie!! Hutaki jenga wa kwako!!

Kwa hiyo ukihitajika ukarabati baadae utakuwa unaenda upande wake kurekebisha?? Huo si wazimu?

UJAMAA ulishakufa miaka mingi Chief!! No free lunch utaona watu wabaya wote tu!

Watu mnachangia harusi msizonufaika nazo kwa namna yoyote halafu ukuta ambao unakunufaisha unabana pua!!

Cement 22K/mfuko,electric fence 20K/m huku.
 
Duuh!
 
Nikuulize swali mkuu,
Ukuta wako umeujenga kwa kuacha nafasi kidogo au ulijenga mpakani kabisa?
 
Kusema ukweli majirani zangu kote nilikowahi kukaa sijawahi kutofautiana na yoyote kati Yao

Tunaheshimiana sana na kusaidiana pale inapobidi

Mwaka Jana tu hapo niligongwa na pikipiki nikadondokea mkono ule mkono haukuvunjika ila uliteguka nilikaa ndani wiki mbili na kwa muda wote huo huyu dada ndo alikuwa ananikanda mpaka nikakaa sawa
Ushapata wife hapo au unasemaje?
 
Masnitch, kuna kipindi walifanya mpango nikamatwe sababu ya kupuliza mjani eti naweza kuwa jambazi au kibaka kumbe sina shida na mtu yoyote
 
Tumemuomba jirani kutumia bomba lake la maji kwenye kaujenzi wa muda kama siku 5. Bili imetoka jirani (mama mwenye nyumba)anakuambia zimetoka units 44 lipia zote. Unamuuliza jirani kwani wewe huu mwezi hujatumia maji hata kidogo? Jirani anakuwa mkali na kusema lipia yote. Huyu ni jirani sitaki mazoea ,akufukuzae akuambii toka.
 
Ndiyo mambo ya ubepari hayo!

Mwanaume unaanzaje kwanza kuwa comfortable kuunganisha bure kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio aliyetumia gharama?

Niliacha nafasi na mita yangu ya maji ipo upande huo.
Okay,
Kwa hiyo kutakuwa na space ambayo itakuwa haina matumizi, huenda kikawa kichaka cha wahuni kujificha maana akijenga hapo kuta zitabanana.
 
Back
Top Bottom