Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Halafu ndoa ndo kimyaaa kirefu,zile tetesi za kipigo zitakua za ukweli.

Aliuza nguo kwa maslah yake tu

Lulu akubali asikubali enzi zile alikua anatumia akili za Muna. Saiv maskin hadi huruma kaporomoka kisa kubembeleza ndoa
Jamaaa muoaji basi,[emoji848][emoji44]...watu na masharti yao dyadya, ney, Domo, jizzo

Atakumbuka kurudi kudanga while kaishazeeka!

Jamaa limemrudisha nyuma sana asee, full kumlostisha!

Muna noma yule Demu, ana biashara nyingi sana hapa town[emoji485]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hicho ambacho mimi nimekiona watu wameamua kumgeuza fursa ...dahh mbaya Sana hii ...nadhani wameshahisi kuwa jamaa hatoweza ku survive ...kama ataweza ku survive kweli then anakuja kukuta Kwamba walimdhalilisha kwa kum changia michango ...aise sijui atakuwa na hali gani kifikira

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huo ndo ukweli mweupe pee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamii inakushangaa unavyoanika Upu.mb@vu wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata jamii ya wana katoliki (Catholic Church )ilimshangaa Galileo wakati alipokuwa anasema kwamba Jua halizunguki ila kinacho zunguka ni dunia ...na hatimae wakamuhukumu kifo

Baada ya miaka mingi baadae wakaja kuujua ukweli na kuamini alichokuwa anakifundisha galileo ...

Hivyo basi kama ninaishi na jamii ambayo ina uwezo haba wa kufikiri siwezi kuishangaa inapo nishangaa kwa sababu hata mimi nina washangaa wao jinsi ambavyo wanavyo nishangaa kutokana na kile nachokijua ambacho wao hawakijui ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom