Major General Mhidze aliyekuwa MSD apelekwe kwenye Court Martial


Nataka wanasiasa wajiangalie maadili na usafi wao kwanza halafu tuone watamfanya nini huyu mjeda.
 
Yote haya yamesababishwa na yule Punguwani kuweka Majeshi kwenye Taasisi.
Walikuwa wanasema ''wanajeshi hawaibi wala hawali rushwa''. Kuna wengine hata wamefikia hatua ya kusema wanajeshi wa-takeover kazi ya polisi kwa sababu ''hawali rushwa''. Mimi huwa nawaambia kuwa wanajeshi wengi hawana nafasi ya ku-intergrate na sehemu zenye upigaji ndiyo maana ila wakipata fursa nao ni wale wale tu!
 
Yule Punguwani alitaka kuikabidhi Serikali ya Kiraia kwa Majeshi ya Ulinzi😁
Dunia ya Mungu ingetucheka.
 
Yule Punguwani alitaka kuikabidhi Serikali ya Kiraia kwa Majeshi ya Ulinzi😁
Dunia ya Mungu ingetucheka.
Una hakika sasa hivi hatuchekwi kwa ccm kututawala miaka yote hii huku wakituchagulia rais wao na sisi tunabariki tu kwa kwenda kusimama foleni huku tukiita et kushiriki uchaguzi?
 
Una hakika sasa hivi hatuchekwi kwa ccm kututawala miaka yote hii huku wakituchagulia rais wao na sisi tunabariki tu kwa kwenda kusimama foleni huku tukiita et kushiriki uchaguzi?
Kwasisi Wapinzani tutaendelea kupush hadi Pwaa!!

Kuliko kuliingiza Taifa kwenye Machafuko ya sisi kwa sisi.

Slogan yetu itakuwa "Push hadi Pwaa!!"
 
Yote haya yamesababishwa na yule Punguwani kuweka Majeshi kwenye Taasisi.
Punguani wewe...kwa hiyo majeshi ni wezi au...

Hawa walipewa nafasi wakati mwingine kuokoa pesa ambayo angeajiriwa mtu baki wakati hao majenerali wanakua hawana kazi zinazowaweka busy sana na shughuli za ulinzinna kuonekana wanakula mshahara wa bure

Mfano badala ya kuacha askari wakaripoti Lugalo na kuanza kufyeka...bora kuwapa kazi za jamii ambazo zingegharimu serikali kwa mshahara ule ule mfano kuendesha mwendokasi nk

Kwa taarifa yako taasisi za ulinzi kiasi fulani zina mifumo mizuri ya usimamizi na uangalizi wa nidhamu
 
Mzizi wa matatizo ya MSD n

1. Mmamo August 2021 alilipa USD 1.5 Million kwa Kampuni ya Misri ambayo ni hewa. Hata utaratibu wa zabuni haukufanyika katika kuwapata ma supplier hao. Fedha zimepotea na hazitapatikana
Ichunguzwe kama ni wizi wa kimataifa basi ijulikane[matapeli nao wapo], kama utaratibu ulifanyika na tukaibiwa vilevile hatutamlaumu. Kama haukufanyika basi awajibishwe
2. Amejenga kiwanda cha MSD cha kutengeneza gloves kijijini kwake kwa thamani ya zaidi Tsh 35 Bilion bila Kufuata sheria ya MSD
Hapa penyewe tuliangalie tu kwa ujumla, kuhusu kujenga kijijini ni safi tu ndio kusambaza maendeleo, sio kila kitu kijengwe Dar[mjini]. Hiyo 35B kama ndio gharama halisi tunamuacha, kama sio gharama halisi hapo awajibishwe. Tusiwe na ugumu sana wa kubadilisha mambo mtu amechukua hela ya serikali akajenga kiwanda cha serikali kwa ajili ya wananchi. Hata kama unajaribu kuionesha picha flani kana kwamba ni 'yeye ndo kafaidika' au ni 'wakwao' na familia yake tu jambo ambalo ni vispecific flani vinavyopoteza maana katika picha kubwa ya Taifa. Kiwanda hicho ni lazima tu kingejengwa kwa watu fulani, na kiwanja kingenunuliwa labda kwa mtu fulani.

Hadi watanzania tutakapojifunza kusifia mazuri zaidi ya kukemea mabaya ndio maisha yetu yatakuwa bora na furaha tutaiona. Tupunguze zile za mtu akinunua ndege, tunataka tuanze kuzungumzia angejenga vyoo 300 sijui na vitanda 500! We pima tu kiujumla je? hilo nalo ni faida kwa nchi au la?
 
Ninakuwaga na wazo kama lako: Jeshi la ulinzi tulipe sura ya jeshi la ukombozi wa nchi lilete mapinduzi katika uzalishaji mali utoaji wa huduma pamoja na usimamizi wake tutapiga hatua
 
Mfano badala ya kuacha askari wakaripoti Lugalo na kuanza kufyeka...bora kuwapa kazi za jamii ambazo zingegharimu serikali kwa mshahara ule ule mfano kuendesha mwendokasi nk
Wakishastaafu wale pensheni yao kwa nini wazibe nafasi za Raia?
 
 
Hii nchi kuna watu wauaji wakubwa kabisa, yaani mafisadi kupindukia
 
Ila Jiwe bana, yani akiona sehemu hapako sawa anakimbilia kuweka mwanajeshi kana kwamba ni vita.
Sasa unakuta wala huyo brigedia yeye kama yeye hajapiga ila amezungukwa na wataalamu na watoto wa mjini wenye uzoefu.
 
CAG anakagua jeshi au kuweka ripoti ya ukaguzi wa jeshi hadharani?
 
Kwa hiyo mwanajeshi hata akifanya kosa lolote lile lazima apelekwe Court Martial?

Kuhusu huu ufisadi tuwekee na nyaraka namna alivofanya manunuzi bila taratibu za kisheria.
Ccm ndo wafanye clearance kama ndio au sio.mbona lowasa wali M clear akagombea na urais???
 
Muwe na akiba ya maneno, muda utakapowadia ukweli utajulikana ndiyo mtajua kelele za Ummy na huyo kiranja mkuu ni janjajanja. Wampeleke Mahakamani huyo Mjeshi na wawe tayari aanike kila kitu.
 
Aende court martial kwani MSD miongozo ilikuwa ya kijeshi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…