Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
NakaziaHicho kiwanda kajenga wapi Kijiji kipi wilaya ipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaHicho kiwanda kajenga wapi Kijiji kipi wilaya ipi
Alikupiga akiwa haiTokea lini Mzoga ukapiga Mimba?
Punguwani atampiga nani?Alikupiga akiwa hai
Mzizi wa matatizo ya MSD ni Major General Gabriel Mhidze aliyepekwa pale mwaka 2020 na Hayati Magufuli. Pamoja na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za UVIKO, kuna hizi 3 nazo lazima zifuatiliwe na TAKUKURU;
1. Mmamo August 2021 alilipa USD 1.5 Million kwa Kampuni ya Misri ambayo ni hewa. Hata utaratibu wa zabuni haukufanyika katika kuwapata ma supplier hao. Fedha zimepotea na hazitapatikana
2. Amejenga kiwanda cha MSD cha kutengeneza gloves kijijini kwake kwa thamani ya zaidi Tsh 35 Bilion bila Kufuata sheria ya MSD
-Feasibility study
- Sheria ya Manunuzi
- Hakuna Kibali cha Wizara wala Bodi
Kiwanda kipo kwenye shamba la Familia ambalo MSD imelinunua bila taratibu za zabuni.
Wanaweza wakawakamata vidagaa na kuwapeleka TAKUKURU lakini tatizo limesabanishwa na Major General mwenyewe. Aliwahamishia wizara nyingine wafanyakazi wote waliokuwa wanampinga anapovunja sheria.
Ni wakati sasa JWTZ wakampeleka akakabiliane na Mahakama ya Jeshi (Court Martial)
Labda wana facts za kuweza kum convictYote aliyoeleza hapo ni ya uongo
Walikuwa wanasema ''wanajeshi hawaibi wala hawali rushwa''. Kuna wengine hata wamefikia hatua ya kusema wanajeshi wa-takeover kazi ya polisi kwa sababu ''hawali rushwa''. Mimi huwa nawaambia kuwa wanajeshi wengi hawana nafasi ya ku-intergrate na sehemu zenye upigaji ndiyo maana ila wakipata fursa nao ni wale wale tu!Yote haya yamesababishwa na yule Punguwani kuweka Majeshi kwenye Taasisi.
Yule Punguwani alitaka kuikabidhi Serikali ya Kiraia kwa Majeshi ya Ulinzi😁Walikuwa wanasema ''wanajeshi hawaibi wala hawali rushwa''. Kuna wengine hata wamefikia hatua ya kusema wanajeshi wa-takeover kazi ya polisi kwa sababu ''hawali rushwa''. Mimi huwa nawaambia kuwa wanajeshi wengi hawana nafasi ya ku-intergrate na sehemu zenye upigaji ndiyo maana ila wakipata fursa nao ni wale wale tu!
Una hakika sasa hivi hatuchekwi kwa ccm kututawala miaka yote hii huku wakituchagulia rais wao na sisi tunabariki tu kwa kwenda kusimama foleni huku tukiita et kushiriki uchaguzi?Yule Punguwani alitaka kuikabidhi Serikali ya Kiraia kwa Majeshi ya Ulinzi😁
Dunia ya Mungu ingetucheka.
Kwasisi Wapinzani tutaendelea kupush hadi Pwaa!!Una hakika sasa hivi hatuchekwi kwa ccm kututawala miaka yote hii huku wakituchagulia rais wao na sisi tunabariki tu kwa kwenda kusimama foleni huku tukiita et kushiriki uchaguzi?
Punguani wewe...kwa hiyo majeshi ni wezi au...Yote haya yamesababishwa na yule Punguwani kuweka Majeshi kwenye Taasisi.
Ichunguzwe kama ni wizi wa kimataifa basi ijulikane[matapeli nao wapo], kama utaratibu ulifanyika na tukaibiwa vilevile hatutamlaumu. Kama haukufanyika basi awajibishweMzizi wa matatizo ya MSD n
1. Mmamo August 2021 alilipa USD 1.5 Million kwa Kampuni ya Misri ambayo ni hewa. Hata utaratibu wa zabuni haukufanyika katika kuwapata ma supplier hao. Fedha zimepotea na hazitapatikana
Hapa penyewe tuliangalie tu kwa ujumla, kuhusu kujenga kijijini ni safi tu ndio kusambaza maendeleo, sio kila kitu kijengwe Dar[mjini]. Hiyo 35B kama ndio gharama halisi tunamuacha, kama sio gharama halisi hapo awajibishwe. Tusiwe na ugumu sana wa kubadilisha mambo mtu amechukua hela ya serikali akajenga kiwanda cha serikali kwa ajili ya wananchi. Hata kama unajaribu kuionesha picha flani kana kwamba ni 'yeye ndo kafaidika' au ni 'wakwao' na familia yake tu jambo ambalo ni vispecific flani vinavyopoteza maana katika picha kubwa ya Taifa. Kiwanda hicho ni lazima tu kingejengwa kwa watu fulani, na kiwanja kingenunuliwa labda kwa mtu fulani.2. Amejenga kiwanda cha MSD cha kutengeneza gloves kijijini kwake kwa thamani ya zaidi Tsh 35 Bilion bila Kufuata sheria ya MSD
Ninakuwaga na wazo kama lako: Jeshi la ulinzi tulipe sura ya jeshi la ukombozi wa nchi lilete mapinduzi katika uzalishaji mali utoaji wa huduma pamoja na usimamizi wake tutapiga hatuaPunguani wewe...kwa hiyo majeshi ni wezi au...
Hawa walipewa nafasi wakati mwingine kuokoa pesa ambayo angeajiriwa mtu baki wakati hao majenerali wanakua hawana kazi zinazowaweka busy sana na shughuli za ulinzinna kuonekana wanakula mshahara wa bure
Mfano badala ya kuacha askari wakaripoti Lugalo na kuanza kufyeka...bora kuwapa kazi za jamii ambazo zingegharimu serikali kwa mshahara ule ule mfano kuendesha mwendokasi nk
Kwa taarifa yako taasisi za ulinzi kiasi fulani zina mifumo mizuri ya usimamizi na uangalizi wa nidhamu
Wakishastaafu wale pensheni yao kwa nini wazibe nafasi za Raia?Mfano badala ya kuacha askari wakaripoti Lugalo na kuanza kufyeka...bora kuwapa kazi za jamii ambazo zingegharimu serikali kwa mshahara ule ule mfano kuendesha mwendokasi nk
Inamana kiwanda kipo kijijini kwao Lupembe??Embu fafanuwa! Maana kati ya Watanzania waaminifu na wazalendo kama Nyerere huyu ni mmoja wao na isitoshe Wanajeshi wapo kuilinda na kupigania ustawi wa nchi na watu wake. Sijawai sikia kuna Mwanajeshi amekamatwa kwa Ubadilifu ata siku moja.Kumbuka mpaka mkataba unasainiwa ni zaidi ya mwaka kama sio miaka- yeye ni msaini mikataba walio chini yake ndo wanaofaidika na all bad deals jua hilo. Tender Board na watu wa kitengo cha manunuzi wanawaangushia Ma MD majumba mabovu kila kukicha. Kwa huyu Jamaa nakataa kama alikuwa Ntu wa Dilli namfahamu na najua how serious alivyo
[/QUOKwambaKwamba yeye anasaini tu Sasa ni w kazi gani kaam anasaini asichokijua nchi hii imejaa vyeo vingi vya kula tuInamana kiwanda kipo kijijini kwao Lupembe??Embu fafanuwa! Maana kati ya Watanzania waaminifu na wazalendo kama Nyerere huyu ni mmoja wao na isitoshe Wanajeshi wapo kuilinda na kupigania ustawi wa nchi na watu wake. Sijawai sikia kuna Mwanajeshi amekamatwa kwa Ubadilifu ata siku moja.Kumbuka mpaka mkataba unasainiwa ni zaidi ya mwaka kama sio miaka- yeye ni msaini mikataba walio chini yake ndo wanaofaidika na all bad deals jua hilo. Tender Board na watu wa kitengo cha manunuzi wanawaangushia Ma MD majumba mabovu kila kukicha. Kwa huyu Jamaa nakataa kama alikuwa Ntu wa Dilli namfahamu na najua how serious alivyo
Inamana kiwanda kipo kijijini kwao Lupembe??Embu fafanuwa! Maana kati ya Watanzania waaminifu na wazalendo kama Nyerere huyu ni mmoja wao na isitoshe Wanajeshi wapo kuilinda na kupigania ustawi wa nchi na watu wake. Sijawai sikia kuna Mwanajeshi amekamatwa kwa Ubadilifu ata siku moja.Kumbuka mpaka mkataba unasainiwa ni zaidi ya mwaka kama sio miaka- yeye ni msaini mikataba walio chini yake ndo wanaofaidika na all bad deals jua hilo. Tender Board na watu wa kitengo cha manunuzi wanawaangushia Ma MD majumba mabovu kila kukicha. Kwa huyu Jamaa nakataa kama alikuwa Ntu wa Dilli namfahamu na najua how serious alivyo
Ccm ndo wafanye clearance kama ndio au sio.mbona lowasa wali M clear akagombea na urais???Kwa hiyo mwanajeshi hata akifanya kosa lolote lile lazima apelekwe Court Martial?
Kuhusu huu ufisadi tuwekee na nyaraka namna alivofanya manunuzi bila taratibu za kisheria.
Muwe na akiba ya maneno, muda utakapowadia ukweli utajulikana ndiyo mtajua kelele za Ummy na huyo kiranja mkuu ni janjajanja. Wampeleke Mahakamani huyo Mjeshi na wawe tayari aanike kila kitu.Mzizi wa matatizo ya MSD ni Major General Gabriel Mhidze aliyepekwa pale mwaka 2020 na Hayati Magufuli. Pamoja na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za UVIKO, kuna hizi 3 nazo lazima zifuatiliwe na TAKUKURU;
1. Mmamo August 2021 alilipa USD 1.5 Million kwa Kampuni ya Misri ambayo ni hewa. Hata utaratibu wa zabuni haukufanyika katika kuwapata ma supplier hao. Fedha zimepotea na hazitapatikana
2. Amejenga kiwanda cha MSD cha kutengeneza gloves kijijini kwake kwa thamani ya zaidi Tsh 35 Bilion bila Kufuata sheria ya MSD
-Feasibility study
- Sheria ya Manunuzi
- Hakuna Kibali cha Wizara wala Bodi
Kiwanda kipo kwenye shamba la Familia ambalo MSD imelinunua bila taratibu za zabuni.
Wanaweza wakawakamata vidagaa na kuwapeleka TAKUKURU lakini tatizo limesabanishwa na Major General mwenyewe. Aliwahamishia wizara nyingine wafanyakazi wote waliokuwa wanampinga anapovunja sheria.
Ni wakati sasa JWTZ wakampeleka akakabiliane na Mahakama ya Jeshi (Court Martial)
Aende court martial kwani MSD miongozo ilikuwa ya kijeshi?Mzizi wa matatizo ya MSD ni Major General Gabriel Mhidze aliyepekwa pale mwaka 2020 na Hayati Magufuli. Pamoja na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za UVIKO, kuna hizi 3 nazo lazima zifuatiliwe na TAKUKURU;