Makabidhiano ya mateka: Israel kuwaacha mateka 39 wa Palestina kwa watekaji wa Israel huko Gaza

Makabidhiano ya mateka: Israel kuwaacha mateka 39 wa Palestina kwa watekaji wa Israel huko Gaza

Red cross imevuka rafah border na mateka
 
Haaaaaaa, wewe zero brain kweli, mkiambiwa muende shule hamtaki! Ugaidi ukishatokea, yoyote anayeingia kwenye 18 anatekwa maelezo itakuwa mbele kwa mbele, huyo atakuwa ameuawa na mabomu ya Israel , lakini unaposema alikuwa shushu unaharibu taswira ya nchi yetu kuwa Tanzania tulituma shushu kwenda Israel na siyo kusoma, hii ni hatari kwa diplomasia na nchi za Kiarabu. Thibitisha kuwa alikuwa shushu wa Israel!
Mimi nimesoma kuliko ukooo wenu wote. Nikikuonyesha vyeti vyangu vyako utafungia vitumbua.
Hamas sio magaidi ni raia wanapigania nchi yao iliotekwa na mayahudi
 
mnaabudu shetan, hata quran inasema siku za mwisho yatatokea haya ya shetan kuwatesa watu wasio mfuata , kuwaua hata kuwanyima hudumq za msingi , kwq siku za karibun uislam umeshamir hz tabia
Wewe unatawaliwa na rais muislam. Unakula raha zote ambazo zitaka
 
🚨Report from Egypt: “The Israeli abductees were handed over to us and are under our responsibility. They are currently receiving primary medical care

In the next few minutes, our abductees will pass through the Rafah crossing

The abductees are not yet in Egyptian territory. They are now under Egyptian escort to the Rafah crossing.”
 
Washavuka rafah,

13 israelis

10 Thai

1 filipino

Src: Qatar
 
BREAKING: ISRAEL YAWAFUKUZA WANAHABARI NA FAMILIA YA AMANI AL-HASHIM NYUMBANI KWAKE KABLA YA KUACHIWA HURU.

Amani Al-Hashim ni mateka anayeshikiliwa na Israel.

Pia waliiba peremende za sherehe kutoka kwa nyumba ya familia ya mfungwa Amani Al-Hashem huko Beit Hanina huko Jerusalem.

Jamaa wajingq sana.
 
MK254 kutana na nduguzo huku na makasiriko ya mkizi
 
JUST IN: FOOTAGE OF HOSTAGE TRANSPORT

Exclusive footage captures the moment the Red Cross received Israeli prisoners and individuals detained by Hamas, transferring them from Khan Yunis to the Rafah crossing

This event marks the initial phase of the exchange deal under the truce

Source: Palestine Daily
 
Israel Kakubali masharti yote ya Hamas

1 Hakuna kurusha ndege zake

2 Awachie kila kitu kingie Gaza chakula, mafuta, dawa, yani kila kitu 😄

3 vifaru vyao visitingishike

4 mateka 150 kwa 50

5 ndege zao ziruke North Gaza only kwa saa sita sio South

6 Asimguse Mpalestine yoyote yule katika hizo siku 4 akimgusa Hamasi anawachapa

Hi aibu mtaificha wapi taifa la kishoga

Vipi zile spy satellite, ma U2 spy planes nk za mabeberu anga za juu, HAMAS atajificha nazo vipi kwenye kuwakabidhi mateka?
 
Vipi zile spy satellite, ma U2 spy planes nk za mabeberu anga za juu, HAMAS atajificha nazo vipi kwenye kuwakabidhi mateka?
Unaleta story za cinama za kina Rambo hizo spy satellite zilikuwa wapi kujua mateka walipo? Hamas ni vichwa wewe mateka wamewagawa mafungu na walikabidhiwa kwa Qatar kisha msalaba mwekundi Israel wataenda kuwachukua Misri.
 
Wanaukumbi.

BREAKING: ISRAEL YAWAACHA MATEKA 39 WA PALESTINA KWA WATEKAJI WA ISRAELI HUKO GAZA.

Israel imewaachilia mateka Wapalestina 39, wanawake 24 na watoto 15.

Hamas kukabiliana na mateka 13 wa Israel.

Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu litasimamia uhamisho huo katika jela ya kijeshi ya Ofer.

Baada ya Shirika la Msalaba Mwekundu kuwapokea mateka Wapalestina, wale kutoka Jerusalem wataenda Jerusalem na wale wa Ukingo wa Magharibi watakusanyika katika baraza la manispaa ya Betunia ambako familia zao zitakuwa zikisubiri.
======================
UPDATE
BREAKING: Sky News Confirms Release of 39 Women and Children from Israeli Prisons, Totaling 150
Mtanzania mwenzetu naye ataachiwa (kama naye yupo miongoni mwa mateka) inshaallah..

Ugaidi ni uovu haijalishi sababu za kuhalalisha wala upande unaotekeleza.
 
Duh haya ndo yalikuwa malengo ya HAMAS kipindi inavamia Israel? Naona kama ni biashara kichaa hivi.
 
wapalestina 39 wameachiwa

Src: Qatar
 
HAMAS: If Israel releases all Palestinian prisoners, we are ready to release all captured Israeli soldiers.
Release of ALL Palestinian prisoners?
No, hilo haliwezekani kamwe.

Kati ya wale wafungwa wa kipalestina 7,000 kwenye magereza ya Israel, baadhi yao ni wahalifu na magaidi sugu
 
Unaleta story za cinama za kina Rambo hizo spy satellite zilikuwa wapi kujua mateka walipo? Hamas ni vichwa wewe mateka wamewagawa mafungu na walikabidhiwa kwa Qatar kisha msalaba mwekundi Israel wataenda kuwachukua Misri.

Hizo siyo cinema spy satellites na hizo spy planes hazioni ndani ya majumba au chini ya ardhi.

Kumbuka pia Qatar hakabidhiwi MTU Bali makabidhiano ni HAMAS --> ICRC.

Punguza makasiriko. Ni Kwa mjinga tu asiyemwona HAMAS kuwa shujaa:

IMG_1567.jpg
 
Back
Top Bottom