Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimesoma kuliko ukooo wenu wote. Nikikuonyesha vyeti vyangu vyako utafungia vitumbua.Haaaaaaa, wewe zero brain kweli, mkiambiwa muende shule hamtaki! Ugaidi ukishatokea, yoyote anayeingia kwenye 18 anatekwa maelezo itakuwa mbele kwa mbele, huyo atakuwa ameuawa na mabomu ya Israel , lakini unaposema alikuwa shushu unaharibu taswira ya nchi yetu kuwa Tanzania tulituma shushu kwenda Israel na siyo kusoma, hii ni hatari kwa diplomasia na nchi za Kiarabu. Thibitisha kuwa alikuwa shushu wa Israel!
Wewe unatawaliwa na rais muislam. Unakula raha zote ambazo zitakamnaabudu shetan, hata quran inasema siku za mwisho yatatokea haya ya shetan kuwatesa watu wasio mfuata , kuwaua hata kuwanyima hudumq za msingi , kwq siku za karibun uislam umeshamir hz tabia
Washavuka rafah,🚨Report from Egypt: “The Israeli abductees were handed over to us and are under our responsibility. They are currently receiving primary medical care
In the next few minutes, our abductees will pass through the Rafah crossing
The abductees are not yet in Egyptian territory. They are now under Egyptian escort to the Rafah crossing.”
BREAKING: ISRAEL YAWAFUKUZA WANAHABARI NA FAMILIA YA AMANI AL-HASHIM NYUMBANI KWAKE KABLA YA KUACHIWA HURU.
Amani Al-Hashim ni mateka anayeshikiliwa na Israel.
Pia waliiba peremende za sherehe kutoka kwa nyumba ya familia ya mfungwa Amani Al-Hashem huko Beit Hanina huko Jerusalem.
Jamaa wajingq sana.
Israel Kakubali masharti yote ya Hamas
1 Hakuna kurusha ndege zake
2 Awachie kila kitu kingie Gaza chakula, mafuta, dawa, yani kila kitu 😄
3 vifaru vyao visitingishike
4 mateka 150 kwa 50
5 ndege zao ziruke North Gaza only kwa saa sita sio South
6 Asimguse Mpalestine yoyote yule katika hizo siku 4 akimgusa Hamasi anawachapa
Hi aibu mtaificha wapi taifa la kishoga
Unaleta story za cinama za kina Rambo hizo spy satellite zilikuwa wapi kujua mateka walipo? Hamas ni vichwa wewe mateka wamewagawa mafungu na walikabidhiwa kwa Qatar kisha msalaba mwekundi Israel wataenda kuwachukua Misri.Vipi zile spy satellite, ma U2 spy planes nk za mabeberu anga za juu, HAMAS atajificha nazo vipi kwenye kuwakabidhi mateka?
Mtanzania mwenzetu naye ataachiwa (kama naye yupo miongoni mwa mateka) inshaallah..Wanaukumbi.
BREAKING: ISRAEL YAWAACHA MATEKA 39 WA PALESTINA KWA WATEKAJI WA ISRAELI HUKO GAZA.
Israel imewaachilia mateka Wapalestina 39, wanawake 24 na watoto 15.
Hamas kukabiliana na mateka 13 wa Israel.
Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu litasimamia uhamisho huo katika jela ya kijeshi ya Ofer.
Baada ya Shirika la Msalaba Mwekundu kuwapokea mateka Wapalestina, wale kutoka Jerusalem wataenda Jerusalem na wale wa Ukingo wa Magharibi watakusanyika katika baraza la manispaa ya Betunia ambako familia zao zitakuwa zikisubiri.
======================
UPDATE
BREAKING: Sky News Confirms Release of 39 Women and Children from Israeli Prisons, Totaling 150
Release of ALL Palestinian prisoners?HAMAS: If Israel releases all Palestinian prisoners, we are ready to release all captured Israeli soldiers.
Kwani siku zote 60 zilikuwa zimezimwa?Vipi zile spy satellite, ma U2 spy planes nk za mabeberu anga za juu, HAMAS atajificha nazo vipi kwenye kuwakabidhi mateka?
Gaidi nini maana yake? Maana hata mbowe tuliambiwa gaidi suguHilo haliwezekani kamwe.
Kati ya wale wafungwa wa kipalestina 7,000 kwenye magereza ya Israel, baadhi yao ni wahalifu na magaidi sugu
Uliza BAKITAGaidi nini maana yake?
Maana hata mbowe tumeambiwa ni gaidiUliza BAKITA
Unaleta story za cinama za kina Rambo hizo spy satellite zilikuwa wapi kujua mateka walipo? Hamas ni vichwa wewe mateka wamewagawa mafungu na walikabidhiwa kwa Qatar kisha msalaba mwekundi Israel wataenda kuwachukua Misri.
Kwani siku zote 60 zilikuwa zimezimwa?