Embu nipe majina ya mitume ya Allah waliuwawa na wayahudimayahudi ambao waliwakataa wote na kuwafanyia vitimbi, waliwatukana na wengine wanawatukana (ikiwemo Sulayman) mpaka leo, na wengine waliwaua kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu nipe majina ya mitume ya Allah waliuwawa na wayahudimayahudi ambao waliwakataa wote na kuwafanyia vitimbi, waliwatukana na wengine wanawatukana (ikiwemo Sulayman) mpaka leo, na wengine waliwaua kabisa.
Hata sikuelewi unataka kusema nini.Hizo siyo cinema spy satellites na hizo spy planes hazioni ndani ya majumba au chini ya ardhi.
Kumbuka pia Qatar hakabidhiwi MTU Bali makabidhiano ni HAMAS --> ICRC.
Punguza makasiriko. Ni Kwa mjinga tu asiyemwona HAMAS kuwa shujaa:
View attachment 2823566
Yani mateka wakiwa wanatolewa kama zile drones zipo zi zitaona movement kutoka kwenye location za mateka?Hata sikuelewi unataka kusema nini.
Kakubali masharti yote ya HamasiHata sikuelewi unataka kusema nini.
Mtu aliyesoma/asiyesoma utamjua kupitia maandishi yake tu kwahiyo usijar mkuu ww tushakujua.Mimi nimesoma kuliko ukooo wenu wote. Nikikuonyesha vyeti vyangu vyako utafungia vitumbua.
Hamas sio magaidi ni raia wanapigania nchi yao iliotekwa na mayahudi
Hata usiponijuaMtu aliyesoma/asiyesoma utamjua kupitia maandishi yake tu kwahiyo usijar mkuu ww tushakujua.
Hata sikuelewi unataka kusema nini.
Kwako biashara ya kichaa maana unalishwa na mama na babaDuh haya ndo yalikuwa malengo ya HAMAS kipindi inavamia Israel? Naona kama ni biashara kichaa hivi.
Naona umeamua kuwa comedian sasa.BREAKING: ISRAEL YAWAFUKUZA WANAHABARI NA FAMILIA YA AMANI AL-HASHIM NYUMBANI KWAKE KABLA YA KUACHIWA HURU.
Amani Al-Hashim ni mateka anayeshikiliwa na Israel.
Pia waliiba peremende za sherehe kutoka kwa nyumba ya familia ya mfungwa Amani Al-Hashem huko Beit Hanina huko Jerusalem.
Jamaa wajingq sana.
We Gaidi umefuata nini hapa?Kwako biashara ya kichaa maana unalishwa na mama na baba
Hapana alienda kujifunza kilimo kwa ufadhili wa serikali ya Israel, walienda kama vijana 200Nasikia alikuwa shushuu
Huko ulikua nae?Hapana alienda kujifunza kilimo kwa ufadhili wa serikali ya Israel, walienda kama vijana 200
Huko ulikua nae?Hapana alienda kujifunza kilimo kwa ufadhili wa serikali ya Israel, walienda kama vijana 200
Na anasema imani yake ya kiislamu imepanda mara 100 zaidii.BREAKING: KUTOLEWA KWA MATEKA WA PALESTINA
Marah Bakir ameachiliwa kutoka jela ya Israel
Aliwekwa kizuizini 2015 akiwa na umri wa miaka 16 wakati wanajeshi wa Israeli walipompiga risasi mkononi.
Mbona Wapalestina wamekula Shaba wanne na wamededi walikuwa wanataka kurejea walipoambiwa wahame... na Hamas katulia tu.. usishindane na njaaIsrael Kakubali masharti yote ya Hamas
1 Hakuna kurusha ndege zake
2 Awachie kila kitu kingie Gaza chakula, mafuta, dawa, yani kila kitu 😄
3 vifaru vyao visitingishike
4 mateka 150 kwa 50
5 ndege zao ziruke North Gaza only kwa saa sita sio South
6 Asimguse Mpalestine yoyote yule katika hizo siku 4 akimgusa Hamasi anawachapa
Hi aibu mtaificha wapi taifa la kishoga