Makabidhiano ya mateka: Israel kuwaacha mateka 39 wa Palestina kwa watekaji wa Israel huko Gaza

Makabidhiano ya mateka: Israel kuwaacha mateka 39 wa Palestina kwa watekaji wa Israel huko Gaza

mayahudi ambao waliwakataa wote na kuwafanyia vitimbi, waliwatukana na wengine wanawatukana (ikiwemo Sulayman) mpaka leo, na wengine waliwaua kabisa.
Embu nipe majina ya mitume ya Allah waliuwawa na wayahudi
 
Hizo siyo cinema spy satellites na hizo spy planes hazioni ndani ya majumba au chini ya ardhi.

Kumbuka pia Qatar hakabidhiwi MTU Bali makabidhiano ni HAMAS --> ICRC.

Punguza makasiriko. Ni Kwa mjinga tu asiyemwona HAMAS kuwa shujaa:

View attachment 2823566
Hata sikuelewi unataka kusema nini.
 
Hata sikuelewi unataka kusema nini.
Yani mateka wakiwa wanatolewa kama zile drones zipo zi zitaona movement kutoka kwenye location za mateka?

Hamas hii kitu amemanuva vp?
 
🚨 NDANI TU: USASISHAJI WA MATEKA

- Watoto na akina mama wa Israel, ambao sasa wameachiliwa kutoka Gaza, wanaripotiwa kuwa katika hali nzuri ya afya

- Wawili kati ya Waisraeli wametambuliwa kama Margalit Mozes, mwenye umri wa miaka 78, na Adina Moshe, mwenye umri wa miaka 72

Mume wa Adina aliuawa mbele ya macho yake mnamo Oktoba 7

Chanzo: Israel Today
 

Attachments

  • IMG_6739.jpeg
    IMG_6739.jpeg
    31.1 KB · Views: 3
Hata sikuelewi unataka kusema nini.
Kakubali masharti yote ya Hamasi

1 Hakuna kurusha ndege zake

2 Awachie kila kitu kingie Gaza chakula, mafuta, dawa, yani kila kitu 😄

3 vifaru vyao visitingishike

4 marekwa 150 kwa 50

5 ndege zao ziruke North Gaza only kwa saa sita sio South

6 Asimguse Mpalestine yoyote yule katika hizo siku 4 akimgusa Hamasi anawachapa
 
Mimi nimesoma kuliko ukooo wenu wote. Nikikuonyesha vyeti vyangu vyako utafungia vitumbua.
Hamas sio magaidi ni raia wanapigania nchi yao iliotekwa na mayahudi
Mtu aliyesoma/asiyesoma utamjua kupitia maandishi yake tu kwahiyo usijar mkuu ww tushakujua.
 
FOOTAGE UPDATE: RED CROSS HOSTAGE TRANSPORT

More exclusive footage of the moment the Red Cross transports Israeli prisoners and individuals detained by Hamas, transferring them from Khan Yunis to the Rafah crossing

Source: Palestine Daily
 

Attachments

  • twidown.mp4
    3.3 MB
BREAKING: ISRAEL YAWAFUKUZA WANAHABARI NA FAMILIA YA AMANI AL-HASHIM NYUMBANI KWAKE KABLA YA KUACHIWA HURU.

Amani Al-Hashim ni mateka anayeshikiliwa na Israel.

Pia waliiba peremende za sherehe kutoka kwa nyumba ya familia ya mfungwa Amani Al-Hashem huko Beit Hanina huko Jerusalem.

Jamaa wajingq sana.
Naona umeamua kuwa comedian sasa.
 
BREAKING: KUTOLEWA KWA MATEKA WA PALESTINA

Marah Bakir ameachiliwa kutoka jela ya Israel

Aliwekwa kizuizini 2015 akiwa na umri wa miaka 16 wakati wanajeshi wa Israeli walipompiga risasi mkononi.
 

Attachments

  • IMG_6743.jpeg
    IMG_6743.jpeg
    26.1 KB · Views: 3
BREAKING: KUTOLEWA KWA MATEKA WA PALESTINA

Marah Bakir ameachiliwa kutoka jela ya Israel

Aliwekwa kizuizini 2015 akiwa na umri wa miaka 16 wakati wanajeshi wa Israeli walipompiga risasi mkononi.
Na anasema imani yake ya kiislamu imepanda mara 100 zaidii.
Allah akbar
 
A photo of the hostages who were released a short time ago.
 

Attachments

  • IMG_6745.jpeg
    IMG_6745.jpeg
    32.3 KB · Views: 2
Israel Kakubali masharti yote ya Hamas

1 Hakuna kurusha ndege zake

2 Awachie kila kitu kingie Gaza chakula, mafuta, dawa, yani kila kitu 😄

3 vifaru vyao visitingishike

4 mateka 150 kwa 50

5 ndege zao ziruke North Gaza only kwa saa sita sio South

6 Asimguse Mpalestine yoyote yule katika hizo siku 4 akimgusa Hamasi anawachapa

Hi aibu mtaificha wapi taifa la kishoga
Mbona Wapalestina wamekula Shaba wanne na wamededi walikuwa wanataka kurejea walipoambiwa wahame... na Hamas katulia tu.. usishindane na njaa
 
Back
Top Bottom