Makabidhiano ya mateka: Israel kuwaacha mateka 39 wa Palestina kwa watekaji wa Israel huko Gaza

Makabidhiano ya mateka: Israel kuwaacha mateka 39 wa Palestina kwa watekaji wa Israel huko Gaza

Mbona Wapalestina wamekula Shaba wanne na wamededi walikuwa wanataka kurejea walipoambiwa wahame... na Hamas katulia tu.. usishindane na njaa
Hamaa wameinyesha dunia walivyo smart wangeweza kuwauwa mateka wote angalia mateka walivyokuwa salama.
 

Attachments

  • twidown.mp4
    25.5 MB
Israel Kakubali masharti yote ya Hamas

1 Hakuna kurusha ndege zake

2 Awachie kila kitu kingie Gaza chakula, mafuta, dawa, yani kila kitu 😄

3 vifaru vyao visitingishike

4 mateka 150 kwa 50

5 ndege zao ziruke North Gaza only kwa saa sita sio South

6 Asimguse Mpalestine yoyote yule katika hizo siku 4 akimgusa Hamasi anawachapa

Hi aibu mtaificha wapi taifa la kishoga
Atapigwa wapi pale gaza na wakati gaza yote ishakologeka mavi tupu
 
BREAKING: WASICHANA VIJANA WA PALESTINA WASUBIRI KUACHILIWA KWA MAMA YAKE ALIYESHIKILIWA AKIWA MATEKA.

Anasubiri kurejea kwa mama yake, Fatima Shaheen.

Fatima aliachiliwa leo kutoka magereza ya Israel baada ya kupigwa risasi na kukamatwa na vikosi vya uvamizi mwezi Aprili mwaka huu.

Anaendelea kupooza kutokana na majeraha aliyopata wakati wa kukamatwa kwake.
 

Attachments

  • IMG_6748.jpeg
    IMG_6748.jpeg
    100.3 KB · Views: 3
Kumbe hamas n wanaume hakika. Israel mbwembwe kibao halafu wanaingia kwenye tundu bovu kabisa LA hamas. Kwa Hali hii hata Rwanda anaeza mpiga .....
 
A Hamas Girl! 🇵🇸❤
 

Attachments

  • IMG_6749.jpeg
    IMG_6749.jpeg
    43.8 KB · Views: 2
Asilimia kubwa ya Watoto wa Kipalestina waliokamatwa na Israel wamepatikana na hatia na Israel ya kurusha mawe, ambaye hukumu yake ni kifungo hadi miaka 20, wanaweza kuzuiliwa katika kifungo cha upweke, na mara nyingi hufungwa katika magereza nchini Israel.

◾Israel pia ndiyo nchi ya PEKEE duniani inayowahukumu watoto katika mahakama za kijeshi.
 
Hata haya huoni? Hilo "hekaru" lilivunjwa na Waislam au na warumi? Lilivunjwa Mamia ya miaka kabla hata hajaja Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake). Na alipokuja na Waislam wakapewa ardhi ile kutoka kwenye mikono ya warumi ,dini ya Nabii Sulayman (Amani iwe juu yake), Uislam, ikasimamishwa tena katika ardhi ile tukufu. Na hata hao mayahudi waliokuwa pale wakaishi kwa amani kuliko walipokuwa chini ya warumi.

Na Jerusalem ilikuwa chini ya Waislam kwa miaka mingapi kabla hao mazayuni hawajaja kuanzisha dola yao katika ardhi ile, mpaka useme Waislam ndio wanataka kujenga "hekaru" lao kwa nguvu? Kama kwamba ni wao ndio walifukuzwa Ulaya na Wazungu wakristo na wakawakuta mazayuni pale.

Halafu ni Waislam ndio wana haki zaidi na Sulayman (Amani iwe juu yake) kuliko mayahudi, bali wana haki zaidi kwa Musa (Amani iwe juu yake) na Mitume wote wa Bani Israil (Amani iwe juu yao) kuliko mayahudi ambao waliwakataa wote na kuwafanyia vitimbi, waliwatukana na wengine wanawatukana (ikiwemo Sulayman) mpaka leo, na wengine waliwaua kabisa. Na wakaikataa dini aliyowachagulia Allah wakatengeneza dini yao kwa matamanio ya nafsi zao.
Huelewi kusoma na makurdi ya Mungu.
 
🚨IDF SHOOTING TEAR GAS AND REAL AMMUNITION AT CROWD | APPARENTLY JUST CELEBRATING HOSTAGE RELEASE

The crowd, that gathered near Ofer prison in West Bank, didn't pose a threat and felt like a celebratory homecoming

They were met with tear gas rounds and live ammunition fired by the Israelis

IDF stated they were "too close to the security gate"

No casualties reported

Source: Sky News
 
MK254 kutana na nduguzo huku na makasiriko ya mkizi

Kwa maukatili ya hiyo dini sikutegemea hao bado wawe hai ukizingatia Gaza imesambaratishwa na mazombi yenu kuuawa 15,000
Nyie mpaka siku mtaacha kutumia hizi aya za alla wenu na kujua hana uwezo dhidi ya Mungu wa Wayahudi, mtaendelea kufa sana

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Back
Top Bottom