Makabila gani wasimamizi wa familia ni wanawake

Sijajua mkuu hizi data umezitoa wapi. Lakini kuweka sawa hapa "Haya" is never a materenial society, labda kama una tafsiri binafsi, ama ni story tu
Exactly sio kwa maana halisi ya matrilineal system. Context yangu n makabila ambayo wanawake ndio wasimamizi wakubwa wa majukumu ya nyumban kwamaana waume zao n wanywa pombe wao ndio viongozi wa familia kuanzia kusimamia usalama, mashamba, mifugo, watoto n. K baba yupo kama provider na muamuzi aa mambo makubwa tu yanayoihusu familia kama ulinzi na uuzaji wa viwanja n. K
 
wewe hata maana ya matrilineal na patrilineal system huzijui, ungeomba msaada kuanzia maana yake na mifano, maana unaeleza vitu tofauti sana, unajiaibisha bure comrade
 
Wewe umekaa uchagani miaka 6 mimi nimezaliwa uchagani na sasa na miaka zaidi ya 40 .
Mkuu wachaga 60% wanaume wamekufa hawa wakibosho, wauru, waoldmoahi na wamachane waliojaa mbuyuni na memoria wanawake wanafanya nn au mimi niko biased sana kwenye kupna
 
Mkuu unajua mimi ni mchaga? Wapo wachaga wanayo pesa mo hana.
 
wewe hata maana ya matrilineal na patrilineal system huzijui, ungeomba msaada kuanzia maana yake na mifano, maana unaeleza vitu tofauti sana, unajiaibisha bure comrade
Maana halisi umeielewa twende kwenye maoni yako n makabila gani boss. Naelewa vyema na nmeliweka hilo neno makusudi. We twende kwenye majibu ya context
 
Exactly sio kwa maana halisi ya matrilineal system. Context yangu n makabila ambayo wanawake ndio wasimamizi wakubwa wa majukumu ya nyumban kwamaana waume zao n wanywa pombe wao ndio viongozi wa familia kuanzia kusimamia usalama, mashamba, mifugo, watoto n. K baba yupo kama provider na muamuzi aa mambo makubwa tu yanayoihusu familia kama ulinzi na uuzaji wa viwanja n. K
Hapa sasa nimekuelewa ulichokilenga. Na ukweli hii, kama ulivyosema ipo kwa familia ambazo baba ni mnywa pombe, au hana mamulaka kwa mke wake. Japo kitamaduni kama ulivyosema (kuwa baba ni provider na muamuzi), tamaduni za kihaya zimemtambua mwanaume kama kichwa cha familia
 
wachaga sio matrilieal wewe, fanya utafiti

wagogo ndo nimesikia sana, na kuna mmoja alinielezea kabisa

ila nionavyo mimi, kwenye matrilineal societies, watoto wanachukua ubini wa mama tu, ila nafasi ya baba ipo pale pale.
 
Sasa nikuambie wanyamwezi mambo hayo hatuna kabisa Men ndy mtawala wa Familiar na ndy kichwa cha Familiar.
Mwanamke wa kinyamwezi na mwanaume wa kabila lingine wataenda vzr. Ila ukikuta wote wanyamwezi basi mama anakuwa na nguvu.
Huwa tunakuwa na meetings za ndugu upande wa mama, wanaume wa kinyamwezi wamezubaa hata hawana maamuzi..vikao vinaendeshwa na wamama na wana nguvu kweli kweli si utani.
 
Hapa sasa nimekuelewa ulichokilenga. Na ukweli hii, kama ulivyosema ipo kwa familia ambazo baba ni mnywa pombe, au hana mamulaka kwa mke wake. Japo kitamaduni kama ulivyosema (kuwa baba ni provider na muamuzi), tamaduni za kihaya zimemtambua mwanaume kama kichwa cha familia
Umeunga mkono wahaya. Je kuna kabila jingine unaloona linamlengo huo sawa na wahaya na wasukuma na wakulya?
 
Back
Top Bottom