Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Mimi nina unyamwezi..nawaona hivyoHahahaha ndio maana yake nakushangaa unaliponda kabira langu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nina unyamwezi..nawaona hivyoHahahaha ndio maana yake nakushangaa unaliponda kabira langu
Exactly sio kwa maana halisi ya matrilineal system. Context yangu n makabila ambayo wanawake ndio wasimamizi wakubwa wa majukumu ya nyumban kwamaana waume zao n wanywa pombe wao ndio viongozi wa familia kuanzia kusimamia usalama, mashamba, mifugo, watoto n. K baba yupo kama provider na muamuzi aa mambo makubwa tu yanayoihusu familia kama ulinzi na uuzaji wa viwanja n. KSijajua mkuu hizi data umezitoa wapi. Lakini kuweka sawa hapa "Haya" is never a materenial society, labda kama una tafsiri binafsi, ama ni story tu
Kwani ww ni mnyamwezi ?Mimi nina unyamwezi..nawaona hivyo
Upande wa mamaKwani ww ni mnyamwezi ?
Ni ukweli kama mwanaume ni mario asiyejua kubeba majukumu yake katika familiaWanyakyusa umetusingizia
Mkuu wachaga 60% wanaume wamekufa hawa wakibosho, wauru, waoldmoahi na wamachane waliojaa mbuyuni na memoria wanawake wanafanya nn au mimi niko biased sana kwenye kupnaWewe umekaa uchagani miaka 6 mimi nimezaliwa uchagani na sasa na miaka zaidi ya 40 .
Mkuu unajua mimi ni mchaga? Wapo wachaga wanayo pesa mo hana.Mkuu wachaga 60% wanaume wamekufa hawa wakibosho, wauru, waoldmoahi na wamachane waliojaa mbuyuni na memoria wanawake wanafanya nn au mimi niko biased sana kwenye kupna
Maana halisi umeielewa twende kwenye maoni yako n makabila gani boss. Naelewa vyema na nmeliweka hilo neno makusudi. We twende kwenye majibu ya contextwewe hata maana ya matrilineal na patrilineal system huzijui, ungeomba msaada kuanzia maana yake na mifano, maana unaeleza vitu tofauti sana, unajiaibisha bure comrade
Sasa nikuambie wanyamwezi mambo hayo hatuna kabisa Men ndy mtawala wa Familiar na ndy kichwa cha Familiar.Upande wa mama
Hapa sasa nimekuelewa ulichokilenga. Na ukweli hii, kama ulivyosema ipo kwa familia ambazo baba ni mnywa pombe, au hana mamulaka kwa mke wake. Japo kitamaduni kama ulivyosema (kuwa baba ni provider na muamuzi), tamaduni za kihaya zimemtambua mwanaume kama kichwa cha familiaExactly sio kwa maana halisi ya matrilineal system. Context yangu n makabila ambayo wanawake ndio wasimamizi wakubwa wa majukumu ya nyumban kwamaana waume zao n wanywa pombe wao ndio viongozi wa familia kuanzia kusimamia usalama, mashamba, mifugo, watoto n. K baba yupo kama provider na muamuzi aa mambo makubwa tu yanayoihusu familia kama ulinzi na uuzaji wa viwanja n. K
Kabila..Hahahaha ndio maana yake nakushangaa unaliponda kabira langu
Hahahaha,hili Kabila naonaga km hawapendani hv ? Ni wajomba Zang Fulani hvSasa nikuambie wanyamwezi mambo hayo hatuna kabisa Men ndy mtawala wa Familiar na ndy kichwa cha Familiar.
Mwanamke wa kinyamwezi na mwanaume wa kabila lingine wataenda vzr. Ila ukikuta wote wanyamwezi basi mama anakuwa na nguvu.Sasa nikuambie wanyamwezi mambo hayo hatuna kabisa Men ndy mtawala wa Familiar na ndy kichwa cha Familiar.
Kudaadeq zako ni typing Error hio Familiar wewe haujawahi kuchapia kwani.Kabila..
Umeunga mkono wahaya. Je kuna kabila jingine unaloona linamlengo huo sawa na wahaya na wasukuma na wakulya?Hapa sasa nimekuelewa ulichokilenga. Na ukweli hii, kama ulivyosema ipo kwa familia ambazo baba ni mnywa pombe, au hana mamulaka kwa mke wake. Japo kitamaduni kama ulivyosema (kuwa baba ni provider na muamuzi), tamaduni za kihaya zimemtambua mwanaume kama kichwa cha familia