macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Siyo zote wanafanya hivyo. Ila rate ya talaka maeneo ya Pwani ni kubwa. Hasara yake ni watoto wasiokuwa na malezi mazuri.Bro mbona unajichanganya mzee!?
Hizi ndoa za kikristo si ndio tunaona wazazi wanaishi kwa kutafutana kama vile paka na panya kiasi wanasalitiana na kutembea nje na wengine kuzalishana nje ya ndoa kisa ndani ya ndoa hakuna amani??
Kheri watu muachane kila mtu atafute amani yake ila sio kushikiliana eti ndoa ya kanisa haivunjwi mwisho wa siku kila mmoja anatafuta amani nje kwa kuzini mpaka anapata mtoto wa nje ya ndoa.
What is the point of that marriage??
Is that a marriage or a circus!??
Kuna siku unakuwaga na ujinga mwingi sanaFigure namba 8
Hao wengine figure ni sphere
Dah! Kanzu yako nyingine ni ipi?😂Kuna siku unakuwaga na ujinga mwingi sana
Pwani vijana ndio wana shida kataa kubali.Siyo zote wanafanya hivyo. Ila rate ya talaka maeneo ya Pwani ni kubwa. Hasara yake ni watoto wasiokuwa na malezi mazuri.
Boss unataka Kuoa Mrangi ??? Kama unataka Karibu. Utanikuta hapa BICHA. Ila ujiandae kulia na Kupigiwa.Aisee😔😔😔😔
Mie nawajua warangi na kamwe sithubutu kuoa mrangi shurba yao naifaham maana niliwahi date nao na kuishi nao.Kabla ya Kuoa Mrangi boss ni TAG nikushauri. Utaolea wenzako. Mwarab aliwaacha vibaya sana.
Safi mwanangu.Mie nawajua warangi na kamwe sithubutu kuoa mrangi shurba yao naifaham maana niliwahi date nao na kuishi nao.
Mie nimeshaoa mmburu miksa mnyaturu katulia ndani.
Ila hawajaachiwa shombo ya muarabu ni bantu asilia wale.
Ukiondosha hao namba moja na namba 4 waliobakia wote wamewekeza sana kwenye elimu na wanajitambua sana ndio maana sio rahisi kuwaburuza buruza.Makabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu.
1.warangi
2.wapare
3.wahaya
4.wameru
5.wachagga
Kuna wangoni na wanyaturu mwenge usiruke Kijiji tafadhariPia hayo makabila wanawake wao hawajatulia ni gawa gawa sana.
itakuwa bamutu ba congoleseHawa hua watu wa kabila gani??
View attachment 2956464
Hamna lolote kaka.Ukiondosha hao namba moja na namba 4 waliobakia wote wamewekeza sana kwenye elimu na wanajitambua sana ndio maana sio rahisi kuwaburuza buruza.
Huwezi kuwa mpumbavu halafu ukadumu na mahusiano na binti wa kichagga,kipare au wa kihaya.
Wangoni kweli ila wanyaturu kuna matabaka matatu kama sijakosea.Kuna wangoni na wanyaturu mwenge usiruke Kijiji tafadhari
Nha amaso nghavwene kalumbhu🤣🤣 ukabhwene akasaja itolo ghwe?
Yaaan unakaza kabisa mishipa ya ulimi na kubenua kamdomo unasonya!!Mwanaume uliekamika unasonya?
100% pwani vijana ndio changamoto mkuuPwani vijana ndio wana shida kataa kubali.
Kuhusu ndoa za kikristo ndio zinaongoza kuwa na familia zenye mpasuko ama ufa kwa kung'ang'aniana.
Dahh😂😂😂 ebu nieshimu mtoa mada basi kidogo😂😂Yaaan unakaza kabisa mishipa ya ulimi na kubenua kamdomo unasonya!!
Mkuu mademu wa hayo makabila ni vilaza tu na waliokosa hekima na haiba ya kike.Ukiondosha hao namba moja na namba 4 waliobakia wote wamewekeza sana kwenye elimu na wanajitambua sana ndio maana sio rahisi kuwaburuza buruza.
Huwezi kuwa mpumbavu halafu ukadumu na mahusiano na binti wa kichagga,kipare au wa kihaya.
Hata hao wabena na wengine wenye sifa za uvumilivu kwa mudani kama hamna noti wanakata kamba trust me!Makabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu.
1.warangi
2.wapare
3.wahaya
4.wameru
5.wachagga
🤣🤣🤣 enna KalumbuNha amaso nghavwene kalumbhu
Ila wanaume wa kinyakyusa kwa ujuaji mwingi😜Wanaume ndio washamba km wahaya kujifanya wanajua kl kitu km miungu watu