PreGE2025 Makalla: Lema, Heche wanamiliki vitalu vya Uchimbaji Madini Kigosi Bukombe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sisiemu huyu mtu anatengene
sisiemu huyu hadi mkistuka ameshaua chama chenu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hilo nalo ni kosa? Au walipewa kama hongo, kwamba hawakustahili?
 
Tanzania tunaviongozi wajinga jamani!!! Mungu atusaidie dooh!!
Sidhani kama kumewahi tokea Mwenezi wahivi 😂😂😂😂
poleni sana Ccm.
 
Ni kosa ama?
 
Watu wamechoka sana aisee. Sasa kumiliki vitalu ni kosa kisheria.
 
Makalla ana roho ya wivu,kama wamepewa Vitali shida ni nini?si watanzania wenye haki na nchi yao?mbona wazungu mmewapa hamtuelezi kwenye hiyo mikutano yenu?acheni roho mbaya nchi ni wote hubieini sera zenu na tutazichambua na kuzichakata sisi waajiri wenu.
 
Hii kauli ni jibu tosha ccmu hawapo hapa kwa ajili ya wananchi , badala ya kuwapa watu vitalu ilibid wachimbe wao wapate pesa watoe huduma za kijamii kwa wananchi wao
 

Hongera kwa Heche na Lema wajasilimali na wazalendo.
 
Kumiliki kitaru cha uchimbajo tena wachimbaji wadogo wadogo ni Dhabi? au walikiuka sheria gani ya nchi
Tunawea kufanya siasa za adabu bila kufanya watu kuhoji uwezo "pedeje" kwenye kudadavua mambo,anashindwa nini kujifunza kwa boss wake Nchimbi?
 
Huyu jamaa ni mpuuzi
 
Huenda Makalla ndio katibu mwenezi wa CCM mjinga zaidi kuwahi kutokea. Kichwani ni mweupe kabisa na mdomo wake ni kama choo cha stendi. Anapenda kuropoka vitu vya ajabu ajabu mpaka unachangaa.

Haya, tuseme basi ni kweli Lema na Heche wanamiliki vitalu vya uchimbaji mdogo wa dhahabu. So what?
 
Mtu hajaiba, anamiliki kihalali sasa shida wapi? So what? Nyie CCM mnaiba mabilioni na mabilioni na mnamiliki mali bila uhalali, hata kodi hamlipi
 
Kwa hiyo CCM iliwahonga hivyo vitalu ili wafumbe midomo?
 
Wao wanamiliki nini..? Au wanaiba ili kumiliki nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…