PreGE2025 Makalla: Lema, Heche wanamiliki vitalu vya Uchimbaji Madini Kigosi Bukombe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hujaelewa acha mihemko. Kasema nchi hii ni yetu sote na fursa ni za wote, hata lema na heche wananufaika kama watanzania wengine kwahiyo msiwapangie watu kuhusu mambo ya kupiga kura kila mtu atumie fursa zilizopo.
Kwanza unaelewa sn
 
Huyu mtu sijui anafikiri Kwa kutumia nini kila hotubu yake ni Lissu, Heche na Chadema hana lingine utadhani sera ya CCM ni Chadema na viongozi wake.
 
Hakuna shida kama wanamiliki kihalali,
Kwa kifupi Makala aka Documendary hana hoja!
 
Madhara ya watu wenye akili kujitenga na siasa za uongozi yameanza kuonekana wazi nchini Tanzania.​
 
Bila CCM ujasiri wakukashifu serikali ungeupatia wapi? Tuwe kwakweli CCM imewafungua watu waitambue na kuchambua siasa, uhuru huu wa kuongea lolote kwakujificha mitandaoni NI nguvu ya chama tawala hata kama hampendi,, huo ndio ukweli wenyewe ni swala la kula nyama nyamaza!
 
Kuna watu wanapenda kutukanwa na kuonekana wajinga sana.
 
Wamala Resources limited ni Mkwe wa JK na Riziwani.

Wamechukua leseni za uchimbaji nchi nzima
 
Kwa hiyo.

Kuanzia mwenyekiti,makamu na mwenezi chama kilikosea
 
Kwani wamepora au wanamiliki kisheria.
Ila makalla ni popoma sana.
 
Kwanini Sheria hairuhusu Lema na Heche kuwa na vitalu vya dhahabu?.

Unapozungumzia Mali za asili hiyo ni baraka ambayo imeletwa na Mwenyezi Mungu Kwa ajiri ya watu wengi na sio CCM ndio wameleta hayo Madini.
 
Katika watu wanakosaga hoja za kuongea kwenye mikutano yake huyu ni "kubwa lao"
 
Kumiliki vitalu sio dhambi wala jinai, Mtanzania yeyote ana haki ya kumiliki ili mradi amefuata sheria
 
makala anamiliki moto wa masoko,ukimwi wa akili na AM academia maana sio FM
sasa hapo kaona kapiga siasa kuhusu chama.
Hivi huyu Makala anatumia cha Arusha au ananusa nose candy kabisa?
 
Makalla muda wote anaiota CHADEMA wala hatangazi sera za chama chake ,na hiyo ni dalili ya mtu mwenye akili ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…