Mimi nikajua wamekwapua kama wanavyokwapua wao, kumbe wanamiliki kihalali? tatizo liko wapi?Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla, amesema baadhi ya wanasiasa wanaoikosoa serikali wanapaswa kuwa wa kweli kwa umma, kwani nao wamefaidika na fursa mbalimbali ikiwemo kupewa vitalu vya uchimbaji kama wachimbaji wadogo katika eneo la Bukombe.
"Ukiwa unapiga kelele umekaa katika nyumba ya vioo usirushe maneno, Lema na Heche na wenyewe badala waseme ukweli wamepewa vitalu vya kuchimba kama wachimbaji wadogo huko Bukombe, na wenyewe wamepata Lema anatoka Arusha, Heche anatoka Mara Tanzania hii ni moja"
Wamejiaminisha kuwa fursa zote ni zao..ndo maana hawataki kutoa madarakaHuyu babu ni mpumbavu sn, kwani kumiliki vitalu kisheria ni kosa? wana CCM wangapi wanamiliki vitalu?
Huyu MPOX amezoea kuropoka, hana anachojua zaidi ya kelele, hana uwezo wa kufikiri.Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla, amesema baadhi ya wanasiasa wanaoikosoa serikali wanapaswa kuwa wa kweli kwa umma, kwani nao wamefaidika na fursa mbalimbali ikiwemo kupewa vitalu vya uchimbaji kama wachimbaji wadogo katika eneo la Bukombe.
"Ukiwa unapiga kelele umekaa katika nyumba ya vioo usirushe maneno, Lema na Heche na wenyewe badala waseme ukweli wamepewa vitalu vya kuchimba kama wachimbaji wadogo huko Bukombe, na wenyewe wamepata Lema anatoka Arusha, Heche anatoka Mara Tanzania hii ni moja"
Sure ni wapumbavu snWamejiaminisha kuwa fursa zote ni zao..ndo maana hawataki kutoa madaraka
Kwani ni watu wa nje?Kamanda ebu tujibu hoja ..maana kila siku tunasema madini na nchi imeuzwa.Je,hao nao wamenunua nchi?
Kwani si makamanda tunasema madini na nchi imeuzwa,je,na hao wametununua?Kwani ni watu wa nje?
Hivi viongozi wa upinzani huwa wanaeleza sera ya chama kipi?NA WATU WAMEKAA KUMSIKILIZA ANAELEZA SERA ZA CHAMA
nenda youtube andika heche au lissu usikie sera au unasikiliza taarabu za mzee yusufuHivi viongozi wa upinzani huwa wanaeleza sera ya chama kipi?
Kumbe wanaomba uzalendo na ni matapeli πππππKatibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla, amesema baadhi ya wanasiasa wanaoikosoa serikali wanapaswa kuwa wa kweli kwa umma, kwani nao wamefaidika na fursa mbalimbali ikiwemo kupewa vitalu vya uchimbaji kama wachimbaji wadogo katika eneo la Bukombe.
"Ukiwa unapiga kelele umekaa katika nyumba ya vioo usirushe maneno, Lema na Heche na wenyewe badala waseme ukweli wamepewa vitalu vya kuchimba kama wachimbaji wadogo huko Bukombe, na wenyewe wamepata Lema anatoka Arusha, Heche anatoka Mara Tanzania hii ni moja"
Makalla anaongea bila kufikiri ni hatari sanaAmetoa mwanya huo "mkeka" uanikwe wazi. Sijui kama alinuia iwe hivyo!
Shida katika nchi hii ni kuwa kila mtu amepewa mdomo, wengine wanatumia midomo yao kuharishia, Huyo MPOX hajua anachokisema, mropokaji na hata elimu aliyonayo ni ile kukariri. Hana uelewa. Kwani kupewa vitalu vya madini, si kila mmoja ana haki ili mradi unalipia? Najua taratibu za kupata vitalu vya kuchimba madini. Inawezekana hata hayo madini hayapo, watu wanajaribu bahati zao tu. Aache ujinga, aongelee hayo malori yanayobeba makaa ya mawe yaliyokuwa mali ya serikali, kuwa kodi yake ni kiasi gani? Je huyo Rostam Aziz analipa kiasi gani? Kuliko kuhangaika na wachimbaji wadogo wasio hata na malori au pick-up truck.Kumbe wanaomba uzalendo na ni matapeli πππππ
Wanasiasa ni hovyo kabisa
Wale wenzako wanaomiliki vitalu vya gesi unawakumbukaKatibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla, amesema baadhi ya wanasiasa wanaoikosoa serikali wanapaswa kuwa wa kweli kwa umma, kwani nao wamefaidika na fursa mbalimbali ikiwemo kupewa vitalu vya uchimbaji kama wachimbaji wadogo katika eneo la Bukombe.
"Ukiwa unapiga kelele umekaa katika nyumba ya vioo usirushe maneno, Lema na Heche na wenyewe badala waseme ukweli wamepewa vitalu vya kuchimba kama wachimbaji wadogo huko Bukombe, na wenyewe wamepata Lema anatoka Arusha, Heche anatoka Mara Tanzania hii ni moja"
Kuna umuhimu wa kuuanzisha mjadala maalum kuhusiana na ufujaji wa mali za wananchi chini ya tawala hizi za CCM; maana kuna mambo mengi sana sasa yanayofanyika bila ya wananchi kujuwa wanufaika wa jasho lao ni kina nani.Makalla anaongea bila kufikiri ni hatari sana
Kumiliki vitalu haijawa kosa lolote! orodha ya wamiliki vitalu iwekwe wazi halafu Makalla aichambue
Pili, kuna wanaomiliki vitalu kutokana na ''Carbon Tax'' ni Wastaafu wakitanguliza watoto wao! Makalla aongelee pia
Tatu, Makalla aongelee mafao ya viongozi Wastaafu alinganishe na pesa zinazokwenda katika mkoa mmoja tu
Makalla anashangaa Lema na Heche kuwa na Vitalu vya madini ! Makalla ajiulize gharama za kituo kimoja cha Afya alinganishe na mafao ya Mke wa Mstaafu yoyote awe Spika, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais au Rais.
Yaani tunalipa wanandoa kwa kupendana tena pesa nyingi kuliko zinazokwenda kwenye Hospitali za Wilaya
Makalla anafungua ''pandora box'' nadhani kuna haja ya kuanika madudu hapa, katusaidia kufungua mjadala
Tindo JokaKuu