Kamanda tufanyeje ili nguvu za kikamanda zikurejeleeeš¤Kauli zake zinatia mashaka makubwa.
Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.
Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.
Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
Mpuuzi tu huna loloteMimi nitasema kweli daima.
Ww unamchukulia Mbowe kama ZZKKauli zake zinatia mashaka makubwa.
Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.
Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.
Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
Hapo ndo kwenye sura yako kamili, siyo vile vi-thread vingine vya umbea na unafiki! Tatizo lako la msingi, hujui kwamba kuna kumbukumbu ya utopolo unaoandikaga humu!Kauli zake zinatia mashaka makubwa.
Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.
Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.
Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
Shida iko wapi Ngabu si uje uanzishe upinzani wako kweli sukuma gang mnadhidaHakuna upinzani Tanzania!
Supporting opposition politicians in Tanzania is a wild goose chase!
An exercise in futility!
Hii imekuwa ni kaulimbiu yenu CCM kwa muda mrefu.Mimi nitasema kweli daima.
Huyu jamaa, ningeweza mbadili jina analotumia humu ningemwita Mnaa halisi. Kamanda usiyechoka tumia fursa hii popote ulipo, sitakudai chochote nimejitolea Bure.Mpuuzi tu huna lolote
Sina haja ya kuanzisha upinzani wangu!Shida iko wapi Ngabu si uje uanzishe upinzani wako kweli sukuma gang mnadhida
Kusema kweli ni kauli mbiu ya chama?Hii imekuwa ni kaulimbiu yenu CCM kwa muda mrefu.
Hatari snHuyu jamaa, ningeweza mbadili jina analotumia humu ningemwita Mnaa halisi. Kamanda usiyechoka tumia fursa hii popote ulipo, sitakudai chochote nimejitolea Bure.
Kwan ukikubal utadhurika?? Yaan ujipatie dhambi bure kwa kukaza shingo? Kubali tu ww ni mbogamboga FC!!!We ni pimbi? Mimi sio CCM
Weka ushahidi ututhibitishie alipokuwa analala, au ilikuwa unalala nae? hamkujipiga hata selfie mkiwa chumbani?Mimi kuna mtu kabisa alinitamkia kuwa siku zote mbowe sio chadema miaka hiyo yote, yeye yupo pale kama kivuli.
Mtu huyo akaendelea kuniuliza maswali, akaniuliza je nina uakika mbowe alikuwa akilala selo? Za chini zinasema hakuwahi kulala selo hata siku moja.tunaona kapandishwa gari yanayojili huko ni siri.
Na ajaniambia si karudi uraian? Hawezi fungua mdomo wake tena, sana sana atapiga kelele zile za kawaida tulizozizoea.
Kauli zake zinatia mashaka makubwa.
Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.
Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.
Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.