Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kamanda tufanyeje ili nguvu za kikamanda zikurejeleee🤔Kauli zake zinatia mashaka makubwa.
Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.
Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.
Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.