Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

Mbowe anazeeka sasa, yaani mpaka kufa awe anapigana tu na serikali wengine wasifie humu JF. Seif naye kabla ya kulala mavumbini alijionea azungumze tu na serikali na agongamishe miguu maana unasimama kutetea watu wasiojulikana watiifu kwa serikali.
 
Kauli zake zinatia mashaka makubwa.

Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.

Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.

Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
Hapo ndo kwenye sura yako kamili, siyo vile vi-thread vingine vya umbea na unafiki! Tatizo lako la msingi, hujui kwamba kuna kumbukumbu ya utopolo unaoandikaga humu!
 
ingetakiwa suala la katiba mpya na tume huru.
Liwe suala la kitaifa na vyama pinzani vyote.
Ila kuwaachia chadema peke yao ni mzigo MZITO
 
Hivi Moshi wa kuni mbichi wa Mzee Polepole haujakuibua tu wewe mtoa hoja ?

Mazungumzo na maridhiano ndiyo njia pekee ya kutatua matatizo yanayowazunguka wanadamu hasa hasa haya ya kisiasa.
 
Mbowe alishaelekea kibra siku kadhaa kabla hajatoka jela!

Hii ya kumsifia sifia Samia na kumshukuru kwa kuonesha utu kwenye kesi yake wakati yeye ndio aliemfunga ilitqkiwa iwazindue machadema. Lakini watazindukaje? Akili hiyo wanayo?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Mimi kuna mtu kabisa alinitamkia kuwa siku zote mbowe sio chadema miaka hiyo yote, yeye yupo pale kama kivuli.

Mtu huyo akaendelea kuniuliza maswali, akaniuliza je nina uakika mbowe alikuwa akilala selo? Za chini zinasema hakuwahi kulala selo hata siku moja.tunaona kapandishwa gari yanayojili huko ni siri.

Na ajaniambia si karudi uraian? Hawezi fungua mdomo wake tena, sana sana atapiga kelele zile za kawaida tulizozizoea.
Weka ushahidi ututhibitishie alipokuwa analala, au ilikuwa unalala nae? hamkujipiga hata selfie mkiwa chumbani?

"Atapiga kelele za kawaida mlizozizoea" hizi kelele mlizozizoea si ndio huwa mnampeleka jela kwasababu yake? kama mngekuwa mmezizoea zisingewasumbua, hujui ulichoandika.
 
Back
Top Bottom