Watu kutoka mbeya walikwenda kumsalimia mara kadhaa gerezani.Mimi kuna mtu kabisa alinitamkia kuwa siku zote mbowe sio chadema miaka hiyo yote, yeye yupo pale kama kivuli.
Mtu huyo akaendelea kuniuliza maswali, akaniuliza je nina uakika mbowe alikuwa akilala selo? Za chini zinasema hakuwahi kulala selo hata siku moja.tunaona kapandishwa gari yanayojili huko ni siri.
Na ajaniambia si karudi uraian? Hawezi fungua mdomo wake tena, sana sana atapiga kelele zile za kawaida tulizozizoea.
Kaa hivyo ndivyo, kulikuwa na haja gani ya kusema "hatuwezi kumpa muda rais, tutamlazimisha ili tupate katiba mpya"Hivi Moshi wa kuni mbichi wa Mzee Polepole haujakuibua tu wewe mtoa hoja ?
Mazungumzo na maridhiano ndiyo njia pekee ya kutatua matatizo yanayowazunguka wanadamu hasa hasa haya ya kisiasa.
Kun watu walitaka yeye apambane wao wale kuku CanadaYes coz amejua hata afanye nn katiba mpya haiwez kuja Kwa wakati huu
Sasa ulitaka afanye nn?
Ww unataka apambane na katiba mpya then anakaa jela wakati ww umekaa Tu home na familia yako
Kun watu walitaka yeye apambane wao wale kuku Canada
Pumbavu zako, yaani kusema kweli ndio nimekuwa CCM?Wewe ni CCM, labda kuna wachache wasiolifahamu hilo ila wengi wanaufahamu u CCM wako.
Bora hata ungekuwa neutral kama majority walivyo humu janvini lakini wewe ni CCM through and through.
endelea sasa kudai katiba mpya kama siyo ccm achana na MboweWe ni pimbi? Mimi sio CCM
Pumbavu wewe na mama yako mzazi, unapanic kuambiwa ukweli kwamba wewe ni CCM. Mbona unafahamika kitambo na hii si mara ya kwanza unaambiwa ukweli.Pumbavu zako, yaani kusema kweli ndio nimekuwa CCM?
CCM huyo adai katiba mpya? kazi yake ni kushambulia viongozi wa CHADEMA na kupinga strategies za CHADEMA.endelea sasa kudai katiba mpya kama siyo ccm achana na Mbowe
unafahamu ni sababu zipi zilizomfanya Mh. Rais kuamua kumwita Mbowe IKULU the same day alivyokuwa anatoka gelezani ili wazungumze? jitafakari kijana mambo ya siasa bado uko mchanga mno.Kaa hivyo ndivyo, kulikuwa na haja gani ya kusema "hatuwezi kumpa muda rais, tutamlazimisha ili tupate katiba mpya"
We pimbi unanuka mavi.endelea sasa kudai katiba mpya kama siyo ccm achana na Mbowe
Mimi kuna mtu kabisa alinitamkia kuwa siku zote mbowe sio chadema miaka hiyo yote, yeye yupo pale kama kivuli.
Mtu huyo akaendelea kuniuliza maswali, akaniuliza je nina uakika mbowe alikuwa akilala selo? Za chini zinasema hakuwahi kulala selo hata siku moja.tunaona kapandishwa gari yanayojili huko ni siri.
Na ajaniambia si karudi uraian? Hawezi fungua mdomo wake tena, sana sana atapiga kelele zile za kawaida tulizozizoea.
FactHakuna upinzani Tanzania!
Supporting opposition politicians in Tanzania is a wild goose chase!
An exercise in futility!
Mbowe anazeeka sasa, yaani mpaka kufa awe anapigana tu na serikali wengine wasifie humu JF. Seif naye kabla ya kulala mavumbini alijionea azungumze tu na serikali na agongamishe miguu maana unasimama kutetea watu wasiojulikana watiifu kwa serikali.
Wewe unajulikana vema kabisa ni mboga mboga. mada zako hazichukuliwi kwa uzitoWewe huwezi kuelewa.
Wanasiasa wa Africa
Bado cheo serikalini tu
Popcorns
Mbowe alishaelekea kibra siku kadhaa kabla hajatoka jela!
Hii ya kumsifia sifia Samia na kumshukuru kwa kuonesha utu kwenye kesi yake wakati yeye ndio aliemfunga ilitqkiwa iwazindue machadema. Lakini watazindukaje? Akili hiyo wanayo?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app