Unaongea upuuzi tuu, na kama sio uharamia wa CCM na polisi wao, wizi wa kura, kupiga risasi , kubambikia kesi, kuzuia mikutano ya wapinzani etc leo hii mngeshafutikaHakuna upinzani Tanzania!
Supporting opposition politicians in Tanzania is a wild goose chase!
An exercise in futility!
we mwenyewe choo cha stendiWe pimbi unanuka mavi.
Are you sure? That is not true bana.we mwenyewe choo cha stendi
Amedai haki. Sasa unadhani haki inawezekana kupatikana bila Katiba Mpya?Hakuna upinzani Tanzania!
Supporting opposition politicians in Tanzania is a wild goose chase!
An exercise in futility!
Unaji contradict mwenyewe.Mimi kuna mtu kabisa alinitamkia kuwa siku zote mbowe sio chadema miaka hiyo yote, yeye yupo pale kama kivuli.
Mtu huyo akaendelea kuniuliza maswali, akaniuliza je nina uakika mbowe alikuwa akilala selo? Za chini zinasema hakuwahi kulala selo hata siku moja.tunaona kapandishwa gari yanayojili huko ni siri.
Na ajaniambia si karudi uraian? Hawezi fungua mdomo wake tena, sana sana atapiga kelele zile za kawaida tulizozizoea.
Kama ni hivyo Pokea kijiti!Kauli zake zinatia mashaka makubwa.
Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.
Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.
Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
Pole. Kweli wewe ni kamanda aliyehoi.Kauli zake zinatia mashaka makubwa.
Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.
Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.
Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
Wewe tunakujua ni timu jpm kwa io lazima umchukie mboweMimi kuna mtu kabisa alinitamkia kuwa siku zote mbowe sio chadema miaka hiyo yote, yeye yupo pale kama kivuli.
Mtu huyo akaendelea kuniuliza maswali, akaniuliza je nina uakika mbowe alikuwa akilala selo? Za chini zinasema hakuwahi kulala selo hata siku moja.tunaona kapandishwa gari yanayojili huko ni siri.
Na ajaniambia si karudi uraian? Hawezi fungua mdomo wake tena, sana sana atapiga kelele zile za kawaida tulizozizoea.
alianza kunipa chai me nikamrudishia kikombeMkuu mbona unamtukana mke wangu kamanda aliyechoka?. Ukiendelea hivi ntakuchukulia hatua.
Ndiyo.Amedai haki. Sasa unadhani haki inawezekana kupatikana bila Katiba Mpya?
Amandla...
Kweli mimi ni team jpm ila huwezi amini sina kadi ya ccm nina kadi ya chadema. Na mwaka 2015 nilimnadi sana lowasa.huu ndo ukweli.na hakuna sehemu hata humu nilishawahi msema vibaya mbowe.Wewe tunakujua ni timu jpm kwa io lazima umchukie mbowe
wewe kila kukicha unaandika ujinga tuuu.sijui kwa faida ya nani? bilashaka umelaaniwa kwa uzushi na uongoKauli zake zinatia mashaka makubwa.
Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.
Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.
Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
Nakubaliana na wewe maana yule shetani aliyekufa kibudu aliacha kabisa hata kuifuata hiyo katiba mbovu.Ndiyo.
Haki inaweza kupatikana bila katiba mpya.
Hii hii katiba ya sasa ikifuatwa vizuri, haki itapatikana vizuri tu mbona.
Mimi nataka katiba mpya. Lakini katiba mpya haitoleta haki automatically.
Haki huletwa na watu. Hailetwi na kurasa za vitabu.
Kwa akili yako Mwenyekiti Mbowe ndiye pekee Tanzania nzima ana hakinya kudai Katiba mpya?? Mbona hata CCM baadhi yao wanaitaka ni basi tu wanapita kichinichini.Kauli zake zinatia mashaka makubwa.
Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa rais Samia.
Mimi ndio maana kwa machungu niliyonayo ndio maana huwa naamua kusema uView attachment 2144073kweli.
Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
Uharo na mavi vimejaa kichwani kwako.wewe kila kukicha unaandika ujinga tuuu.sijui kwa faida ya nani? bilashaka umelaaniwa kwa uzushi na uongo
Juzi hapa mlikuwa mnaomba MBOWE afungwe mkimwita gaidi.... gaidi katoka kaitwa ikulu mnaendelea kumzushia mwacheni mbowe apumzike.
hoja ya katiba mpya ni ya wanachadema wenyewe wakiongozwa na mbowe kama mkt, tena ilipoanzishwa mlibeza kwamba wananchi wanataka maendeleo na siyo katiba.
KAMA MBOWE KANUNULIWA WEWE SI UFURAHI? UNAUMIA NINI
ewe mwana wa shetani wa lumumba acha uzushi, majungu, fitna na roho ya chuki kwa MBOWE
kama mimi nina uharo na mvi wewe utakuwa nanini kama siyo USAHA?Uharo na mavi vimejaa kichwani kwako.
Ok?kama mimi nina uharo na mvi wewe utakuwa nanini kama siyo USAHA?
Bora kuwa na uharo na mavi kichwani halafu ukawa mtu huru....... kuliko mtu na akili zako timamu tena umevaa suti ukijiita mwana usalama kama MUSIBA kutwa kucha unawaza kuchonganisha watu? usipomtaja MBOWE kwa mabaya MAKALIO YANAPWITA
Akili yako imevia, unasumbuliwa na ujinga wa KIHALAIKI WEWE. Collective incimbilization, chambilecho Chachage (R.I.P)