Basi utakuwa mpinzani lege lege,, mpinzani shupavu lazima apinge kwa nguvu zote maendeleo, kwani yanawaongezea kura ccm,Hakuna mpinzani mjinga hivyo labda wewe.
Kwanini asiseme tu kwamba itachukua Gharika kama la Nuhu ili kujaza Bwawa la Nyerere?Waziri wa Nishati
Kweni Chama chako huwa unategemea kitoe Ma TP wa kaliba ipi?Haha huyu jamaa ni TP wa kimataifa.
Recycling imewezekana Kihansi kule Mlimba tuu, kwingine huko tusidanganyane. Wajenzi wenyewe Misri, itawezekana?Niliwahi kutoa hoja kama hii pia kwamba maji yanayotoka kwemye bwawa kuendesha mitambo kwa nn yasifanyiwe recycling yakaendelea kujaa na kuendesha mitambo hiyo!!
Kuna haja gani ya kuyajaza then kuyaachia yaondoke tena. Ukishajaza fanya recycling!!
Rufiji River (at Stiegler's Gorge) catchment area is 158,000 square kilometer while it's annual discharge is 897 cubic meter per second.itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji
ukiambiwa utaje japo dili moja alilopiga utaweza? tutajie nasi kajamba nani tuweze kujua huku benchi la nyumbaKama kawaida yake huyu mpiga dili mshenzi sana huyu makamba
Si muislamu mwenzako?Kama kawaida yake huyu mpiga dili mshenzi sana huyu makamba
Hii inakuaje kwa nyie wataalam wa masuala ya umeme?kutuandaa physiological
oa weweSi muislamu mwenzako?
Rudi shuleniFafanua
Hahaha. Asee nimecheka balaaoa wewe
Sasa unakoelekea Makamber utajaza hilo bwawa kwa mikono ww na mshua ako ambae hana dhambi uwez kutuchezea kias hikiWaziri wa Nishati, Januari Makamba amesema itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo kwani Bwawa la Mwalimu Nyerere linahifadhi lita 33.2 bilioni za maji na kama zikitumika na mitambo yote itaweza kuendesha mitambo kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Waziri Makamba amesema hayo leo Disemba 18, 2022 wakati akizungumzia tukio la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgeni rasmi katika kushuhudia fungaji wa lango la handaki mchepuko (vaani diversion tunnel) ili kuruhusu maji yaanze kujaa katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere.