Makamba: Kurekebisha alichofanya Hayati Magufuli sio usaliti. Dalili nilizoanza kuziona si nzuri

Wanao sema lazima Mama atekeleze na kufuata sera za Magu, kisa Mama alikuwa kwenye utawala wa Magu wana kosea.

Magu alikaa kwenye utawala wa Ben, akakaa kwenye utawala wa Jk tena kwa kipindi kirefu sana.

Baada ya kuwa raos, hatukuwahi kusikia wabunge wakilazimisha Jpm afuate sera za Jk kwenye utawala wake. Zaidi tulisikia wakimzodoa wao na huyo mwendazake.

Hebu wabunge amakeni. Eleweni sasa Rais wa Tanzania ni Mama Samia na sio Hayati Jpm. Na sera zake sio lazima ziwe sawa na za Marehemu.

Kama mnaona hamuwezi sera zake nanyi kufeni mkafanye kazi na Magu huko aliko. Msituharibie amani ya nchi yetu kwa tamaa zenu.
 
Jomba umetisha kwa hoja[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ivi Ni kweli hairuhusiwi kumsema mtu kwa mabaya. Hasa kwa wenzetu waislamu, Kuna sehemu Quran imekataza.

..hata jambazi, mbakaji,...akifa tunatakiwa tumseme kwa mambo mazuri aliyoyafanya, na wale aliowadhuru tuwapotezee?
 
January Makamba amesema siyo kweli kwamba kila anayemsifia Rais Samia anatafuta cheo au uteuzi.

Na kwamba hakuna mnazi wa Magufuli wala mama Samia bali CCM ndio inayowaunganisha

Tena makundi, vigenge na viringe vinavyotafuta ushawishi kwa Rais Samia havina maana yoyote.

Ramadhan Kareem!
 
Kuna watu wana akili fupi sana!

Kuna wakati hata mimi niliambiwa eti natafuta uteuzi toka kwa Magufuli!

Kibinafsi sikumjua na yeye wala hakunijua.

Sasa ndo aje kuniteua mimi kwa kunisoma tu JF??

Akili za nyumbu bana...wanazijua wenyewe tu.

Yaani Magufuli akose wote anaowajua huko halafu aje JF na kusoma baadhi ya mabandiko ya Nyani Ngabu akimsifia, halafu eti amteue.

Kwanza anaanza anzaje? Ananitumia PM au?
 
Kumuacha huyu mtu nje wa baraza na kuingiza watu pori kama kina Mwigulu ni kosa kubwa.
 
AlichofanikiwaJpm ni kushika bongo za wabongo wengi na nikitu ambacho wakoloni waliweza sana,kuhubiri neno watanzania Wanyonge lilikuwa na athari sana kwa wabongo wengi.Bado wengi wanajiona Wanyonge,hawawezi kufikiria wakiwa huru na kuamua wakiwa huru bila ya aliyekuwa anawaongoza kuwepo
 
Yey mwenyew alikua corrupt mkubwa tu
 
Mama kajichanganya mwenyewe, watu walishauri avunje Baraza lote la mawaziri.
Aanze upya,sijui kakutana na Nini huyu mama.
Kosa hili litamgharimu Sana.

Mwisho wa siku naiona aibu ikimpata
Masta mind wa hili ni PM wake na makamu wa Rais hawa ni wakufuza (PM)na makamu wa Rais ni kumblack mail,
 
Makamba ni mmoja kati ya watanzania amesema alichojisikia kwa sababu zake ila na yeye mwenyewe anatakiwa kujisahihisha kwingi tuuu

Neno lake sio sheria sababu watanzania wengine pia wanasema wanachojisikia

View attachment 1751755


Kazi iendelee
Mwanasiasa 🤣.

Hii nchi ina viumbe wana maajabu kweli🤣🤣.
 
Mama kajichanganya mwenyewe, watu walishauri avunje Baraza lote la mawaziri.
Aanze upya,sijui kakutana na Nini huyu mama.
Kosa hili litamgharimu Sana.

Mwisho wa siku naiona aibu ikimpata
Hakuna tatizo. Rudini kwenye ilani na chama, achaneni na mtu. JPM harudi ila ilani ya chama tawala ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…