Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

Kwani ni mara ya kwanza tanzania kupeleka vijana nje kusomea jambo fulani?
Kwa record huu uratibu wa kupeleka vijana nje umekuwepo muda mrefu sasa.
Ulichoandika hapa ni hisia but no facts
 
Huwa sikisi, ndiyo maana nikasema, tusitafute mchawi, Bashe na Makamba na Mama Samia wanaujuwa ukweli, ongezea na Waziri wetu wa Ulinzi. Unagtaka nini zaidi kuelewa hilo:

Chanzo:

IDF soldiers train Tanzanian soldiers (Screencapture/Channel 13)
 
Kwani ni mara ya kwanza tanzania kupeleka vijana nje kusomea jambo fulani?
Kwa record huu uratibu wa kupeleka vijana nje umekuwepo muda mrefu sasa.
Ulichoandika hapa ni hisia but no facts
Ndiyo maana nikasema Makamba, Bashe , Mama Samia na sasa nakuongezea, waziri wetu wa ulinzi wanayajuwa hayo. Tusitafute mchaewi wa vijana wa Kitanzania wakifa front huko.

Mambo yapo wazi kabisa, siyo siri.
 
Kumbe sisi tunapiga kelele za bure dah
Ni ukatili na aibu kubwa Watanzania kushiriki masuala ya kijeshi ya Israel.

Tunajiingiza kwenye mashaka makubwa kimataifa. Sasa Wapalestina na jamii ya wapenda haki wanatuonaje kama nchi.

Madhara yake ni makubwa huko mbeleni kuliko vifo vya vijana hao.
 
Tunaoajuwa sisi ni wawili tiu, tujiulize 260 wako wapi?

Tena tuspate tabu ya kujiuliza, Makamba anajuwa, Bashe pia anajuwa.
 
Sasa naelewa kwa nini Faiza Foxy anashambuliwa vikali siku hizi mbili.

Upumbavu wa Msomali Bashe unatugharimu kama Taifa.
 
Huwezi kupewa msaadana Mmarekani kama haupo pamoja na Israel.

Tanzania ni vibaraka wa Israel kama ilivyo marekani.
 
Tunaoajuwa sisi ni wawili tiu, tujiulize 260 wako wapi?

Tena tuspate tabu ya kujiuliza, Makamba anajuwa, Bashe pia anajuwa.
Kwenye hili namuona mtangulizi wa January ndiye anajua zaidi
 
Sasa naelewa kwa nini Faiza Foxy anashambuliwa vikali siku hizi mbili.

Upumbavu wa Msomali Bashe unatugharimu kama Taifa.
Serikali nzima inajuwa nini kinaendelea. Hakuna siri kijana.

Unafikiri juzi pesa za Millenium na Mmarekani burebure? Na jana imetangazwa IMF wamewachia zingine, kwa kuwa wanatupeda sana? Hapana.

Wananunuwa damu ya vijana wetu, halijaanza leo hilo, sema ujinga wa kina Bashe ni kusema uongo na kutuona Watanzania ni wajinga, si wangesema ukweli tu, vijana wanapelekwa mafunzo ya kijeshi.

Haiingii akilini vijana 260 waende kufundishwa kulima Israel wakati vituo kibao vya kilimo tunavyo Tanzania.

Na hiyo namba 260 haijaja hivihivi, hiyo ni idadi ya wanayopanda ndege moja ijae.
 
Huwezi kupewa msaadana Mmarekani kama haupo pamoja na Israel.

Tanzania ni vibaraka wa Israel kama ilivyo marekani.
Kwa hiyo ule msimamo wa kutofungamana na upande umeshapigwa teke....

Tunakemea mauaji ya pale Gaza na Israel na hatujaona serikali yetu ikilaani hii vita, kumbe kuna mbinumbinu zinaendelea
 
Kwa hiyo ule msimamo wa kutofungamana na upande umeshapigwa teke....

Tunakemea mauaji ya pale Gaza na Israel na hatujaona serikali yetu ikilaani hii vita, kumbe kuna mbinumbinu zinaendelea
Ile ni siasa tu za kinafik tu.

Hatufungamani na upande wowote wakati Sheikh Ponda kaitisha matembezi ya amani akashikwa na kutiwa ndani? Fikiri.
 
Yaani sisi tunaenda kushiriki kukandamiza binadamu wengine.

Ni kazi bure tulifanya kupinga makaburu wa Afrika Kusini endapo yale yale waliyoyafanya na sisi as Taifa tunaenda kuyashiriki. Ingetosha kuunga mkono kinafiki.. lakini vijana 260?

Tukatae huu udhalimu
 
Ndiyo maana nikasema Makamba, Bashe , Mama Samia na sasa nakuongezea, waziri wetu wa ulinzi wanayajuwa hayo. Tusitafute mchaewi wa vijana wa Kitanzania wakifa front huko.

Mambo yapo wazi kabisa, siyo siri.

Kwamba hawakuenda kusoma walienda kufanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…