Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Nickson Myamba ambaye ni katibu wa baraza la walei kigango cha Makambako, jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022.
===
KIONGOZI WA KANISA AKUTWA AMEUAWA KANISANI, KICHWA CHATENGANISHWA
Nickson Myamba ambaye ni Katibu wa Baraza la Walei Kigango cha Makambako, Jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022
Pascal Makoa ambaye ni Paroko wa Jimbo la Makambako amekiri kutokea kwa tukio hilo na kusema Jeshi la Polisi linaendelea na upelelezi wa mauaji hayo
RPC wa Njombe, Khamis Issah amekiri kutokea kwa tukio hilo na kusema upelelezi unaendelea na tayari kuna baadhi ya watu wameshikiliwa na Jeshi la Polisi
#JamiiForums #Matukio