Mkoko kisu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 757
- 803
Kwa mauaji yanayotekea kla sku Tanzania kwa upande wangu naweza kuyajadili kwa namna Mbili(2).
1) mauaji mengi yanayotekea Tanzania kwa sasa kwanza ni mauaji au govi binafsi kwa serikal itakua ni ngumu kuyajua yote kbla ayajatokea na kuweza kuyazuia
Mf juz askar jwtz kamuua baba yake
Mara bibi kamuua mjukuu
Hii ya juzi kanisan kiongizi wa kanisa kuuwawa
Mauaji yote hayo ni mambo binafsi na govi binafsi baina ya familia au wana jamii
2) ongezeko la smartphone blogs na vyombo vingne vya kutoa taarifa maana yake zaman mauaji yalikuepo kwa mm nlietokea mkoa wa Mara mauaji na mauaji ya visasi yalikuepo sana sio mkoa wa mara tu bali Tanzania kwa ujumla ila kinachotokea sasa ni kitu kinaitwa utandawazi dunia kua kijiji leo Tanzania sio kijiji ni mtaa maana yake tukia linatokea saiv baada ya masaa 2 Tanzania nzima tushapata taarifa ni hii imesababisha na ongezeko kubwa la mitandao ya kijamii blogs