Bora ale mke K haina makombo japo inauma akiliwa.Kwa Hawa viongozi wa dini most likely amekula kondoo wa watu. Most likely maana mauaji kutekelezwa ndani ya kanisa tena hapo town kabisa Kuna jambo...
Kwamba chui jike.Wamegusa pabaya!!hiyo ndio tiketi ya kuondoka kitalani!!yaani mauaji ndani ya nyumba ya kijasusi!!!utasikia "tunaomba ukae pembeni muelekeo wako inasababishwa taharuki kubwa huko mbeleni!!wakati wa giza umefika Mungu tusaidie!!
Kwa mbaaaaali kama kuna ukweli vileKwa Hawa viongozi wa dini most likely amekula kondoo wa watu. Most likely maana mauaji kutekelezwa ndani ya kanisa tena hapo town kabisa Kuna jambo.
Unakuta mke anajifanya anaenda kufagia kanisa au kuimba kwaya kumbe ndio analiwa na hawa jamaa wapo kanisani wanakula sana waimba kwaya.
Ukiona mkeo anajifanya mtu wa kwaya chunguza sana utakuta umalaya wake anaifanyia hukohuko church.
Nasema most likely.
Nyumba ya kijasusi mjasusi msaidizi anauawa??hatari Sana!! Naamini Dola huwa inaua ili ku justify sababu fulanie ili wachukue dola!!
Unajua maana ya genocide au unatafuta kiki kwa nguvu