Kwa Hawa viongozi wa dini most likely amekula kondoo wa watu.
Wake zawatu simchezo
We boya kweli!! kwani viongozi ndio wanawachinja?? badala useme uelimushaji jamii dhidi ya uhalifu uongezeke we unalaumu viongozi, itafika basi mahali kama mtu hamtaki DC fulani ataanza kuua watu hovyo ili DC awajibishwe we unaona ni fair hiyo?? acha kukurupuka waachie wataalam kazi yaoHaya mauaji yamezi kuna kila sababu za kuchukua hatua za za makusud ikiwepo kuwawajibisha viongoz husik
Ndio uue mtuWake zawatu simchezo
Huna hoja. Jikite kwenye mada iliyopo mezani. Achana na mambo ya kuunga unga habari. Aliyeuwawa siyo Padre!Huko kuna mengi tusiyoyajua.
Kuna parokia moja sitaitaja waliwahi kufukuza padri, waliandika kabisa barua kwa askofu kwamba asipoondolewa watamuua. Alikuwa analawiti wale wavulana wa altareni, altar boys!
Dar es salaam kuna padri alikamatwa live pale njiapanda ya chuo kikuu mlimani, enzi hizo haijajengwa Mlimani City, akiwa amepaki double cabin kwenye kichaka usiku akiwa anamlawiti mvulana mmoja ambaye alizoeana naye tangu huyo mvulana alipokuwa altar boy kule Mabibo. Padri aliitwa Sixtus Kimaro, na kesi yake ilivuma sana Kisutu, akahukumiwa jela miaka 30. Huyo unadhani mzazi wa huyo mvulana angemkamata angemfanyaje?
Na walei wenye tabia hizo wapo.
Hapo sijazungumzia wanaokula wanakwaya ambao ndio lukuki hadi sasa imeshaonekana ni kawaida.
Yanahitajika matengenezo makubwa humo makanisani.
Na hasa akiwa kwenye kwaya au mtu kanisa sanaWake zawatu simchezo
Nickson Myamba ambaye ni katibu wa baraza la walei kigango cha Makambako, jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022.
===
KIONGOZI WA KANISA AKUTWA AMEUAWA KANISANI, KICHWA CHATENGANISHWA
Nickson Myamba ambaye ni Katibu wa Baraza la Walei Kigango cha Makambako, Jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022
Pascal Makoa ambaye ni Paroko wa Jimbo la Makambako amekiri kutokea kwa tukio hilo na kusema Jeshi la Polisi linaendelea na upelelezi wa mauaji hayo
RPC wa Njombe, Khamis Issah amekiri kutokea kwa tukio hilo na kusema upelelezi unaendelea na tayari kuna baadhi ya watu wameshikiliwa na Jeshi la Polisi
#JamiiForums #Matukio
Kwa uzoefu wangu, Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya umalaya na kuimba kwaya, Kama mtu ni malaya hata nyumbani kwa mume wake ataufanya na hakuna mtu atajua.Kwa Hawa viongozi wa dini most likely amekula kondoo wa watu. Most likely maana mauaji kutekelezwa ndani ya kanisa tena hapo town kabisa Kuna jambo.
Unakuta mke anajifanya anaenda kufagia kanisa au kuimba kwaya kumbe ndio analiwa na hawa jamaa wapo kanisani wanakula sana waimba kwaya.
Ukiona mkeo anajifanya mtu wa kwaya chunguza sana utakuta umalaya wake anaifanyia hukohuko church.
Nasema most likely.
Nyumbani angalau anadhibitiwa.Kwa uzoefu wangu, Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya umalaya na kuimba kwaya, Kama mtu ni malaya hata nyumbani kwa mume wake ataufanya na hakuna mtu atajua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa zama zetu hizi, haya yapo sana. Na hii ndio dawa pekeeKwa Hawa viongozi wa dini most likely amekula kondoo wa watu. Most likely maana mauaji kutekelezwa ndani ya kanisa tena hapo town kabisa Kuna jambo.
Unakuta mke anajifanya anaenda kufagia kanisa au kuimba kwaya kumbe ndio analiwa na hawa jamaa wapo kanisani wanakula sana waimba kwaya.
Ukiona mkeo anajifanya mtu wa kwaya chunguza sana utakuta umalaya wake anaifanyia hukohuko church.
Nasema most likely.
Kama hupendi ngono tutakugongea mkeo endelea kujifanya decent tutamla mpaka ukomeMawazo ya ngono yametutawala wabongo. Tayari sababu imeshajengwa, eti mke wa mtu! Subirini vyombo vya uchunguzi vifanye kazi yake
Mnakuwaga hamsomi kwa kuelewa, nimesema most likely. Sababu zaweza kuwa nyingi tu mie nimeandika yangu nawe andika yako but ingependeza ungeelewa kwanza maana ya nilichoandika.Kwa uzoefu wangu, Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya umalaya na kuimba kwaya, Kama mtu ni malaya hata nyumbani kwa mume wake ataufanya na hakuna mtu atajua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko kwenye mada 100% . Mada ni mauaji kanisani. Tunajaribu kuchambua possible reasons. Nadharia mbalimbali zinawekwa mezani. Nadharia yangu na wengine wachache waliosema ni kuhusu kisasi. Na argument yangu ni kwamba kama padri anaweza kutenda uovu kama huo nilioeleza, tutashangaa nini kama mlei pia akiyatenda hayo au hata zaidi? Na je, hayo hayasababishi kisasi?Huna hoja. Jikite kwenye mada iliyopo mezani. Achana na mambo ya kuunga unga habari. Aliyeuwawa siyo Padre!
Ni muumini tu wa kawaida naambaye alikuwa ni Kiongozi wa hilo kanisa dogo la Makambako. Na sababu haijulikani mpaka sasa. Hivyo muwe na subira kama mnataka kuufahamu ukweli.