Makamo wa Rais Dkt. Mpango huyu Tajiri Muha Muyama ni nani Kwako? Kwanini ana Kiburi na Kaibuka Wewe ulipokuwa tu Makamu wa Rais?

Anaitwa Subira, maarufu Muyama One, pia biashara yake inahusishwa na imani za giza,
 
Hao wastaafu wakifa si watarithi watoto wao ambao hawajui usalama na maadili ya jeshi au?
Chief don't expect any Logical response from that authentic Dimwit okay?
 
Pia tukumbuke plan za haya makambi zilipangwa na wakoloni kwa security za wakati ule na Idadi ya watu ya wakati ule. We have to think out of the box, tunaweza kuwa na kambi ndogo tu yenye zana za kisasa kwa dar, kambi kubwa zaidi ikawekwa kigoma, biharamulo, katavi,ngerengere na nachingwea, mafia na pemba.
 
We sio Mtanzania unahoji kama nani? we si mnyarwanda utayawez mambo ya Bongo
 
Waende Egypt wajifunze jinsi jeshi lao lili yo commercialised. Wanafanya biashara za billions and trillions Internationally sio hivyo vibanda vilivyo pinda vya Lugalo na pubs za 671 Sam HQ
Ukiangalia huo Ujenzi mbovu wa hapo ndiyo utagundua ya kuwa hata Watendaji wa hiyo Kada Akili zao zina mwelekeo huo huo wa Ujenzi mbovu huo.
 
We sio Mtanzania unahoji kama nani? we si mnyarwanda utayawez mambo ya Bongo
Kama nimezaliwa Agha Khan Hospital huku Jina langu Halisi akinipa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alipokuwa Rais mbele ya Sisters Brenda na Agatha, nimeishi Ikulu ya Tanzania ( Magogoni ) nilipokuwa Mchanga ( Toddler ) na nimecheza sana Msasani na Babu yangu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu huku nikicheza kule Lugalo Juu ilikokuwa Nyumba ya Mzee Musuguri ( in late 80's ) huku nikiwa nikisafiri tena kwa Helicopter kutembea Mbuga za Wanyama na Babu yangu Former CDF General Musuguri ( Bugozi ) pamoja na Marehemu Dada yangu utasemaje siijui Tanzania yako?

Niongezee zaidi au niishie tu hapa?
 
Ulichoeleza hapa ndo ukweli halisi. Viongozi wa nchi hii Wana makandokando kibao wanayaficha Kwa watoto, ndugu au marafiki. Mwangalie Mwigulu na skafu za uzalendo feki. Angalia makampuni aliyoamzisha Kwa mgongo wa nyuma.
 
Mabasi ya Esther.
 
Naomba kujua Connection ya idadi ya Watu Kuongezeka na Kambi Nyeti kama ya Lugalo kuwa Commercialized kwa Mifremu ya hovyo kama ile iliyopo na Kuhatarisha hata Usalama wa Wanajeshi kama kukitokea Adui Mwerevu na aloyekamilika Kimkakati.
 
Majukumu ya jeshi!, VS Majukumu ya polices force, The country intelligence is of highest than you thoughts, nothing to worry!
Hapa tupige tu ngonjera weekend ipite
Infact kambi nyingi zilipangwa na wakoloni katika mikakati wa kuilinda STATE HOUSE kwa wakati ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…