Even though, the whole idea was a flop from the drawing table.Not for inheritance it's army property!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Even though, the whole idea was a flop from the drawing table.Not for inheritance it's army property!
Neno kambi lina maana pana mkuu, sio makazi ya askari tu, kuna magodown na mahandaki yasiyohamishika kirahisi,Fact all n all Jiji limepanuka mno haya makambi yalipaswa kusogezwa pembeni kabisa mwa JIJI, Facts must told!
Anaitwa Subira, maarufu Muyama One, pia biashara yake inahusishwa na imani za giza,Halafu wakati ukijiandaa ( ukiniandalia ) Majibu yangu kwa Maswali niliyokuuliza nina Swali lingine Kwako, kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na JWTZ kwa Kawe Lugalo.
Makamu wa Rais na hao Watendaji wote niliowataja hapo juu pamoja na wa JWTZ ni kwanini hilo Ghorofa Kubwa na linalojengwa na huyu Tajiri Muha aitwae Muyama jirani na Kambi ya Lugalo Kawe ( sehemu iitwayo ) kwa Masai halina Vibali ( Tangazo ) kuwa anayejenga ni nani na anajenga nini hapo?
Na kwanini Uongozi wa JWTZ kuna Mzee Mmoja Mstaafu anaishi Kawe jirani na Chuo cha Tiba alitaka Kujenga Jengo la Ghorofa Nne ( 4 ) tu akazuiwa, ila huyu Muyama Muha anayejenga Mita chache tu kutoka Ukuta wa Lugalo Yeye ameruhusiwa?
Najua Makamu wa Rais Kiutamaduni Wewe ni Mtani wangu ukiwa Muha wa Kigoma na MImi Mzanaki wa Mara lakini katika hili naomba tuweke Utani Wetu pembeni na unipe majibu ya Kutosha kwani mpaka unaona leo GENTAMYCINE nimekuja na Uzi huu ( Taarifa hii ) jua nina Information za kutosha tu za kuhusu huyu Muyama na Wewe ila kwa sasa nakusikilizia.
Haya Watu wa TISS, CMI na Wasaidizi wa Rais Samia naombeni mkae tayari kwa Mrejesho wa huu Uzi lakini pia tayari GENTAMYCINE nimeshawarahisishia sehemu ya Kuanzia kwani kuna Kubwa linaloendelea hapa ambalo linaweza hata Kumchafua Makamu wa Rais wa sasa.
Muyama baadae nitakatishia hapo!!!
Chief don't expect any Logical response from that authentic Dimwit okay?Hao wastaafu wakifa si watarithi watoto wao ambao hawajui usalama na maadili ya jeshi au?
Waende Egypt wajifunze jinsi jeshi lao lilivyo commercialised. Wanafanya biashara za billions and trillions Internationally sio hivyo vibanda vilivyo pinda vya Lugalo na pubs za 671 Sam HQKuna mpango maalumu wa kuona ni jinsi gani Jeshi litapunguza uwezeshwaji kutoka serikalini, #wildcucumber
Nasikia katika Ofisi zake ( Maduka ) ni lazima tu kila Mwaka Mtu Mmoja adondoke mazima Mavumbini.Anaitwa Subira, maarufu Muyama One, pia biashara yake inahusishwa na imani za giza,
We sio Mtanzania unahoji kama nani? we si mnyarwanda utayawez mambo ya BongoHalafu wakati ukijiandaa ( ukiniandalia ) Majibu yangu kwa Maswali niliyokuuliza nina Swali lingine Kwako, kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na JWTZ kwa Kawe Lugalo.
Makamu wa Rais na hao Watendaji wote niliowataja hapo juu pamoja na wa JWTZ ni kwanini hilo Ghorofa Kubwa na linalojengwa na huyu Tajiri Muha aitwae Muyama jirani na Kambi ya Lugalo Kawe ( sehemu iitwayo ) kwa Masai halina Vibali ( Tangazo ) kuwa anayejenga ni nani na anajenga nini hapo?
Na kwanini Uongozi wa JWTZ kuna Mzee Mmoja Mstaafu anaishi Kawe jirani na Chuo cha Tiba alitaka Kujenga Jengo la Ghorofa Nne ( 4 ) tu akazuiwa, ila huyu Muyama Muha anayejenga Mita chache tu kutoka Ukuta wa Lugalo Yeye ameruhusiwa?
Najua Makamu wa Rais Kiutamaduni Wewe ni Mtani wangu ukiwa Muha wa Kigoma na MImi Mzanaki wa Mara lakini katika hili naomba tuweke Utani Wetu pembeni na unipe majibu ya Kutosha kwani mpaka unaona leo GENTAMYCINE nimekuja na Uzi huu ( Taarifa hii ) jua nina Information za kutosha tu za kuhusu huyu Muyama na Wewe ila kwa sasa nakusikilizia.
Haya Watu wa TISS, CMI na Wasaidizi wa Rais Samia naombeni mkae tayari kwa Mrejesho wa huu Uzi lakini pia tayari GENTAMYCINE nimeshawarahisishia sehemu ya Kuanzia kwani kuna Kubwa linaloendelea hapa ambalo linaweza hata Kumchafua Makamu wa Rais wa sasa.
Muyama baadae nitakatishia hapo!!!
Ukiangalia huo Ujenzi mbovu wa hapo ndiyo utagundua ya kuwa hata Watendaji wa hiyo Kada Akili zao zina mwelekeo huo huo wa Ujenzi mbovu huo.Waende Egypt wajifunze jinsi jeshi lao lili yo commercialised. Wanafanya biashara za billions and trillions Internationally sio hivyo vibanda vilivyo pinda vya Lugalo na pubs za 671 Sam HQ
NI ushauri mzuri huu.Waende Egypt wajifunze jinsi jeshi lao lili yo commercialised. Wanafanya biashara za billions and trillions Internationally sio hivyo vibanda vilivyo pinda vya Lugalo na pubs za 671 Sam HQ
Kama nimezaliwa Agha Khan Hospital huku Jina langu Halisi akinipa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alipokuwa Rais mbele ya Sisters Brenda na Agatha, nimeishi Ikulu ya Tanzania ( Magogoni ) nilipokuwa Mchanga ( Toddler ) na nimecheza sana Msasani na Babu yangu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu huku nikicheza kule Lugalo Juu ilikokuwa Nyumba ya Mzee Musuguri ( in late 80's ) huku nikiwa nikisafiri tena kwa Helicopter kutembea Mbuga za Wanyama na Babu yangu Former CDF General Musuguri ( Bugozi ) pamoja na Marehemu Dada yangu utasemaje siijui Tanzania yako?We sio Mtanzania unahoji kama nani? we si mnyarwanda utayawez mambo ya Bongo
Ulichoeleza hapa ndo ukweli halisi. Viongozi wa nchi hii Wana makandokando kibao wanayaficha Kwa watoto, ndugu au marafiki. Mwangalie Mwigulu na skafu za uzalendo feki. Angalia makampuni aliyoamzisha Kwa mgongo wa nyuma.Kwa Information nilizokusanya hapo na huyo Muyama na Makamu wa Rais wa sasa Dkt. Mpango natamani hata Katiba Mpya ipatikane Leo hii.
Sasa naamini kuwa hakuna Kiongozi asiyejinyakulia Keki Tamu ya Tanzania hasa akiwa Madarakani na sijui ni kwanini Wengi Wao hupenda Kuwatumia Ndugu zao ( hasa Wajomba au Watoto ) ili wasijulikane.
Na kilichonishangaza zaidi ni kwamba Tanzania tuna Waandishi wa Habari ila wameshindwa Kunusa Uhuni unaoendelea hapo hadi Mimi GENTAMYCINE Mtu wa Kawaida tu nimeweza Kuzinyaka zote za Ndani.
Najua baada ya kusema hilo Jengo halina Kibao ( Tangazo ) kama Sheria inavyotaka kwa Mkandarasi wa Ujenzi muda wowote kuanzia sasa najua hiko Kibao ( Tangazo ) hilo litawekwa ili tu kuweza Kuonyesha kuwa nimedanganya na kwamba lilikuwepo.
Ambao Waswahili waliopo hawaupendi.NI ushauri mzuri huu.
Mabasi ya Esther.Ulichoeleza hapa ndo ukweli halisi. Viongozi wa nchi hii Wana makandokando kibao wanayaficha Kwa watoto, ndugu au marafiki. Mwangalie Mwigulu na skafu za uzalendo feki. Angalia makampuni aliyoamzisha Kwa mgongo wa nyuma.
Mbona hata ndugai anayo shida ipo wapi? Au wivuMabasi ya Esther.
Naomba kujua Connection ya idadi ya Watu Kuongezeka na Kambi Nyeti kama ya Lugalo kuwa Commercialized kwa Mifremu ya hovyo kama ile iliyopo na Kuhatarisha hata Usalama wa Wanajeshi kama kukitokea Adui Mwerevu na aloyekamilika Kimkakati.Pia tukumbuke plan za haya makambi zilipangwa na wakoloni kwa security za wakati ule na Idadi ya watu ya wakati ule. We have to think out of the box, tunaweza kuwa na kambi ndogo tu yenye zana za kisasa kwa dar, kambi kubwa zaidi ikawekwa kigoma, biharamulo, katavi,ngerengere na nachingwea, mafia na pemba.
Ndugai ndiyo Mumeo au?Mbona hata ndugai anayo shida ipo wapi? Au wivu
Naye ni mzalendo wa taifa lenuNdugai ndiyo Mumeo au?
Taifa lenu Wewe siyo pia Taifa lako?Naye ni mzalendo wa taifa lenu
Majukumu ya jeshi!, VS Majukumu ya polices force, The country intelligence is of highest than you thoughts, nothing to worry!Naomba kujua Connection ya idadi ya Watu Kuongezeka na Kambi Nyeti kama ya Lugalo kuwa Commercialized kwa Mifremu ya hovyo kama ile iliyopo na Kuhatarisha hata Usalama wa Wanajeshi kama kukitokea Adui Mwerevu na aloyekamilika Kimkakati.