Makamo wa Rais Dkt. Mpango huyu Tajiri Muha Muyama ni nani Kwako? Kwanini ana Kiburi na Kaibuka Wewe ulipokuwa tu Makamu wa Rais?

Halafu wakati ukijiandaa ( ukiniandalia ) Majibu yangu kwa Maswali niliyokuuliza nina Swali lingine Kwako, kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na JWTZ kwa Kawe Lugalo.

Makamu wa Rais na hao Watendaji wote niliowataja hapo juu pamoja na wa JWTZ ni kwanini hilo Ghorofa Kubwa na linalojengwa na huyu Tajiri Muha aitwae Muyama jirani na Kambi ya Lugalo Kawe ( sehemu iitwayo ) kwa Masai halina Vibali ( Tangazo ) kuwa anayejenga ni nani na anajenga nini hapo?

Na kwanini Uongozi wa JWTZ kuna Mzee Mmoja Mstaafu anaishi Kawe jirani na Chuo cha Tiba alitaka Kujenga Jengo la Ghorofa Nne ( 4 ) tu akazuiwa, ila huyu Muyama Muha anayejenga Mita chache tu kutoka Ukuta wa Lugalo Yeye ameruhusiwa?

Najua Makamu wa Rais Kiutamaduni Wewe ni Mtani wangu ukiwa Muha wa Kigoma na MImi Mzanaki wa Mara lakini katika hili naomba tuweke Utani Wetu pembeni na unipe majibu ya Kutosha kwani mpaka unaona leo GENTAMYCINE nimekuja na Uzi huu ( Taarifa hii ) jua nina Information za kutosha tu za kuhusu huyu Muyama na Wewe ila kwa sasa nakusikilizia.

Haya Watu wa TISS, CMI na Wasaidizi wa Rais Samia naombeni mkae tayari kwa Mrejesho wa huu Uzi lakini pia tayari GENTAMYCINE nimeshawarahisishia sehemu ya Kuanzia kwani kuna Kubwa linaloendelea hapa ambalo linaweza hata Kumchafua Makamu wa Rais wa sasa.

Muyama baadae nitakatishia hapo!!!
Anaitwa Subira, maarufu Muyama One, pia biashara yake inahusishwa na imani za giza,
 
Pia tukumbuke plan za haya makambi zilipangwa na wakoloni kwa security za wakati ule na Idadi ya watu ya wakati ule. We have to think out of the box, tunaweza kuwa na kambi ndogo tu yenye zana za kisasa kwa dar, kambi kubwa zaidi ikawekwa kigoma, biharamulo, katavi,ngerengere na nachingwea, mafia na pemba.
 
We sio Mtanzania unahoji kama nani? we si mnyarwanda utayawez mambo ya Bongo
 
Waende Egypt wajifunze jinsi jeshi lao lili yo commercialised. Wanafanya biashara za billions and trillions Internationally sio hivyo vibanda vilivyo pinda vya Lugalo na pubs za 671 Sam HQ
Ukiangalia huo Ujenzi mbovu wa hapo ndiyo utagundua ya kuwa hata Watendaji wa hiyo Kada Akili zao zina mwelekeo huo huo wa Ujenzi mbovu huo.
 
We sio Mtanzania unahoji kama nani? we si mnyarwanda utayawez mambo ya Bongo
Kama nimezaliwa Agha Khan Hospital huku Jina langu Halisi akinipa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alipokuwa Rais mbele ya Sisters Brenda na Agatha, nimeishi Ikulu ya Tanzania ( Magogoni ) nilipokuwa Mchanga ( Toddler ) na nimecheza sana Msasani na Babu yangu Hayati Baba wa Taifa Mwalimu huku nikicheza kule Lugalo Juu ilikokuwa Nyumba ya Mzee Musuguri ( in late 80's ) huku nikiwa nikisafiri tena kwa Helicopter kutembea Mbuga za Wanyama na Babu yangu Former CDF General Musuguri ( Bugozi ) pamoja na Marehemu Dada yangu utasemaje siijui Tanzania yako?

Niongezee zaidi au niishie tu hapa?
 
Kwa Information nilizokusanya hapo na huyo Muyama na Makamu wa Rais wa sasa Dkt. Mpango natamani hata Katiba Mpya ipatikane Leo hii.

Sasa naamini kuwa hakuna Kiongozi asiyejinyakulia Keki Tamu ya Tanzania hasa akiwa Madarakani na sijui ni kwanini Wengi Wao hupenda Kuwatumia Ndugu zao ( hasa Wajomba au Watoto ) ili wasijulikane.

Na kilichonishangaza zaidi ni kwamba Tanzania tuna Waandishi wa Habari ila wameshindwa Kunusa Uhuni unaoendelea hapo hadi Mimi GENTAMYCINE Mtu wa Kawaida tu nimeweza Kuzinyaka zote za Ndani.

Najua baada ya kusema hilo Jengo halina Kibao ( Tangazo ) kama Sheria inavyotaka kwa Mkandarasi wa Ujenzi muda wowote kuanzia sasa najua hiko Kibao ( Tangazo ) hilo litawekwa ili tu kuweza Kuonyesha kuwa nimedanganya na kwamba lilikuwepo.
Ulichoeleza hapa ndo ukweli halisi. Viongozi wa nchi hii Wana makandokando kibao wanayaficha Kwa watoto, ndugu au marafiki. Mwangalie Mwigulu na skafu za uzalendo feki. Angalia makampuni aliyoamzisha Kwa mgongo wa nyuma.
 
Mabasi ya Esther.
 
Pia tukumbuke plan za haya makambi zilipangwa na wakoloni kwa security za wakati ule na Idadi ya watu ya wakati ule. We have to think out of the box, tunaweza kuwa na kambi ndogo tu yenye zana za kisasa kwa dar, kambi kubwa zaidi ikawekwa kigoma, biharamulo, katavi,ngerengere na nachingwea, mafia na pemba.
Naomba kujua Connection ya idadi ya Watu Kuongezeka na Kambi Nyeti kama ya Lugalo kuwa Commercialized kwa Mifremu ya hovyo kama ile iliyopo na Kuhatarisha hata Usalama wa Wanajeshi kama kukitokea Adui Mwerevu na aloyekamilika Kimkakati.
 
Majukumu ya jeshi!, VS Majukumu ya polices force, The country intelligence is of highest than you thoughts, nothing to worry!
Hapa tupige tu ngonjera weekend ipite
Infact kambi nyingi zilipangwa na wakoloni katika mikakati wa kuilinda STATE HOUSE kwa wakati ule.
 
Back
Top Bottom