lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Kitaalamu mavi gani kwnn wasingeomba radhi. Mzee angekuwepo we ungetumbuliwa tu ndio wale wa tuko kwenye mchakato...upumbavu.Hzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid
Mungu tusaidieHuyo sidhani kama ana uwezo wa kujiuzulu, ataendelea kukomaa mpaka atolewe
Tumbua tumbua ya magufuli haijawahi kuwa na tija zaidi ya kuwajaza watumishi nidhamu ya uoga na unafki .Huyu Ndungulile hakuna anachofanya - atumbuliwe tu ili aapishwe mwengine Jumanne kama mama Samia alivyotu promise!
kweli huyu ana kichwa chepesi.Mbona mm nimemuelewa mkuu una kichwa chepes Sana mkuu
Sio figa wanadata base wameisevu kabisa kwa dharulaMkuu, hakuna cha ku-reprogam wala nini sijui, wanacho badirisha pale ni figures tu.
Kama.mnaona hampati faida si muondoke?? Mwanzoni ilikuaje mnapata faida na.leo hii mnakuja na ukatili usiovumilika eti ndo mpate faida?? Na ww ulivyo mwehu hujui unaongea nn unakaa upande wa mabebari nguruweee mkubwaNani kakwambia serikali imepandisha bei?
Bei imepandishwa na mitando ya simu kufidia gharama na faida yao
Wananchi wapenda bure wakaanza kulia,serikali imezuia hizo bei kama kawaida yao ya kuingilia biashara za watu?
Nimerudia rudia nini?
Nikirudia rudia kitu....soma kimoja,vilivyorudiwa usisome
Zinaumiza hao wananchi na halafu wakiumia gharama za kuendesha hao watoa huduma zitoke kwa nani?
Zitoke mbinguni au unadhani hela zinaota kwenye miti?
Wewe ni mwananchi,unaona umeumizwa kutokana na upeo wako na hali yako na maslahi yako wewe mwananchi,mtoa huduma hajaafikiana na wewe,unamlalamikia nani sasa?
Wewe unalia shida na mtoa huduma analia shida the same way,kwavile wewe una serikali na wanasiasa mavichaa,unayafungulia yaje kumuonea mtoa huduma ili upate huduma kwa bei yako wewe unayofikiria kwenye ubongo wako
Halafu mitambo ya mtoa huduma ihudumiwe kwa pesa gani iwapo hela unayotoa haitoshi?
Mtoa mada anyooshe tu maelezo ya kwamba tamko la Serikali/tcra kusema wamesitisha huo mchakato, halina uhalisia.Mkuu hivi unafahamu kitu inaitwa "PROGRAMING"?
Then usiwe unamtaja taja marehemu!
Yani ukituambia hivi ndiyo unakuwa umesemajeMkuu hivi unafahamu kitu inaitwa "PROGRAMING"?
Then usiwe unamtaja taja marehemu!
Hata jibu lako linaonesha you know nothing about programming........kutoka Bei chee had kuja Bei ghali ilipangwa kwa siku kadhaa ,hvo turning point is not much simple , emplementation needs time broh.....you know nothing about programming....hii kitu sio mkate at utakanda na kuokaYani ukituambia hivi ndiyo unakuwa umesemaje
Tukiwa hatuifahamu programing ndo inakuwaje
Yaani kusoma programing kidogo tu imekuwa shida ndugu yangu