Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Yeye anafikiri ni rahisi kama kubadili cd.Mkuu hivi unafahamu kitu inaitwa "PROGRAMING"?
Then usiwe unamtaja taja marehemu!
Mpaka mda huu no changes, cjui wamedharau agizo au ndo tukisumbuliwa tunafunga biashara tunahamia Zimbabwe! Siasa imerudi Tz!Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.
Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo Serikali imezisimamisha.
Tunamtaka Waziri Ndugulile na TCRA mara moja wasimamie agizo lao, la sivyo tunatawachukulia kuwa agizo lao ni la kisiasa na si kwa lengo la kumsaidia mwananchi.
Tunataka kuona mabadiriko ya bei za vifurushi mara moja la Sivyo Andungulile achia nafasi hiyo hutoshi. Umetusababishia wananchi adha kubwa sana kwa kitendo ulichokifanya cha kutaka kumfurahisha Meko kumbe unatuumiza sana wananchi
Nani hasa ndiye aliyebadulisha bei ya vifurushi? Makampuni au serikali?Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.
Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo Serikali imezisimamisha.
Tunamtaka Waziri Ndugulile na TCRA mara moja wasimamie agizo lao, la sivyo tunatawachukulia kuwa agizo lao ni la kisiasa na si kwa lengo la kumsaidia mwananchi.
Tunataka kuona mabadiriko ya bei za vifurushi mara moja la Sivyo Andungulile achia nafasi hiyo hutoshi. Umetusababishia wananchi adha kubwa sana kwa kitendo ulichokifanya cha kutaka kumfurahisha Meko kumbe unatuumiza sana wananchi
Ile ya kwanza walipewa mwezi mzima.Nani hasa ndiye aliyebadulisha bei ya vifurushi? Makampuni au serikali?
Waliagizwa wapandishe bei, utekelezaji wake ulikua ni mchakato na hata sasa wameagizwa tena wapunguze utekelezaji wake ni mchakato. Watakapoa tayari wata upload menu ya zamani
Hawana kosa wao hata moja
Wengi hawaelewi kaka wanafikiri unalala na kuamka vimeshabadilishwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Hzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid
Pole sana nduguNikiwa kama mtumiaji mkubwa kampuni hii...naona imeminya sana huduma za nawasiliano...
Kazi yenyewe umepata kwa kushikwa mkono, unadhan wote tuna mshahara km wako, then ukikwama unalia kwa mzee wako bas unaona maisha umeyapatia, unaongea shit, subiri uone sasaHii arrogance unaitoa wapi ndugu?
Hupendi bei ya mtu na bidhaa zake eti unamfukuza nchi wakati ni raia kama wewe?..
Kwaiyo hiyo programming inatakiwa kufanyika kwa siku ngapi ili mambo yakae sawa. Nafikiri kuna sababu nyingine zaidi ya hiyo maana sidhani kama wana hard code hivyo vifurushiHzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid
Uko mtandao gani bwashee?!Wanabodi mbona kwangu vifurushi viko vilevile, ni mgomo wa haya makampuni au serikali imetupiga changa la macho?
Na huyu waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia mama Ndalichako yuko kimya anafikiri kuna Sayansi ba Teknolojia bila internet kwa sasa?
Wanabodi mbona kwangu vifurushi viko vilevile, ni mgomo wa haya makampuni au serikali imetupiga changa la macho?
Na huyu waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia mama Ndalichako yuko kimya anafikiri kuna Sayansi ba Teknolojia bila internet kwa sasa?
Voda na halotel mkuu.Uko mtandao gani bwashee?!
Duh! Mkuu kwa bei hii ya buku jero 500mb sitoboi[emoji16]Piga kazi usisubiri eti vifurushi bei zishuke, inawezakuchukua zaidi ya mwezi hayo mazungumzo na wewe bado unasubiri! Chapa kazi nunua kifurushi! Anza kuji-tune kisaikolojia kijana, kazi zitalala! Wengine tunaendelea kununua hivyo hivyo wakati hayo mazungumzo na TCRA yakisubiriwa, na yanaweza kuanza baada ya wiki hii ya Pasaka maana watu wapo kwenye pilikapilila za Pasaka!
Ttcl wamesharekebisha mkuu!Voda na halotel mkuu.