Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Wanazo software za kuchange vifurushi, ni dakika moja tu kubadili rate, haina ufundi wowote
Jamaa anahisi tupo enzi za 90’s ambapo mtaalamu hadi alipiwe ndege! Sikuhizi kuna Dashboard bana ni kubadili values tu mfumo wa backend unaji adjust!
 
Makampuni mengine yamebadilisha tena tarrifs zao na wala si zile plans za awali...

Mathalani 'Eateli' naona kifurushi cha mwezi wakati huu wa bei za Ndungulile, kwa shilingi 30,000 ilikuwa unapata GB 14, leo hii kwa bei hiyo hiyo wamekngeza hadi kufika GB 26. Wastani wa GB 1 kwa shilingi 1155

Lakini ikumbukwe zamani, 'Eatel' hawakuwa na aina hii ya kifurushi bali kwa mwezi alikuwa anatoa GB 30 kwa shilingi 35,000. Wastani wa GB 1 kwa shilingi 1167
 
Hzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid
Programming ndio inarekebishwa haraka kuliko manual, au hujui mambo ya dijitali mkuu? Ila hapa ni siasa inachezwa. Serikali itakuwa imewapandishia kodi, wamerespond nao kwa kupandisha bei, serikali wamewaamuru washushe bei bila kodi kushuka, jamaa wamekomaa.
 
Hzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid
Ku-UNDO kwani inachukua muda gani? Just Ctrl+Z then mambo yanarudi km yalivyokua.
 
Serikali ndio mbaya wako. We unaamini hawa jamaa wana ubavu wa kupingana na serikali?
 
Voda bado wamekaidi agizo
Hamna anayeweza kaidi mzee, achilia mbali na hatua wanazoweza chukuliwa, wao wenyewe watapoteza wateja kwenda mitandao yenye unafuu.

TTCL wamerudi. ZANTEL wamerudi. AIRTEL wamerudi. Alafu wewe ujifanye kichwa ngumu? Ataumia nani kama si wao hapo?
 
Hivi ni nani anayechukukuaga hizi nyuzi na kupeleka phoenix? Nimeuliza kwa uzuri tu kwa kutaka kujua.
 
Nilichomaanisha ndiyo hicho kwamba sijui kitu kuhusu programming
Lakini mbona hujatufahamisha chochote zaidi ya kutu crash as if wote tunaijua hiyo progr....
No ngumu ku explain in an easy manner ....we jua sio mchakato wa siku moja hapo labda kuanzia kesho ndo inaweza change
 
Hamna anayeweza kaidi mzee, achilia mbali na hatua wanazoweza chukuliwa, wao wenyewe watapoteza wateja kwenda mitandao yenye unafuu.

TTCL wamerudi. ZANTEL wamerudi. AIRTEL wamerudi. Alafu wewe ujifanye kichwa ngumu? Ataumia nani kama si wao hapo?
Nawapa tu siku ya leo kesho nahamia mtandao mwingine
 
Sijawahi kufahamu aisee. Alafu hawana mtindo wa kutoa credit kwa mtandao husika wala mtoa mada. Kazi ya kuokoteza habari huku na kule!
Credit ya mtandao wanaonesha ila nilikuwa nataka kujua, huwa wanakuwa na agents kila nchi wanaopick na kufilter taarifa kwenye mitandao ama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…